Ufahamu ubwiri, unga wa mikorosho - cashewnut board of tanzania

Ufahamu ubwiri, unga wa mikorosho - cashewnut board of tanzania Ufahamu ubwiri, unga wa mikorosho - cashewnut board of tanzania

cashewnut.tz.org
from cashewnut.tz.org More from this publisher
18.02.2015 Views

Kupunguza miti (thinning) 4 iliyosongamana na kuacha nafasi ya kutosha kati ya miti, itasaidia kupunguza kuenea kwa ugonjwa. Miti ikiwa katika nafasi ya kutosha, itawezesha hewa kupenya vizuri na kubadili mazingira ili yasiwe mazuri kwa kustawi kwa ugonjwa. 5.2 Kupanda Mikorosho inayovumilia/kuhimili ugonjwa. Ipo baadhi ya mikorosho ambayo inaweza kuhimili mashambulizi ya ugonjwa hata kuweza kutoa mazao bila ya kutumia kinga yoyote. Aina zingine zinaweza kutoa maua na kuzaa kabla ya athari za ugonjwa hata kuweza kukwepa mashambulizi. Hii ni baadhi ya mikorosho bora ambayo hatimaye imepandwa katika eneo moja katika vituo vyetu vyote vya kuendeleza korosho (CDC). Mbegu zinazopatikana toka mashamba hayo ni mbegu bora (polyclonal seed) ambazo zinaweza kuzaa bila madawa, lakini huzaa vizuri zaidi kama mtu atatumia dawa pia. 5.3 Matumizi ya madawa 5.3.1 Dawa ya Salfa (Sulphur) Salfa ndiyo dawa inayotumika kwa wingi zaidi kukinga ugonjwa wa ubwiri unga. Dawa hii ambayo ni ya unga, inapulizwa kwa kutumia mashine maalumu (motorised blower) ya kupulizia dawa km. Maruyama. Kiwango cha gramu 250 kwa mti, kwa mzunguko, ndicho kinapendekezwa. Hivyo basi kwa mizunguko mitano kiasi cha kilo 1.25 cha salfa kwa mti kwa mwaka kinahitajika. 5.3.1.1 Wakati wa kuanza upuliziaji Mpulizo wa kwanza unaanza ambapo karibu asilimia 20 za maua yamejitokeza na wakati sawa, zaidi ya asilimia 5 ya maua hayo tayari yawe yanaonyesha dalili za ugonjwa. Upimaji wa maua ili kujua lini upuliziaji uanze, inasaidia kufanya matumizi sahihi ya dawa, hatimaye faida/pato litakuwa kubwa kwa 5 mkulima. 5.3.1.2 Wakati wa kupulizia dawa Inashauriwa kwamba upuliziaji ufanyike asubuhi na mapema, wakati ambapo kuna umand. Asubuhi, upepo nao huwa hauna nguvu sana na inashauriwa upuliziaji usizidi ya saa 3 asubuhi. Umande unasaidia salfa iweze kunata kwenye majani na maua. Vipindi vifuatavyo, vimependekezwa katika upuliziaji: Siku 14 14 14 21 21 5.3.2 Dawa zingine badala ya salfa. Madawa kadha wa kadha yamefanyiwa utafiti sambamba na salfa. Aina tatu za dawa hizo (waterbased organics), zimependekezwa kwa matumizi ya wakulima, nazo ni Bayfidan, Anvil na Topas. Kiwango cha upuliziaji ni ml 10 - 15 za dawa ndani ya 0.75 - 1.25 za maji kutegemeana na ukubwa wa mti. Vipindi kati ya mipulizo ni wiki tatu (siku 21) na awamu (raundi) 3 zinatosha kwa msimu. Inashauriwa kwamba kutokana na gharama za dawa ya maji, zinafaa zitumike kwenye mikorosho ambayo mkulima ana uhakika wa kutoa zaidi ya kilo 4 baada ya kupulizia. Miti inayotoa chini ya kiasi hicho heri isipuliziwe, vinginevyo italeta hasara. Picha A. Dalili za Ubwiri unga kwenye majani. UTAFITI NA MAENDELEO KANDA YA KUSINI UFAHAMU UBWIRI UNGA WA MIKOROSHO Imetolewa na KITUO CHA UTAFITI, NALIENDELE, S. L. P. 509, MTWARA

Kupunguza miti (thinning) 4 iliyosongamana na kuacha

nafasi ya kutosha kati ya miti, itasaidia kupunguza

kuenea kwa ugonjwa. Miti ikiwa katika nafasi ya

kutosha, itawezesha hewa kupenya vizuri na kubadili

mazingira ili yasiwe mazuri kwa kustawi kwa ugonjwa.

5.2 Kupanda Mikorosho inayovumilia/kuhimili

ugonjwa.

Ipo baadhi ya mikorosho ambayo inaweza kuhimili

mashambulizi ya ugonjwa hata kuweza kutoa mazao

bila ya kutumia kinga yoyote. Aina zingine zinaweza

kutoa maua na kuzaa kabla ya athari za ugonjwa hata

kuweza kukwepa mashambulizi. Hii ni baadhi ya

mikorosho bora ambayo hatimaye imepandwa katika

eneo moja katika vituo vyetu vyote vya kuendeleza

korosho (CDC). Mbegu zinazopatikana toka mashamba

hayo ni mbegu bora (polyclonal seed) ambazo zinaweza

kuzaa bila madawa, lakini huzaa vizuri zaidi kama mtu

atatumia dawa pia.

5.3 Matumizi ya madawa

5.3.1 Dawa ya Salfa (Sulphur)

Salfa ndiyo dawa inayotumika kwa wingi zaidi kukinga

ugonjwa wa ubwiri unga. Dawa hii ambayo ni ya unga,

inapulizwa kwa kutumia mashine maalumu (motorised

blower) ya kupulizia dawa km. Maruyama. Kiwango

cha gramu 250 kwa mti, kwa mzunguko, ndicho

kinapendekezwa. Hivyo basi kwa mizunguko mitano

kiasi cha kilo 1.25 cha salfa kwa mti kwa mwaka

kinahitajika.

5.3.1.1 Wakati wa kuanza upuliziaji

Mpulizo wa kwanza unaanza ambapo karibu asilimia 20

za maua yamejitokeza na wakati sawa, zaidi ya asilimia

5 ya maua hayo tayari yawe yanaonyesha dalili za

ugonjwa.

Upimaji wa maua ili kujua lini upuliziaji uanze,

inasaidia kufanya matumizi sahihi ya dawa, hatimaye

faida/pato litakuwa kubwa kwa 5 mkulima.

5.3.1.2 Wakati wa kupulizia dawa

Inashauriwa kwamba upuliziaji ufanyike asubuhi na

mapema, wakati ambapo kuna umand. Asubuhi, upepo

nao huwa hauna nguvu sana na inashauriwa upuliziaji

usizidi ya saa 3 asubuhi. Umande unasaidia salfa iweze

kunata kwenye majani na maua.

Vipindi vifuatavyo, vimependekezwa katika upuliziaji:

Siku 14 14 14 21 21

5.3.2 Dawa zingine badala ya salfa.

Madawa kadha wa kadha yamefanyiwa utafiti

sambamba na salfa. Aina tatu za dawa hizo (waterbased

organics), zimependekezwa kwa matumizi ya

wakulima, nazo ni Bayfidan, Anvil na Topas.

Kiwango cha upuliziaji ni ml 10 - 15 za dawa ndani ya

0.75 - 1.25 za maji kutegemeana na ukubwa wa mti.

Vipindi kati ya mipulizo ni wiki tatu (siku 21) na

awamu (raundi) 3 zinatosha kwa msimu.

Inashauriwa kwamba kutokana na gharama za dawa ya

maji, zinafaa zitumike kwenye mikorosho ambayo

mkulima ana uhakika wa kutoa zaidi ya kilo 4 baada ya

kupulizia. Miti inayotoa chini ya kiasi hicho heri

isipuliziwe, vinginevyo italeta hasara.

Picha A. Dalili za Ubwiri unga kwenye majani.

UTAFITI NA MAENDELEO

KANDA YA KUSINI

UFAHAMU UBWIRI UNGA WA

MIKOROSHO

Imetolewa na

KITUO CHA UTAFITI,

NALIENDELE,

S. L. P. 509,

MTWARA

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!