18.02.2015 Views

tangazo kwa wakulima wa korosho ii - cashewnut board of tanzania

tangazo kwa wakulima wa korosho ii - cashewnut board of tanzania

tangazo kwa wakulima wa korosho ii - cashewnut board of tanzania

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

BODI YA KOROSHO TANZANIA

TANGAZO KWA WAKULIMA WA

KOROSHO

A: UZA KOROSHO BORA

1. ILIYODONDOKA YENYEWE TOKA MTINI NA

KUTENGANISHWA NA BIBO NA KIKONYO CHAKE.

2. ILIYOANIKWA KWENYE JUA KALI KWA SIKU TATU

MFULULIZO.

3. ILIYOPANGWA KATIKA MADARAJA MAWILI LA

KWANZA NA PILI.

4. ILIYOHIFADHIWA VIZURI KWENYE MAGUNIA YA

KATANI AU JUTE NA KUTUNZWA SEHEMU SALAMA.

KIROBA KINAPUNGUZA UBORA WA KOROSHO.

B: JIHADHARI NA MASOKO YASIYOKUWA SAHIHI

1. OGOPA “KANGOMBA” NI KIPIMO KINACHOTUMIKA

KUKUDHULUMU. UTAJUTA UKISHIRIKI.

2. KAGUA MIZANI INAYOTUMIWA KUPIMA KOROSHO

ZAKO KAMA IMEIDHINISHWA NA MAMLAKA YA VIPIMO

NA HAIJACHEZEWA NA MTUMIAJI. KAGUA MAWE YA

MIZANI NA UTOE TAARIFA POLISI KAMA YANA

KASORO.

3. USIKUBALI KUUZA KOROSHO ZAKO CHINI YA BEI

ILIYOTANGAZWA NA BODI YA KOROSHO.

1

4. USIKUBALI KUUZA KOROSHO ZAKO KATIKA MASOKO

YASIYO RASMI – TUMIA VYAMA VYA USHIRIKA VYA

MSINGI.

C: KAMA NI MKULIMA WA MKOA WA MTWARA, KWA

MANUFAA YAKO NA TAIFA ZIMA TUMIA MFUMO WA

STAKABADHI ZA MAZAO GHALANI. WAKULIMA

WENZAKO WALIFAIDIKA NA MFUMO HUU MWAKA

ULIOPITA.

MKULIMA ATALIPWA MARA TATU! MARA YA KWANZA

FEDHA TASLIMU ASILIMIA SABINI YA BEI YA MKULIMA

AKIFIKISHA KOROSHO GULIONI, MALIPO YA PILI ASILIMIA

THELATHINI BAADA YA KOROSHO KUNUNULIWA NA

ATAPATA MALIPO YA TATU KUTOKANA NA FAIDA YA BEI

YA SOKO MWISHO WA MSIMU.

IMETOLEWA NA:

MKURUGENZI MKUU

BODI YA KOROSHO TANZANIA

S.L.P. 533

MTWARA

SIMU NA. 023 2 333303

FAX NA. 023 2 333536

2

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!