Hadithi ya Mpho Utambulisho - Raising Voices
Hadithi ya Mpho Utambulisho - Raising Voices
Hadithi ya Mpho Utambulisho - Raising Voices
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Elimu 2

Bi Okello anasahihisha kazi za wanafunzi unapobisha hodi kwenye chumba cha waalimu na kuomba

umuone. Anapoona ni wewe, anakwambia mkutane kwenye chumba cha wagonjwa ambako

Anakwambia kuhusu Shirika lisilo la Kiserikali analojua na ambalo linasaidia watu wanaoishi na VVU.

Unamwambia huwezi kwenda eneo kama hilo kwa sababu unataka familia yako wasijue kama una

VVU, lakini Bi Okello anakuhakikishia kuwa suala lako litakuwa ni siri. Bado huamini anachosema na

unamwambia unaona hujakuwa tayari.

Anakushika mkono na kuahidi atakwenda na wewe. Unakubali japo ni kwa shingo upande. Pia

anakutaka umwahidi kwamba utaacha kukutana na Alim na utakuwa tayari kuwaambia wazazi

kuhusu hali yako ili upate huduma nzuri za afya. Unawaza kuhusu hayo mawili, lakini huna uhakika

kama uyakubalie.

Nenda kwenye Shirika Lisilo la Kiserikali na uchukue kadi namba 1.

Hadithi ya Mpho B12