Hadithi ya Mpho Utambulisho - Raising Voices

Hadithi ya Mpho Utambulisho - Raising Voices Hadithi ya Mpho Utambulisho - Raising Voices

raisingvoices.org
from raisingvoices.org More from this publisher
23.11.2014 Views

Elimu 2 Bi Okello anasahihisha kazi za wanafunzi unapobisha hodi kwenye chumba cha waalimu na kuomba umuone. Anapoona ni wewe, anakwambia mkutane kwenye chumba cha wagonjwa ambako Anakwambia kuhusu Shirika lisilo la Kiserikali analojua na ambalo linasaidia watu wanaoishi na VVU. Unamwambia huwezi kwenda eneo kama hilo kwa sababu unataka familia yako wasijue kama una VVU, lakini Bi Okello anakuhakikishia kuwa suala lako litakuwa ni siri. Bado huamini anachosema na unamwambia unaona hujakuwa tayari. Anakushika mkono na kuahidi atakwenda na wewe. Unakubali japo ni kwa shingo upande. Pia anakutaka umwahidi kwamba utaacha kukutana na Alim na utakuwa tayari kuwaambia wazazi kuhusu hali yako ili upate huduma nzuri za afya. Unawaza kuhusu hayo mawili, lakini huna uhakika kama uyakubalie. Nenda kwenye Shirika Lisilo la Kiserikali na uchukue kadi namba 1. Hadithi ya Mpho B12

Hadithi ya Mpho Kurudi Nyumbani 1 A13

Hadithi ya Mpho

Kurudi Nyumbani 1

A13

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!