10.07.2015 Views

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mheshimiwa Spika, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Hassan Chande Kigwalilo, M<strong>bunge</strong> waLiwale, lenye sehemu (a) na (b) kama ifuatavyo:-(a) Mheshimiwa Spika, ni kweli Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kinafikiriwakupandishwa hadhi na kuwa Chuo Kikuu. Hata hivyo, hatua hiyo inaweza kufikiwa tu pale ambapomasharti husika yametimizwa. Hadi sasa Chuo kimekwisha tekeleza taratibu zote ikiwa ni pamoja nakufanya majadiliano na wadau wote kama vile Baraza la Elimu ya Juu na Ithibati (Higher EducationAccreditation Council - HEAC), Vyuo Vikuu na Wizara mbali mbali.Mheshimiwa Spika, kwa kuwa vipo vyuo vingi hapa nchini ambavyo vina ari ya kupandishwahadhi kuwa Vyuo Vikuu, Serikali imeonelea kuwa, ipo haja ya kuipa nafasi Wizara ya Sayansi, Teknolojiana Elimu ya Juu, kutafakari kwa kina na hatimaye kuweka utaratibu mzuri wa kuvipandisha hadhi vyuohivyo.(b) Mheshimiwa Spika, Wizara yangu na Wizara ya Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu,imekamilisha uchambuzi wa kina kuhusu namna bora ya kubadilisha IFM kuwa Chuo Kikuu. Uchambuzihuo na mapendekezo yetu bado yanapitia ngazi za juu Serikalini kwa len<strong>go</strong> la kufikia uamuzi wa mwisho.Naomba Mheshimiwa M<strong>bunge</strong>, avute subira kwani suala la kuanza Chuo Kikuu linahitaji kufikiriwa kwamakini sana na wadau wote nje na ndani ya Serikali.MHE. HASSAN C. KIGWALILO: Nashukuru kwa majibu mazuri niliyoyapata. Pamoja namajibu hayo mazuri ningetaka kujua Serikali inachukua hatua gani za dhati ili kuboresha hudumambalimbali za Vyuo Vikuu hivyo vinavyofunguliwa ili kuwafanya wanafunzi wanaojiunga na vyuo hivyowaweze kupata huduma wanayohitaji kikamilifu kwa kuwa hivi sasa kuna upungufu wa mambo mengi tu,TELEX hazitoshi, vyoo havitoshi, meza wala madeski hayatoshi na sehemu zingine zingine, wanazozihitajikwa mafunzo hayo?SPIKA: Hiyo inahusu Wizara nyingine.WAZIRI WA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA ELIMU YA JUU: Okay, ingawa halihusianisana na Chuo cha Usimamizi wa Fedha, lina ujumla hadi linalenga Wizara yangu, ni kwamba kabla Chuohakijakubalika kuwa Chuo Kikuu, masharti muhimu yamewekwa na Baraza la Ithibati na lazimayatekelezwe ndiyo Chuo kiwe Chuo Kikuu. Kuna hatua tano ambazo zinachukuliwa kabla chuohakijapewa full accreditation.Nadhani Mheshimiwa M<strong>bunge</strong> anazungumzia vyuo ambavyo vimo katika hatua mbalimbali kablaya full accreditation na zinakubalika kabisa kuwa ni Chuo Kikuu kikamilifu na ndiyo maana tukirudikwenye swali la msingi la Chuo cha IFM kuna masharti fulani fulani ambayo bado tunakazia yatekelezwendiyo kikubalike katika ubora wa Chuo Kikuu, Serikali inachukua hatua ya kuwa wakali. Hatuchukui kilaChuo Kikuu kinachoomba kuwa Chuo Kikuu kiwe Chuo Kikuu mpaka wametimiza masharti yote, mfanoWalimu. Kwa sababu upande wa masomo ya sayansi, uwiano wa wanafunzi usiwe chini ya moja kwasaba, kwa masomo ambayo ni ya sanaa isiwe chini ya moja kwa kumi. (Makofi)Kwa hiyo, tunachukua hatua. Ahsante.MHE. DR. JOHN S. MALECELA: Mheshimiwa Spika, nakushukuru kwa kunipa nafasi hii yakuuliza swali la nyongeza. Katika Tanzania tumekuwa na vyuo fulani ambavyo vinafundisha watu wangazi fulani ili waende kutumikia nchi yao au wajiajiri wenyewe. Kwa mfano, sasa hivi tuna vyuo vyaVETA nchi nzima ambavyo kazi yake ni ku-train vijana waweze kwenda kujiajiri wenyewe.Hivi majuzi tumesoma katika vyombo vya habari kwamba, VETA nayo inataka kuwa Chuo Kikuu.Kwanza nina maswali. La kwanza je, Serikali inakubali kwamba kweli VETA inakuwa Chuo Kikuu?(Kicheko/Makofi)

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!