15.01.2015 Views

KIBONDO HABARI MOTO MOTO © - TIST

KIBONDO HABARI MOTO MOTO © - TIST

KIBONDO HABARI MOTO MOTO © - TIST

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

TIST

KIBONDO HABARI MOTO MOTO ©

Tel. +255748-632013/537720 , P.O.BOX 6049 MOROGORO E-Mail info@ tist.org May 2004

KIEMA SMALL GROUP –

KIBONDO

KIEMA small group started on February

2003, their main purpose was conserving and

improving the environment and educate the

people on AIDS / HIV. The started with eight

group members of both sex.

For the period of one year, the group succeeds

to grow seedlings 80,653 and formed more

other six small groups, which have already

registered under UMET program.

For group now have 22,000 planted already in

group members farms and also sold 20,000

seedlings to other small group members and

individuals and get 300,000/=Tsh, that

amount is at bank now. All in all, the group

has gave 13,351 to the various institutions,

those are Kasebuzi, Muyaga, Kahama and

Rusohoko primary schools and Kitahana

village government including Anglican

church and masjid in Kisebuzi village.

Society of Kitahana and Rusohoko have

benefited from the KIEMA group by each

pupil of primary school getting 3 timber

seedlings and 2 fruits seedlings. Total the

group gave out free seedlings to pupils 6,521

where by pupils planted them in their own

areas.

In addition, the group provides training’s to

other small group by using people who

attended the International seminar which

conducted on July in Morogoro, Kibondo

District Municipal council and other NGO’s

which are educating people on HIV/AIDS in

Kibondo district.

KIKUNDI CHA KIEMA - KIBONDO

Kikundi cha KIEMA, kilianza tangu February 2003, kwa

lengo la kuboresha na

kuhifadhi mazingira, pamoja na kuelimisha jamii kujikinga na

maabukizi ya

Virusi vya UKIMWI na UKIMWI.Kikundi kilianza na

wanachama 8, wa jinsia zote.

Kwa kipindi cha mwaka mmoja,Kikundi kimefanikiwa

kuotesha miche ya miti na

matunda 80,653,na kimefanikiwa kuongeza wanachama hadi

kufikia 16,na vilevile

kimefanikiwa kuhamasisha vikundi vingine vidogovidogo

6,ambavyo tayari

vimekwisha sajiliwa chini ya mpango wa TIST.

Kikundi kimefanikiwa kupanda miti zaidi ya 22,000 kwenye

mashamba ya

wanavikundi,kimeuza zaidi ya miche 20,000 na kujipatia

zaidi ya shilingi

300,000.00/=Tsh,ambazo zote mpaka sasa ziko Benki.Zaidi

ya hayo,Kikundi kimegawa

miche 13,351 kwenye Taasisi mbalimbali kama vile Shule za

misingi za

Kasebuzi,Muyaga,Kahama na Rusohoko,Serikali ya kijiji cha

Kitahana na Taasisi

za dini kama vile Kanisa la anglikana Kasebuzi na Msikiti.

Jamii ya Kitahana na Rusohoko imenufaika kwa kugawiwa

zaidi ya miche

6521, waliyopewa kila mwanafunzi wa shule zote miche

mitatu mitatu ya miti ya

mbao,na miche miwili miwili ya miti ya matunda,ili wazazi

wao wakaipande

kwenye maeneo yao.

Kikundi kinatoa elimu hiyo kwa kutumia waelimisha rika

waliopata mafunzo

toka sehemu mbalimbali ikiwemo Semina ya ki-mataifa

iliyodhaminiwa na TIST

iliyo fanyika Mwezi julai huko Morogoro,Halmashauri ya

wilaya-Kibondo,pamoja

na Taasisi nyingine zisizokuwa za ki-serikali,zinazo

shughulikia ma-suala ya

1 Habari Moto Moto ©

In order to fulfill this, the group arranged the

period in Kahama, Kasebuzi and Muyaga

primary schools where pupils taught

AIDS/HIV.

The group started educating by using different

ways like songs, poems and dramas, therefore

the society benefited through this means.

Through the teachings most of the people

have tested their blood willingly.

All those success, came from Mr. Gayo Mhila

who came to educate and started that group. Also

the group send the experts in other groups, like

UMAKI and Vijana Makanisan, including the

villages.

UKIMWI wilayani Kibondo.

Katika kutekeleza vita dhidi ya UKIMWI,Kikundi

kiliweka mpango wa kupewa

vipindi madarasani katika shule za Kahama, Kasebuzi na

Muyaga,ambapo

wanafunzi wanafundishwa juu ya UKIMWI.

Kikundi kilianzisha sanaa,Nyimbo,Ngonjera,Mashairi na

Ngoma,hivyo jamii

inanufaika kwa kupata ujumbe kupitia sanaa hizo.

Kutokana na juhudi

hizo,jamii imepata elimu na kwenda kupima afya zao kwa

hiari.

Mafanikio yote hayo, yametokana na juhudi za Ndugu

Gayo Mhila aliyekuja

kuhamasisha uanzishaji wa Kikundi hicho. Vile vile

kikundi kinapeleka waelimisha rika kwenye vikundi vya

UMAKI na vijana makanisani, pamoja na vitongoji vya

vijijini.

WHY IT IS IMPORTANT TO SEND

INFORMATION TO THE TIST

OFFICE.

We send greetings to all the small groups of TIST.

We have heard good news that many of you are

using Njia Bora. Groups that our TIST reporters

have visited have been very successful in using

Njia Bora. Their maize is growing well, and are

healthy and strong. As we have been hearing

from other groups that they have using

conservation farming in planting maize, they were

not aware of conservation farming, so they only

planted half acre using that Njia Bora for their first

time. We encourage all the groups to continue

using Njia Bora and pay attention to future

articles.

The TIST office and staff are glad to hear that

groups are taking this newsletter seriously. It

meant to be a source of information that we can

communicate to your groups and your groups to

us. With this newsletter, we have been able to

give you information about Njia Bora and

primarialy the holes for planting maize and how to

upkeep on your crops. Some of the groups have

been hesitant to use this information but have

tried anyway and are seeing the positive results.

We are encouraged to hear about successes with

the Njia Bora techniques and encourage you to

continue using Njia Bora in season to come.

During node meetings of each month, we ask all

small groups to turn in their monthly report forms

to your area coordinators. This form informs the

TIST staff of how well groups are doing

UMUHIMU WA KULETA TAARIFA

ZA VIKUNDI KWENYE OFISI YA

TIST

Tunatuma salamu zetu kwa vikundi vidovidogo vya

TIST. Tumesikia habari nzuri kwamba wengi wenu

mnatumia Njia Bora. Vikundi ambavyo mwana habari

wetu alitembelea na kuona jinsi vilivyofanikiwa katika

kutumia Njia Bora. Mahindi yao yamestawi

vizuri,yana afya na yenye nguvu. Kama ambavyo

tumekuwatukisikia kutoka kwa vikundi vingine

kwamba wameumia Kilimo Hai katika kilimo cha

mahindi, hawakufahamu habari za kilimo hai , hivyo

basi walipanda nusu heka tu kwa mara yao ya

kwanza . Tunawatia moyo wanavikundi wote

kuendelea kutumia Njia Bora na kutilia umuhimu kwa

makala zijazo.

Ofisi ya TIST na watumishi wake wanafurahi kusikia

kwamba vikundi vinalichukulia Jarida la HMM

umuhimu kwa lengo. Hii ina maana kuwa ni chanzo

cha taarifa sahihi kwamba wanaweza kuwasiliana

kati ya vikundi na vikundi na pia kuwasiliana nasi.

Kutokana na Jarida tunaweza kutoa maelekezo

kuhusu Njia Bora za uchimbaji mashimo kwa ajili ya

kupanda mahindi na njia ipi ya kuweka mazao yako

vizuri. Vikundi vingine vilianza kusita kutumia

maelekezo haya lakini walijaribu kutumia njia hizi na

kuona matokea mazuri na yenye mafanikiao.

Tunavutwa na kufarijika kusikia kuhusu mafanikio ya

Njia Bora kwa vikundi na tunawapa moyo kuendelea

kutumia Njia Bora katika wakati ujao.

. Wakati wa mikutano ya nodi ya kila mwezi,

tunawaviomba vikundi vyote kurudisha fomu zao za

taarifa ya mwezi kwa mratibu wako wa eneo. Fomu

hii huijulisha ofisi ya TIST ni jinsi gani vikundi

vinafanya vizuri.

2 Habari Moto Moto ©

HMM DISTRIBUTION

Greetings to all small groups. We are writing this to

inform you the importance of HMM distribution,

distribution in small group centers and within the

small groups. We always write this HMM for TIST

small groups members in order to read it. And if they

will not read it, therefore TIST is in general is losing

information. As TIST brings information about Best

practices, so we would like every small group

members to be benefited. If HMM get distributed

well, so every TIST group member will read it. Once

again Iam informing you the importance of making

sure that every group member get chance to read it. If

had already read all the previous versions of HMM, so

make sure that your fellow group members also get a

chance to read those HMMs.

Many thanks from TIST office

Take care of your trees

This year, thousands of trees have been planted

in the TIST program. Take some important steps

NOW to make sure the trees stay alive.

1. Organise the small group to take care of

trees. Make sure they are rensponsible for,

and that there is a schedule for working to

take care of trees

2. Pull weeds from around the trees, weeds

steal nutrients and water from the trees.

3. Keep cattle and goats away from the trees.

Try putting thorn bushes around trees.

Some groups have just planted their trees.

Newly planted seedling may need to be watered

if we have more than a few days of little or no

rain. Keep checking seedling after the rains stop

to see if they need water.

THE BEST USE OF SOIL

What is soil

Soil is the upper layer of the earth that supports

growth of plants. Soil is the result of decomposition of

dead material and the disintegration of rocks.

In Mpwapwa and Kongwa areas there are three well

known types of soil, these types of soil are as

follows:- Sand soil, clay soil and loam soil. The

following are some explanation on which types of the

soil is better for different crops.

MGAWANYO WA HMM

Salamu kwa vikundi vyote. Tunaandika kukuarifu

umuhimu wa kugawanya HMM, mgawanyo kwenye

maeneo na katika vikundi. Siku zote tunaandika

jarida hili kwa ajili ya wanavikundi wa TIST wote kwa

ili waweze kusoma. Na kama hawatalisoma wote

basi TIST kwa ujumla inapoteza taarifa. Ikiwa kama

HMM huwasilisha Njia Bora, tunataka wana TIST

wote kunufaika. Kama HMM ikigawanywa, basi

wana TIST wote wanaweza kulisoma jarida hilo.

Kwa mara nyingine tena ninakuarifuni ninyi vyote

umuhimu wa kuhakikisha kuwa kila mwanakikundi

anapata nafasi ya kulisoma jarida hilo. Kama ukiwa

ulisoma matoleo ya majarida yaliyopita basi

hakikisha kuwa wanakikundi wenzio pia wanapata

fursa ya kusoma majarida hayo. Shukrani kutoka

ofisi ya TIST.

Kutunza miti yako.

Mwaka huu, maelfu ya miti yamekuwa yakipandwa

katika mradi wa TIST. Chukua baadhi ya hatua zilizo

muhimu sasa kuhakikisha kuwa miti inadumu kwa

muda wote.

1. Kuvihimiza vikundi vyote kutunza miti yao.

Hakikisha kuwa wanachama wanafahamu kuwa

miti ipi wanawajibu nayo, na kuwa kuna ratiba

ya kazi juu ya utunzaji wa miti.

2. Ng’oa magugu yote yanayozunguka miti,

magugu hunyang’anya miti yako virutubisho na

maji.

Usiwaachie ng’ombe au mbuzi kwenda kwenye

eneo ulililopanda miti. Jaribu kuzungushia miiba

kwenye miti yako.Baadhi ya vikundi vimepandakiza

miti yao hivi karibuni. Kwa miti yote iliyopndikizwa

hivi karibuni inahitaji kumwagiliwa kamatutakuwa na

siku chache cha uwepo wa mvua kidogo au

kutokuwa na mvua kabisa. Endelea kuangalia

miche yako baada ya mvua kusisima kuona

kama miti yako itahitaji kumwagiliwa

UTUMIAJI BORA WA UDONGO

Udongo ni nini

Udongo ni tabaka la juu ya ardhi linalosaidia ukuaji wa

mimea. Udongo ni matokeab ya maozo ya vitu vilivyo kufa

na miamba iliyopasuka pasuka ( Chembe ndogo ndogo za

miamba iliyiopasuka).

Katika Maeneo ya Mpwapwa na Kongwa kuna aina tatu

za udongo. Aina hizo tatu za udongo ni kama zifuatazo:-

Udongo wa kichanga, udongo wa mfinyanzi na udongo wa

tifutifu. Yafuatayo ni baadhi ya maelezo juu ya aina ya

udongo ulio bora kwa mazao mbalimbali.

3 Habari Moto Moto ©

Sand Soil

This type of soil is made of particles of large diameter.

Therefore the ability of the soil to hold and retain

water is relatively small. This soil will remain passes

quickly through the soil and sinks deeply due to large

particles diameter.

The crops that suited to sandy soil are those that can

survive even if there is a little water, for example

millet, groundnuts, potatoes and sorghum. We advise

all the people who are living around such areas to

plant millets. Another advantage of planting millet is it

can survive even in areas that receive small amount

of rainfall.

Clay Soil

This type of soil has smallest particles diameter so its

capacity of holding water is higher than in other two

types of soil. Clay soil is able to hold water for long

time even if rain end early it will still contain moisture.

Bananas and rice both grow well in this type of soil,

but also require significant rainfall or to be planted

near water sources like rivers. For areas with more

moderate rainfall the planting of maize is best.

Loam Soil

Loam soil an intermediate particle size and therefore

has an ability to retain more water than sand soil but

less than clay soil. For the people who are digging in

loam soil areas we advised to plant maize, millet,

sweet potatoes and cassava.

TIST STATISTICS

TIST groups: 46

TIST trees: 230934

TIST seedlings:243186

WHAT YOU NEED TO DO TO BE A TIST GROUP:

• HAVE AT LEAST 1000 TREES PER

GROUP PER YEAR;

• ONE ACRE OF CONSERVATION

FARMING PER GROUP MEMBER

• SUBMIT SMALL GROUP MONTHLY

REPORTS AS OFTEN AS POSSIBLE;

• TRANSFER THE GHG

SEQUESTRACTION RIGHTS TO UMET

FOR THE PAYMENT RECEIVED;

USE SMALL GROUP BEST PRACTICES AND

WORK TOGETHER TO DEVELOP AND SHARE

WITH OTHER GROUPS BEST PRACTICES IN

ALL AREAS OF YOUR LIVES.

Udongo wa kichanga

Aina hii ya udongo inaundwa na chembe chembe za

kipenyo kikubwa kwa hiyo uwezo wake wa kushika na

kuhifadhi maji ni mdogo, kwa hali hiyo udongo huu

hulowana(huwa na unyevu) tu pale mvua inaponyesha.

Maji hupita haraka udongoni na huzama chini kutokana na

chembe kubwa ( za kipenyo kikubwa ).

Mazao yanayostawi kwenye udongo wa kichanga ni yale

yanayoweza kustahimili hata kama kuna maji kidogo

(Mvua kidogo)mfano mtama, karanga, viazi na ulezi.

Tunawashauri watu wote wanaishi kwenye maeneo yenye

aina hii ya udongo kupanda mtama. Faida nyingine za

kupanda mtama ni kwamba mtama unaweza kustahimili

hata katika maeneo yanayopata kiasi kidogo cha mvua.

Udongo wa Mfinyanzi

Aina hii ya udongo in chembechembe zenye kipenyo

kidogo zaidi kwa hiyo uwezo wake wa kushika maji ni

kikubwazaidi kuliko aina nyingine mbili za udongo. Udongo

wa mfinyanzi unaweza kushika maji kwa muda mrefu, hata

kama mvua itakatika mapema utaendelea kuwa na

unyevu.

Migomba na mpunga vyote hustawi kwenye aina hii ya

udongo lakini huhitaji mvua maalum(rasmi) au kupandwa

karibu na vyanzo vya maji kama mito. Katika maeneo

yenye mvua za wastani ni vizuri kama yatapandwa

mahindi.

Udongo wa tifutifu

Udongo wa tifutifu una chembechembe zenye ukubwa wa

wastani na kwa hiyo unauwezo wa kuhifadhi maji zaidi

kuliko udongo wa kichanga lakini chini ya udongo wa

mfinyanzi. Kwa watu wanaolima kwenye maeneo ya

udongo wa tifutifu tunawashauri kupanda mahindi, mtama

viazi vitamu na mihogo.

TAKWIMU YA TIST

Vikundi vya TIST : 46

Miti ya TIST :230,934

Miche ya TIST : 243,186

MAMBO UNAYOTAKIWA KUFANYA ILIKUWA KWENYE

MRADI WA TIST

• KUWA NA ANGALAU MITI 1000 YA KIKUNDI

KILA MWAKA

• KILA MWANAKIKUNDI AWE NA EKARI MOJA YA

KILIMO HAI;

• KIKUNDI KIRUDISHE FOMU ZA TAARIFA Y

AMWEZI KILA MWEZI;

• KUJAZA MIKATABAB YA KUHAMISHIA HAKI ZA

USAFISHAJI WA HEWA KWA MALIPO

MLIYOKWISHA LIPWA;

• KUTUMIA NJIA BORA ZA VIKUNDI VIDOGO

KWA KUFANYA KAZI PAMOJA KUZIENDELEZA

NA KUSHIRIKISHANA NA VIKUNDI VINGINE

KATIKA MAENEO YENU MNAYOISHI”

4 Habari Moto Moto ©

NODE MEETINGS

MIKUTANO KATIKA VITUO MAALUM

Wiki Siku Eneo la Node Mratibu

Date Day Node place Coordinator

1 st Week Tuesday Kitahana J. Shamba

1st Week Saturd Kibondo E. Gotta

2 nd Week Saturd Bitale E. Gotta

3 rd Week Friday Kifura J. Shamba

3 rd Week Friday Mkabuye C. Chubwa

3rd Week Saturd Kakonko E. Gotta

4th Week Saturd Mabamba E. Gotta

Wiki ya kwanza Jumanne Kitahana J. Shamba

Wiki ya kwanza Jumamosi Kibondo E. Gotta

Wiki ya pili Jumamosi Bitale E. Gotta

Wiki ya tatu Ijumaa Kifura J. Shamba

Wiki ya tatu Ijumaa Mkabuye C. Chubwa

Wiki ya tatu Jumamosi Kakonko E. Gotta

Wiki ya nne Jumamosi Mabamba E. Gotta

5 Habari Moto Moto ©

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!