Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
1 2 3

UPANGAJI WA KOROSHO KATIKA

MADARAJA

Utangulizi

Kutekelezwa kwa kanuni za kilimo bora cha

korosho ndiyo njia pekee itakayomhakikishia

mkulima mazao mengi na bora. Ubora wa

korosho huanzia moja kwa moja shambani

kutegemeana na matunzo ya shamba na

mikorosho yenyewe.

Ni dhahiri kwamba hali ya hewa ikiwa nzuri,

shamba likapewa matunzo mazuri pamoja na

mikorosho kupewa kinga thabiti dhidi ya

magonjwa na wadudu waharibifu, mkulima

anaweza kujihakikishia mavuno mengi na

bora. Kwa kufanya hivyo mkulima ataweza

kupata korosho nyingi za daraja la kwanza

ambazo zitampatia malipo mazuri.

Kuokota Korosho

Korosho zilizokomaa vizuri huanguka

zenyewe kutoka kwenye miti (Picha Na 1).

Aina nyingi za mikorosho huangusha korosho

zikiwa zimeunganika na bibo lake. Uokotaji

wa korosho hufanyika kila baada ya siku moja

au zaidi kutegemeana na utaratibu wa mwenye

shamba alivyojipangia. Hali ya hewa, ukubwa

wa shamba na wizi ni baadhi ya mambo

ambayo yanaweza kumfanya mkulima aokote

korosho zake kila mara.

Picha Na 1 Korosho zilikomaa huanguka zenyewe

Baada ya korosho hizo kuokotwa,

hutenganishwa na bibo na kisha nyama

inayobakia kwenye kikonyo cha korosho

huondolewa kwa kutumia kisu au kifaa cho

chote chenye makali.

Kukausha korosho

Korosho zilizovunwa zinatakiwa zianikwe

kwenye jua angalau kwa siku mbili au tatu

kutegemeana na hali ya hewa. Wakati

zimeanikwa zinatakiwa kugeuzwa geuzwa ili

kuhakikisha zote zinakauka vizuri. Korosho

zichaguliwe na kupangwa katika madaraja

kabla ya kuhifadhiwa kwenye magunia.

Upangaji wa korosho katika madaraja ni wa

muhimu ili kumwezesha mkulima apate bei

nzuri kwa daraja la kwanza.

Korosho zipangwe kwenye madaraja mawili

kwa kuzingatia sifa zifuatazo:-

Daraja la Kwanza (Standard Grade- SG) –

Picha Na 2.

• Zimekomaa vizuri, unyevu asilimia 12.

• Zitatoa mlio wa sauti kali ukiziangusha

kwenye sakafu.

• Zina rangi ya kijivu au kikahawia

kilichofifia.

• Hazina makunyanzi.

• Hazina madoa kwenye ganda la nje.

• Zina umbile safi.

Picha 2. Korosho za Daraja la Kwanza (SG)

Daraja la Pili (Under Grade – UG) Picha

Na 3

• Zimekomaa vizuri, unyevu asilimia 12.
4

5

• Zitatoa mlio wa sauti kali ukiziangusha

kwenye sakafu.

• Ganda lake la nje lina madoa doa.

• Zina makunyanzi.

• Hazina rangi ya kijivu wala kikahawia

UTAFITI NA MAENDELEO

KANDA YA KUSINI

Korosho za daraja la kwanza na la pili zote ni

budi ziwe na sifa za msingi za kukauka vizuri

na ujazo wa kutosha ndani (karanga)

UPANGAJI WA KOROSHO KATIKA

MADARAJA

Picha 3. Korosho za Daraja la Pili (UG)

Korosho zisizotakiwa.

• Hazikukomaa vizuri.

• Hazijakauka au mbichi.

• Zimeota.

• Zina makunyazi.

• Nyeusi

Hazina rangi ya kijivu au kikahawia

kilichofifia.

Imetolewa na

KITUO CHA UTAFITI,

NALIENDELE,

S. L. P. 509,

MTWARA Novemba 2003