23.11.2014 Views

Hadithi ya Mpho Utambulisho - Raising Voices

Hadithi ya Mpho Utambulisho - Raising Voices

Hadithi ya Mpho Utambulisho - Raising Voices

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Fursa 1

unamwambia hukuwa unajisikia vizuri. Anasema atakuchukua jioni ya siku inayofuata kwa ajili ya

chakula cha jioni.

Siku nzima inayofuata unahisi kichefuchefu unapowaza kuhusu kuonana na Alim. Hujui unakwenda

unaamua kwamba ni lazima umwambie ukweli. Japokuwa Pamela angekucheka, lakini unahisi Alim

anakupenda na una uhakika atajisikia vibaya sana kwa kukuambukiza ugonjwa na kutaka kukusaidia.

Unapoingia kwenye gari lake anakwambia kwamba unaonekana kama unaumwa na umekonda.

nilienda hospitali na nimegundulika nina VVU.” Mwanzoni Alim hakuamini, lakini baadaye sura yake

inageuka kutoka kwenye mshtuko kwenda kwenye hasira. “Siwezi kukuamini, wewe mtoto kahaba.

Umeoa? Alim, tumekuwa pamoja kwa miezi sasa.”

“Wewe malaya mshenzi,” anapigapiga mikono kwenye usukani na kisha anavusha mkono paja lako

na kuufungua mlango kwenye upande wako. Anakusukumizia nje na kukuacha mtaani akisema

hataki tena kukuona wala kusikia lolote toka kwako.

Anatokomea kwa kasi na gari lake na wewe unabaki umekaa kando ya barabara karibu na kona ya

nyumbani kwenu umeshindwa hata kulia. Unashangaa huku ukiangalia angani, ukijua sasa umebaki

peke yako kuliko hata ulivyokuwa hapo awali.

MWISHO

Huu ndio mwisho wa hadithi ya Mpho. Tumia dakika chache kukaa kimya na utafakari tajiriba yake

Mpho. Unapokuwa tayari, muombe mwezeshaji akupe hadithi ya mwanamke mwingine.

Hadithi ya Mpho B14

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!