Hadithi ya Mpho Utambulisho - Raising Voices

Hadithi ya Mpho Utambulisho - Raising Voices Hadithi ya Mpho Utambulisho - Raising Voices

raisingvoices.org
from raisingvoices.org More from this publisher
23.11.2014 Views

Familia 2 Uko kwenye hali ya kukata tamaa na unajua kabisa kwamba mama yako mkubwa Mary ndiye mtu sahihi wa kuzungumza naye kwa sasa. Ni mweledi na mara nyingi hutenga muda kwa ajili yako, bustani. Anapokuona anatabasamu na kukuomba ujihudumie kwa juisi kutoka jikoni. Ukiwa umekaa karibu naye kwenye mkeka, tayari anaweza kuhisi kuna jambo linakusumbua. Unakuwa wazi kumwambia kuhusu uhusiano wako na Alim na jinsi ulivo na mashaka kuhusu uhusiano huo. Pia unamweleza kwamba baba yako tayari ameshagundua na alishtushwa sana juu ya ni mdogo sana kuanza kutembea na wanaume. Ngoja nimpigie simu mama yako.” Unajaribu kumzuia asimpigie simu mama yako kwa sababu hutaki tena ajue kuhusu Alim. Lakini mrefu wa maongezi kwenye simu, anarudi tena bustanini. na tunashangaa kwa nini huridhiki na maisha unayoishi. Unajua wazazi wako wanafanya kazi kwa bidii ili kukuhudumia mahitaji yako. Unapaswa kushukuru. Mama yako anasema atazungumza na wewe leo jioni. Unajua sisi sote tunakupenda sana, lakini lazima uwe msichana mwenye adabu nzuri.” lakini unajidanganyaHadithi ya Mpho B5

Hadithi ya Mpho Ukatili Watokea 2 A6

Familia 2

Uko kwenye hali ya kukata tamaa na unajua kabisa kwamba mama yako mkubwa Mary ndiye mtu

sahihi wa kuzungumza naye kwa sasa. Ni mweledi na mara nyingi hutenga muda kwa ajili yako,

bustani. Anapokuona anatabasamu na kukuomba ujihudumie kwa juisi kutoka jikoni. Ukiwa umekaa

karibu naye kwenye mkeka, tayari anaweza kuhisi kuna jambo linakusumbua.

Unakuwa wazi kumwambia kuhusu uhusiano wako na Alim na jinsi ulivo na mashaka kuhusu

uhusiano huo. Pia unamweleza kwamba baba yako tayari ameshagundua na alishtushwa sana juu ya

ni mdogo sana kuanza kutembea na wanaume. Ngoja nimpigie simu mama yako.”

Unajaribu kumzuia asimpigie simu mama yako kwa sababu hutaki tena ajue kuhusu Alim. Lakini

mrefu wa maongezi kwenye simu, anarudi tena bustanini.

na tunashangaa kwa nini huridhiki na maisha unayoishi. Unajua wazazi wako wanafanya kazi kwa bidii

ili kukuhudumia mahitaji yako. Unapaswa kushukuru. Mama yako anasema atazungumza na wewe

leo jioni. Unajua sisi sote tunakupenda sana, lakini lazima uwe msichana mwenye adabu nzuri.”

lakini unajidanganya…

Hadithi ya Mpho B5

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!