10.07.2015 Views

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

Read - bunge .parliament.go. tz

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

wa barabara hupelekwa moja kwa moja katika Halmashauri husika. Kila Mbunge ana wajibu wa kujuampangilio wa fedha hizo katika Halmashauri yake.MHE. ABU T. KIWANGA: Mheshimiwa Spika, naomba niongeze swali moja la nyongeza.Kwanza kabisa, naomba nimshukuru Waziri kuwa barabara kweli ya kutoka Mlimba mpaka Utenguleimetengenezwa kwa msaada wa Serikali ya Ireland pamoja na mchango kutoka TANROADS na ilitumianguvu kazi na kuhakikisha hiyo barabara iko kwenye hali nzuri. Je, Serikali haioni kuwa barabara kutokaIfakara hadi Mlimba pia ingetumia taratibu ya kuchangia nguvu kazi za wananchi ili waweze kupata kipatoili kuimarisha hii barabara, kwenye msimu wa mvua huu uliopita barabara ya Mlimba mpaka Utenguleiliyotengenezwa kwa nguvu kazi za watu ni imara zaidi kuliko ile iliyotengezwa na makandarasi kwakutumia mashine; je, taratibu hiyo anaweza kuiangalia na kututengea kiasi kidogo zaidi cha fedha badala yakutumia wakandarasi wakitumia hela nyingi na kutoleta ufanisi katika barabara? (Makofi)NAIBU WAZIRI WA UJENZI: Mheshimiwa Spika, kwanza namshukuru MheshimiwaMbunge kwa kukubali kwamba tumetengeneza hiyo barabara na imetengenezwa kwa mchanganyiko wamakandarasi na nguvu kazi. Lakini vile vile hii barabara kutoka Ifakara mpaka Taweta ni ya Mkoa na sisitunalazimika kutangaza tenda kwa utaratibu wa Sheria ya mwaka 2001 ya ununuzi wa vifaa na huduma.Haturuhusiwi kwa barabara kama hiyo kutumia nguvu kazi ni lazima tutangaze tenda na makandarasiwaombe tenda na wapewe tenda katika utaratibu ambao hauna mashaka. Kwa hiyo, tunashindwa hapo,tungependa sana kutumia nguvu kazi kila mahali, pale ambapo tunaona barabara ni fupi sana na haina hajakupoteza pesa kwa sababu ya tenda basi huwa tunatoa madaraka hayo Wilayani badala ya sisi kutumianguvu kazi na Halmashauri ndiyo inayofanya kazi hiyo. Tungependa kufanya hivyo, lakini hatuwezi kwasababu haturuhusiwi.Na. 51Kupunguza Msururu wa Makato kwenye Mazao ya BiasharaMHE. STANLEY H. KOLIMBA aliuliza:-Kwa kuwa Serikali imekuwa ikijitahidi kuhakikisha kwamba wakulima wa mazao ya biasharahususan mazao ya kahawa, pareto, pamba, tumbaku na korosho wanafaidika na bei nzuri katika mazingiraya soko huria:-(a) Je, Serikali inachukua hatua gani ya kuondoa, kupunguza au kurekebisha mfumo wa sasaunaosababisha kuwepo kwa msululu wa makato ili kugharamia Asasi na Taasisi za Mazao kama Bodi zaMazao, Vyama Vikuu, Vyama Kilele (Apex Organizations) na kadhalika?(b) Je, Serikali haiwezi kufuta kodi kadhaa zinazotozwa kwenye Taasisi zinazoshughulikiamazao kama mkakati wa kuinua bei za mkulima?(c) Kwa kuwa yapo malalamiko kutoka kwa wakulima wa kahawa kuwa asilimia 18.5%iliyowekwa kama loss in curing katika ukoboaji viwandani imenufaisha viwanda zaidi kuliko hali halisi yaloss hiyo inayotokea, je, Serikali ipo tayari kuchunguza hilo?NAIBU WAZIRI WA USHIRIKA NA MASOKO alijibu:-Mheshimiwa Spika, naomba kujibu swali la Mheshimiwa Stanley Haule Kolimba, Mbunge waLudewa, lenye sehemu (a), (b) na (c) kama ifuatavyo:-(a) Mheshimiwa Spika, kama ambavyo Mheshimiwa Waziri wa Fedha alieleza alipokuwaakijibu swali Na. 128 lililoulizwa na Mheshimiwa Ruth Msafiri katika Bunge lako Tukufu mwaka 2003,Serikali tayari imekwishaanza kuchukua hatua za kurekebisha mfumo wa ushuru na kodi zinazohusiana namazao ya kilimo, yakiwemo mazao aliyoyataja Mheshimiwa Mbunge, kwa kutoa mwongozo kuhusumakato ya ushuru na kodi kwa lengo la kupunguza msururu wa makato katika mazao. Kwa mujibu waSheria ya Fedha ya mwaka 2003 aliyoitaja Mheshimiwa Waziri wa Fedha, mwongozo huo pamoja na

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!