Kilimo bora cha zao - Ministry Of Agriculture, Food and Cooperatives
Kilimo bora cha zao - Ministry Of Agriculture, Food and Cooperatives Kilimo bora cha zao - Ministry Of Agriculture, Food and Cooperatives
na soya kutooza. Jedwali Namba 1 linaonyesha mahali, aina na muda wa kupanda soya. Jedwali Namba 1: Muda unaoshauriwa kupanda soya Na. Mahali Mbegu Muda 1 Sumbawanga, Nkasi, Songea, Mbeya, Njombe, Dabaga na sehemu zenye mvua nyingi/ndefu Uyole soya 1 Novemba/ Desemba 2 Sumbawanga, Songea, Mbeya, Njombe na sehemu zenye mvua nyingi/ndefu Bossier Januari 3 Ileje, Mbarali, Chunya, Mtwara na sehemu zenye mvua kidogo na fupi Bossier Novemba/ Desemba 4 Morogoro na Tanga Bossier Februari na Machi Nafasi ya kupanda Mkulima anashuriwa kupanda soya kwa nafasi zinazo pendekezwa na wataalamu. Nafasi hizo ni sentimeta 10 kwa sentimita 45 (Mchoro Na. 3) kwa soya fupi kama bossier na kwenye sehemu zenye rutuba hafifu. Aidha, tumia sentimeta 10 kwa sentimita 60 kwa soya ndefu kama Uyole Soya 1 na kwenye sehemu zenye rutuba nyingi. Panda mbegu moja kila shimo na zifukiwe kwa kina cha sentimeta mbili hadi sentimita tano ili zisiharibiwe au kuliwa na wanyama kama panya. Mkulima ahakikishe kuwa soya inapandwa kwenye udongo wenye unyevu wa kutosha; haitakiwi kabisa kupanda soya kwenye udongo mkavu au kuloweka soya kabla ya kupanda. 12 kijitabu hitimisho.indd 18 5/17/06 11:36:25 PM
Sm 45 Sm 10 Mchoro Na. 3: Nafasi za kupanda soya katika sesa Sm 45 Sm 10 Mchoro Na. 4: Nafasi za kupanda soya katika matuta 13 kijitabu hitimisho.indd 19 5/17/06 11:36:29 PM
- Page 1 and 2: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZ
- Page 3 and 4: KILIMO BORA CHA ZAO LA SOYA Kimeand
- Page 5 and 6: YALIYOMO Kilimo Bora cha Soya UTANG
- Page 7 and 8: SURA YA KWANZA HISTORIA, UMUHIMU NA
- Page 9 and 10: vii. Soya huongeza kipato na ni zao
- Page 11 and 12: SURA YA PILI MAZINGIRA, MVUA NA RUT
- Page 13 and 14: Mahitaji ya Mvua Soya huhitaji wast
- Page 15 and 16: SURA YA TATU UTAYARISHAJI NA UTUNZA
- Page 17: eneo analotaka kulima soya hususani
- Page 21 and 22: Picha Namba 1: Soya iliyopandwa kwa
- Page 23 and 24: SURA YA TANO WADUDU, MAGONJWA NA WA
- Page 25 and 26: Kuvuna SURA YA SITA KUVUNA, KUPURA
- Page 27 and 28: Mchoro Na. 6: Mama anapepeta soya k
- Page 29 and 30: SURA YA SABA MAVUNO NA MAPATO YATOK
- Page 31 and 32: Huduma Gharama kwa kila zao Mahindi
- Page 33 and 34: 8. URT (November, 2005). Soybean St
- Page 35 and 36: kijitabu hitimisho.indd 35 5/17/06
- Page 37: JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZ
na soya kutooza. Jedwali Namba 1 linaonyesha mahali, aina na

muda wa kupanda soya.

Jedwali Namba 1: Muda unaoshauriwa kupanda soya

Na. Mahali Mbegu Muda

1

Sumbawanga, Nkasi, Songea,

Mbeya, Njombe, Dabaga na sehemu

zenye mvua nyingi/ndefu

Uyole soya

1

Novemba/

Desemba

2

Sumbawanga, Songea, Mbeya,

Njombe na sehemu zenye mvua

nyingi/ndefu

Bossier

Januari

3

Ileje, Mbarali, Chunya, Mtwara na

sehemu zenye mvua kidogo na

fupi

Bossier

Novemba/

Desemba

4

Morogoro na Tanga Bossier Februari na

Machi

Nafasi ya kupanda

Mkulima anashuriwa kupanda soya kwa nafasi zinazo pendekezwa

na wataalamu. Nafasi hizo ni sentimeta 10 kwa sentimita 45

(Mchoro Na. 3) kwa soya fupi kama bossier na kwenye sehemu

zenye rutuba hafifu. Aidha, tumia sentimeta 10 kwa sentimita 60

kwa soya ndefu kama Uyole Soya 1 na kwenye sehemu zenye

rutuba nyingi. Panda mbegu moja kila shimo na zifukiwe kwa

kina cha sentimeta mbili hadi sentimita tano ili zisiharibiwe au

kuliwa na wanyama kama panya. Mkulima ahakikishe kuwa soya

inapandwa kwenye udongo wenye unyevu wa kutosha; haitakiwi

kabisa kupanda soya kwenye udongo mkavu au kuloweka soya

kabla ya kupanda.

12

kijitabu hitimisho.indd 18

5/17/06 11:36:25 PM