18.02.2015 Views

BODI YA KOROSHO TANZANIA - cashewnut board of tanzania

BODI YA KOROSHO TANZANIA - cashewnut board of tanzania

BODI YA KOROSHO TANZANIA - cashewnut board of tanzania

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

BODI YA KOROSHO TANZANIA

TAARIFA YA UFUNGUZI WA UNUNUZI WA

KOROSHO MSIMU WA 2008/2009

BODI YA KOROSHO TANZANIA INAYO FURAHA KUWATANGAZIA

WAKULIMA NA WANUNUZI WOTE WA ZAO LA KOROSHO KUWA MSIMU WA

KOROSHO WA 2008/2009 UMEFUNGULIWA RASMI SIKU YA ALHAMISI

TAREHE 16 OKTOBA, 2008.

UNUNUZI KATIKA MKOA WA MTWARA UTAFUATA MFUMO WA

STAKABADHI ZA MAZAO MAGHALANI.

CHINI YA MFUMO HUU KOROSHO ZITANUNULIWA NA CHAMA CHA MSINGI

CHA USHIRIKA KATIKA MAGULIO YALIYOSAJILIWA, KWA KUWALIPA

WAKULIMA ASILIMIA SABINI YA BEI DIRA KWA KOROSHO DARAJA LA

KWANZA AMBAYO IMETANGAZWA NA BODI YA KOROSHO TANZANIA.

KOROSHO DARAJA LA PILI ITANUNULIWA KWA ASILIMIA MIA MOJA YA BEI

DIRA.

VYAMA VYA MSINGI VYA USHIRIKA VITAKUSANYA KOROSHO HIZO KWA

NIABA YA WAKULIMA NA KUZIPELEKA KWENYE MAGHALA

YALIYOSAJILIWA NA SERIKALI ILI KUTAFUTA WANUNUZI WA KOROSHO.

FEDHA YA KUWALIPA WAKULIMA INATOKANA NA MKOPO WA BENKI KWA

WAKULIMA ULIODHAMINIWA NA KOROSHO ZA WAKULIMA ZILIZOPO

MAGHALANI PAMOJA NA GARANTII YA SERIKALI

KOROSHO ZITAUZWA KWA MNADA UTAKAOFANYIKA MTWARA OFISI YA

BODI YA KOROSHO. WAKULIMA WATALIPWA MALIPO YA PILI ASILIMIA

THELATHINI BAADA YA KOROSHO KUUZWA MNADANI. AIDHA WATALIPWA

MALIPO YA TATU BAADA YA MSIMU KAMA FAIDA ITAPATIKANA KWENYE

MAUZO MNADANI

KWA MIKOA MINGINE KAMA LINDI, RUVUMA, PWANI, DAR ES SALAAM NA

TANGA, VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VITANUNUA KOROSHO KUPITIA

MAGULIO YALIYOSAJILIWA NA HALMASHAURI ZA WILAYA KWA FEDHA

1

TASLIMU ASILIMIA MIA MOJA. HAKUTAKUWA NA MALIPO YA PILI WALA

MALIPO YA FAIDA BAADA YA MNADA.

FEDHA ZA KUWALIPA WAKULIMA KATIKA MIKOA HIYO ZITATOKANA NA

MIKOPO YA BENKI KWA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VINAVYONUNUA

KOROSHO.

WANUNUZI WOTE WA KOROSHO KATIKA MIKOA HII WANAELEKEZWA

WAKANUNUE KOROSHO KWENYE MAGHALA YA VYAMA VIKUU VYA

USHIRIKA NA SI VINGINEVYO.

KOROSHO HAI (ORGANIC CASHEW) ITATENGWA NA KUPANGWA KWA

KUFUATA VYAMA VYA USHIRIKA VYA MSINGI (PRIMARY COOPERATIVE

SOCIETIES) VILIVYOLIMA KOROSHO HIZO NA ZITAUZWA KAMA KOROSHO

HAI KWA KUFUATA TARATIBU ZOTE ZILIZOTAJWA HAPO JUU. ILI

KUPUNGUZA TATIZO LA UNYAUFU KATIKA MAGHALA LILILOJITOKEZA

MSIMU ULIOPITA. KILA CHAMA CHA MSINGI CHA USHIRIKA KITAUZA

KOROSHO ZAKE TU AMBAZO ZIMEINGIZWA MAGHALANI.

WANUNUZI WA KOROSHO WANAOMBWA WAFUATE TARATIBU HIZI ZA

UNUNUZI. WALE WATAKAOJARIBU KUKIUKA TARATIBU HIZI ZA UNUNUZI

NI WALANGUZI HIVYO KOROSHO ZAO ZITAKAMATWA NA KUUZWA KWA

VYAMA VYA USHIRIKA KWA BEI DIRA ILIYOTANGAZWA.

BODI YA KOROSHO INAYO FURAHA KUWATANGAZIA WADAU WOTE WA

SEKTA YA KOROSHO KWAMBA BEI DIRA YA MKULIMA KWA MWAKA

2008/2009 NI:-

DARAJA LA KOROSHO

MWELEKEO/BEI DIRA

(INDICATIVE PRICE)

1. KOROSHO DARAJA LA KWANZA (STD) TSHS. 675/= KWA KILO MOJA

2. KOROSHO DARAJA LA PILI (UG) TSHS. 540/= KWA KILO MOJA

TUNAWATAKIA MSIMU MWEMA NA WENYE MAFANIKIO WADAU WOTE WA

ZAO LA KOROSHO.

MKURUGENZI MKUU

BODI YA KOROSHO TANZANIA

S.L.P. 533

MTWARA

SIMU NA. 023 2 333303

FAX NA. 023 2 333536

2

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!