Hadithi ya Mpho Utambulisho - Raising Voices

Hadithi ya Mpho Utambulisho - Raising Voices Hadithi ya Mpho Utambulisho - Raising Voices

raisingvoices.org
from raisingvoices.org More from this publisher
23.11.2014 Views

Ukatili Watokea 3 Huko hospitalini, unaelezea dalili zako kwa muuguzi, na anachungulia mara moja vipele vyako. Anaguna kidogo na anakwambia utahitaji kupimwa VVU na magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya zinaa. Unahamaki. “Sina VVU,” unasema. “Sawa, huwa unatumia kinga?”nesi anakuuliza. Unainama chini kwa aibu. “Kuinama kwako kunamaanisha hapana,” nesi anasema huku akikuchukua damu kwa manung’uniko, “mimi hata sielewi ninyi wasichana wa siku hizi – bado wadogo lakini mnafanya mapenzi.” Nesi anatoka nje kabla hujauliza mengi zaidi, akikuacha peke yako. Unasubiri kwa muda mrefu sana na unachanganyikiwa kuona amekuja mwanamke mwingine Unageugeuza macho yako, ukishangaa kama unapewa mhadhara. Unahisi moyo unaanza kwenda wanaweza kuishi na ugonjwa huu. Huelewi kwa nini anakwambia mambo haya. Kisha kwa upole anasema, “Mpho, una VVU.” Maneno yanakukanyaga masikioni na chumba kizima kinaonekana kama vile kinakuwa kidogo na unazimia. Baadaye unazinduka ukiwa kwenye kitanda cha hospitali na unamuona nesi aliyekuhudumia mwanzoni amekaa humo chumbani. “Hatukujua nani tuwasiliane tena baada ya nesi kukuita uingie tena kuongea na mshauri. uchukue kadi namba 3. Ikiwa unataka kwenda nyumbani na kunyamaza kimya, nenda kwenye Kurudi Nyumbani na uchukue kadi namba 1. Hadithi ya Mpho B10

Hadithi ya Mpho Marafiki na Majirani 3 A11

Hadithi ya Mpho

Marafiki na Majirani 3

A11

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!