18.02.2015 Views

Ufahamu ubwiri, unga wa mikorosho - cashewnut board of tanzania

Ufahamu ubwiri, unga wa mikorosho - cashewnut board of tanzania

Ufahamu ubwiri, unga wa mikorosho - cashewnut board of tanzania

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

1

UFAHAMU UBWIRI UNGA WA MIKOROSHO.

1.0 Utangulizi

Moja ya matatizo makubwa ya uzalishaji wa zao la

korosho ni ugonjwa wa ubwiri unga.Ugonjwa huu

unasababishwa na vimelea aina ya uyoga (fungus)

viitwavyo Oidium anacardii. Ugonjwa huu ni muhimu

sana, kiasi kwamba kama haukuthibitiwa, unaweza

kupunguza mavuno kwa zaidi ya asilimia 70. Ugonjwa

huu umeenea katika mikoa yote inayolima zao hili

Tanzania.

Hapo awali ugonjwa huu ulikuwa unaitwa kwa jina la

“ukungu” kutokana na uhusiano wake mkubwa na hali

ya hewa ya ukungu (litabwe kwa Kimakonde)

unaoonekana alfajiri/asubuhi katika miezi ya Juni -

Septemba. Hivyo basi, jina la Ubwiri unga linatumika

sasa ili kuwawezesha wakulima wasichanganye vitu

hivyo viwili.

2.0 Mashambulizi ya ubwiri unga

Ugonjwa huu unashambulia maeneo yote machanga na

teketeke katika mti wa mkorosho, hasa machipukizi,

majani, maua, mabibo na korosho changa (tegu). Athari

kubwa ya ugonjwa huu inatokana na mashambulizi ya

maua, ambayo hushindwa kufunguka na kuwezesha

chavua kufanya kazi yake, hatimaye hunyauka na

kukauka.

3.0 Dalili za ubwiri unga

Maeneo yaliyoshambuliwa na ugonjwa huu, hufunikwa

na unga unga mweupe au wakijivujivu ambao

huonekana kama vumbi vumbi. Vimelea au chembe

chembe zinazoshambulia ni ndogo ndogo sana na

hazionekani dhahiri kwa macho, ila kwa darubini.

Chembe chembe hizi zinapozaliana kwa wingi katika

maeneo ya mshambulizi, ndipo huonekana kama unga

unga mweupe/kijivu.

2

3.1 Kwenye majani

Pamoja na kufunikwa na unga unga, majani

yaliyoshambuliwa husinyaa, hubadilika rangi,

wakati mwingine hukunjamana. Majani machanga

zaidi yanaweza kupukutika, ambapo yale

yaliyokomaa hayashambuliwi. Masalia ya

mashambulizi kwenye mjani yaliyokomaa,

huonekana kama mabaka ya kahawia, hata hivyo

hayapukutiki.

3.2 Kwenye maua

Maua yanaweza kushambuliwa hata kabla ya

kuchanua. Pamoja na kufunikwa na unga unga

mweupe/kijivu, maua yaliyoshambuliwa sana

hushindwa kuchanua na hatimaye hukauka kabisa na

kuwa kama “majani ya chai”. Hili ndilo sababisho

kubwa la upungufu wa zao la korosho.

3.3 Kwenye mabibo

Mabibo yaliyoshambuliwa huonyesha unyafuzi,

hupasuka pasuka na ngozi yake huonekana kuwa

chafu. Hatimaye, mabibo hayo huwa madogo kwa

umbo, yenye maji kidogo sana, hivyo kuyafanya

maji yake kuwa matamu sana.

3.4 Kwenye tegu na korosho.

Tegu zilizoshambuliwa huweza kubadilika rangi yake

ya kijani/nyekundu na kuwa ya hudhurungi au bluu

iliyo mzito. Tegu zikishambuliwa zingali changa sana,

huweza kupukutika.

Tegu zilizoshambuliwa zikifikia kukomaa, zinaonyesha

uharibifu mkubwa wa ngozi yake na huonekana chafu,

hatimaye, wakati wa mauzo hutengwa katika daraja la

chini (grade II).

4.0 Kustawi kwa ubwiri unga

Vimelea vya ubwiri unga vinaishi kwenye mimea iliyo

hai tu, haijawahi kuoteshwa katika maabara. Ugonjwa

huu hushamiri na kustawi vizuri katika majira yenye

ukungu, hasa kuanzia mwezi 3 Mei/Juni hadi Septemba

karibu kila mwaka.

Mazingira mwafaka kwa ugonjwa huu ni:

• Joto: 26 - 28 0 C (bora 25 o C)

• Unyevu (RH): 80-100% (bora 95%)

Ubwiri unga pia hupendelea zaidi mikorosho

iliyosongamana na isiyopitisha hewa vizuri. Ugonjwa

huu hupendelea mazingira ya kiangazi, hasa kuanzia

mwezi Juni hadi Septemba, haupendelei hali ya mvua na

joto jingi. Hivyo basi, katika miezi mingine (hasa

wakati wa masika), vimelea hujificha na kuishi kwenye

maotea au machipukizi uvunguni mwa mikorosho au

kwenye maua yasiyo ya msimu. Hivi ndivyo vyanzo vya

ubwiri unga, vyenye uwezo wa kuhifadhi ugonjwa

msimu hadi mwingine.

Ugonjwa huu husambazwa kwa upepo ambao nao pia

hushamiri sana katika miezi ya Mei/Juni hadi

Septemba.

5.0 Kuthibiti ubwiri unga.

Zipo njia aina tatu zinazotumika kuthibiti ubwiri unga,

nazo ni mbinu za asili, mbegu bora na madawa.

5.1 Mbinu za asili (Cultural control)

5.1.1 Kuondoa vyanzo vya ubwiri unga (sanitation).

Hii ni kazi ya mikono ya kuondoa machipukizi na

maotea yanayojificha kwenye uvungu wa mikorosho,

kutumia vifaa kama vile upanga, mundu, shoka nk.

Msingi wa kazi hii ni kupunguza kasi ya ugonjwa huu

katika shamba kwa kuchelewesha mlipuko na kasi ya

mashambulizi.

5.1.2 Kubadili mazingira ya ugonjwa katika miti.

Kupunguzia matawi (prunning) ya mikorosho ili

kufanya umbile la mwamvuli katika miti, ili kuruhusu

joto na upepo kupenya kirahisi, inasaidia sana kuthibiti

ubwiri unga.

5.1.3 Kubadili mazingira ya ugonjwa kwenye

shamba

Kupunguza miti (thinning) 4 iliyosongamana na kuacha

nafasi ya kutosha kati ya miti, itasaidia kupunguza

kuenea kwa ugonjwa. Miti ikiwa katika nafasi ya

kutosha, itawezesha hewa kupenya vizuri na kubadili

mazingira ili yasiwe mazuri kwa kustawi kwa ugonjwa.

5.2 Kupanda Mikorosho inayovumilia/kuhimili

ugonjwa.

Ipo baadhi ya mikorosho ambayo inaweza kuhimili

mashambulizi ya ugonjwa hata kuweza kutoa mazao

bila ya kutumia kinga yoyote. Aina zingine zinaweza

kutoa maua na kuzaa kabla ya athari za ugonjwa hata

kuweza kukwepa mashambulizi. Hii ni baadhi ya

mikorosho bora ambayo hatimaye imepandwa katika

eneo moja katika vituo vyetu vyote vya kuendeleza

korosho (CDC). Mbegu zinazopatikana toka mashamba

hayo ni mbegu bora (polyclonal seed) ambazo zinaweza

kuzaa bila madawa, lakini huzaa vizuri zaidi kama mtu

atatumia dawa pia.

5.3 Matumizi ya madawa

5.3.1 Dawa ya Salfa (Sulphur)

Salfa ndiyo dawa inayotumika kwa wingi zaidi kukinga

ugonjwa wa ubwiri unga. Dawa hii ambayo ni ya unga,

inapulizwa kwa kutumia mashine maalumu (motorised

blower) ya kupulizia dawa km. Maruyama. Kiwango

cha gramu 250 kwa mti, kwa mzunguko, ndicho

kinapendekezwa. Hivyo basi kwa mizunguko mitano

kiasi cha kilo 1.25 cha salfa kwa mti kwa mwaka

kinahitajika.

5.3.1.1 Wakati wa kuanza upuliziaji

Mpulizo wa kwanza unaanza ambapo karibu asilimia 20

za maua yamejitokeza na wakati sawa, zaidi ya asilimia

5 ya maua hayo tayari yawe yanaonyesha dalili za

ugonjwa.

Upimaji wa maua ili kujua lini upuliziaji uanze,

inasaidia kufanya matumizi sahihi ya dawa, hatimaye

faida/pato litakuwa kubwa kwa 5 mkulima.

5.3.1.2 Wakati wa kupulizia dawa

Inashauriwa kwamba upuliziaji ufanyike asubuhi na

mapema, wakati ambapo kuna umand. Asubuhi, upepo

nao huwa hauna nguvu sana na inashauriwa upuliziaji

usizidi ya saa 3 asubuhi. Umande unasaidia salfa iweze

kunata kwenye majani na maua.

Vipindi vifuatavyo, vimependekezwa katika upuliziaji:

Siku 14 14 14 21 21

5.3.2 Dawa zingine badala ya salfa.

Madawa kadha wa kadha yamefanyiwa utafiti

sambamba na salfa. Aina tatu za dawa hizo (waterbased

organics), zimependekezwa kwa matumizi ya

wakulima, nazo ni Bayfidan, Anvil na Topas.

Kiwango cha upuliziaji ni ml 10 - 15 za dawa ndani ya

0.75 - 1.25 za maji kutegemeana na ukubwa wa mti.

Vipindi kati ya mipulizo ni wiki tatu (siku 21) na

awamu (raundi) 3 zinatosha kwa msimu.

Inashauriwa kwamba kutokana na gharama za dawa ya

maji, zinafaa zitumike kwenye mikorosho ambayo

mkulima ana uhakika wa kutoa zaidi ya kilo 4 baada ya

kupulizia. Miti inayotoa chini ya kiasi hicho heri

isipuliziwe, vinginevyo italeta hasara.

Picha A. Dalili za Ubwiri unga kwenye majani.

UTAFITI NA MAENDELEO

KANDA YA KUSINI

UFAHAMU UBWIRI UNGA WA

MIKOROSHO

Imetolewa na

KITUO CHA UTAFITI,

NALIENDELE,

S. L. P. 509,

MTWARA

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!