Hadithi ya Mpho Utambulisho - Raising Voices
Hadithi ya Mpho Utambulisho - Raising Voices
Hadithi ya Mpho Utambulisho - Raising Voices
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Hadithi ya Mpho

Utambulisho

A1
Utambulisho

Jina langu ni Mpho na nywele zangu ni fupi kama mvulana kwa sababu ya kanuni za shuleni. Hata

hivyo, bado naonekana mrembo kwa sababu nina macho makubwa na tabasamu nzuri. Napenda

kukata tamaa kuhusu wastani wa alama zangu au wavulana wanaponichokoza, mara zote yeye huwa

karibu kunisaidia.

Nina umri wa miaka 15 na ninaishi eneo la mjini ambapo baba yangu anafanya kazi kama fundi

ya gari hapo zamani, na hivyo mimi ni mtoto pekee nyumbani kwetu. Hakika nawapenda wazazi

wangu, lakini wanafanya kazi sana kiasi kwamba mara nyingi hawana muda wa kukaa na mimi.

Natumia muda mwingi kwa kuwa nyumbani peke yangu na msaidizi wetu tu. Ingawa nilikuwa mdogo

walipokufa ndugu zangu, bado nawatani sana na mara nyingi nawazia ningefurahi kiwango gani

ningekuwa nao kama wangekuwepo hapa. Dada wa mama yangu, mama mkubwa Mary, hujitahidi

likizo za shule.

Hadithi ya Mpho B1
Hadithi ya Mpho

Ukatili Watokea 1

A2
Ukatili Watokea 1

unawaza kuhusu kukaa nyumbani peke yako kila siku jioni, na unaamua kwamba inaweza

kukufurahisha. Pamela anapanga ahadi ya jozi mbili za wapendanao.

Pamela. Sio wavulana wa kutoka shuleni kwenu; wanaweza kuwa wakubwa mara mbili ya umri

wenu! Wote wawili wamevaa nguo nzuri kiasi kwamba unajisikia vibaya kwa mavazi yako ya kawaida

uliyovaa. Alim, ambaye ndiye mwahadi wako, ni mkarimu na mcheshi. Alim anakurudisha kwa gari

vigumu kidogo kuamini imekutokea. Anakwambia atakupigia simu muda si mrefu.

Uhusiano wenu unaendelea kwa kasi na Alim anakupigia simu karibu kila siku jioni, anakupeleka

ya mgahawani, na anapolipia chumba, unaanza kupata wasiwasi. Hujawahi kulala na mwanaume, na

mtu huyu ni mkubwa sana. Mara ya kwanza ina maumivu sana na unajitahidi kutokuonyesha hofu

Haiumizi sana safari ya pili, na ndani ya majuma machache, unaanza hata kujisikia raha. Ingawa,

kadi namba 1.

Ikiwa unaamua kutafuta ushauri kutoka kwa mama yako, nenda kwenye Familia na uchukue kadi

namba 1.

Hadithi ya Mpho B2
Hadithi ya Mpho

Marafiki na Majirani 1

A3
Marafiki na Majirani 1

Siku chache baadaye, unatembea kutoka shuleni ukiwa na Pamela. Unamwambia kwamba japokuwa

Alim ni mzuri na anakununulia chakula kizuri, bado unaona aibu anapotaka kulala na wewe na

bado una mambo ya kitoto. Unajihisi uso wako umekuwa mwekundu kwa aibu na kukerwa.

“Mpho, fanya lolote analokutaka ufanye Alim. Wewe niamini mimi, inafaa kufanya hivyo. Ngoja

nikuonyeshe.” Kisha anakuongoza kuelekea nyumbani kwao na unamfuata ndani ya chumba

anamolala na dada zake. Anapekue chini ya kitanda na kuvuta sanduku la nguo. Anapolifunua

unapigwa butwaa kuona nguo za kupendeza, vito, simu ya mkononi, kamera, na deki ya CD. Unavuta

ndiye aliyemnunulia vitu vyote hivyo. Anakwambia kwamba kama utaendelea kumridhisha Alim,

kusoma kwenye chuo kikuu.

inavyowezekana na kufanya lolote atakalotaka Alim ili na wewe upate zawadi kama za Pamela. Hujui

itakuwa vigumu kiwango gani…

Hadithi ya Mpho B3
Hadithi ya Mpho

Familia 1

A4
Familia 1

Unajihisi kama unahitaji kuongea na mtu kuhusu uhusiano wako na Alim na jinsi mambo yanavyoenda

kwa kasi. Ingawa mama yako ana shughuli nyingi sana, unahisi huenda anaweza kukusaidia kufanya

maamuzi ya maana. Jioni moja unaamua kukaa macho hadi usiku sana ukimsubiri arudi nyumbani.

na usingizi hapa sebuleni. Haya nenda kitandani sasa.” Unainuka na kumwambia kiuhalisi ulikuwa

mazungumzo, mpenzi wangu. Nimechoka sana na ni lazima sote wawili tukalale. Tutaongea siku

nyingine.” Anakuacha mlangoni pa kuingia chumbani mwako.

Asubuhi inayofuata unaamka mapema sana, unajaribu kutafuta muda mfupi wa kuongea naye kabla

hajaenda kazini, lakini anaongea na mama yako mkubwa kwenye simu na kukukaribia akikwambia

ukae kimya. Unapojaribu kuvuta umakini wake anapopanga vizuri vitu vyake, anakwambia atachelewa

sana na anaahidi atazungumza na wewe mwisho wa wiki.

unashangaa kumuona baba yako kwenye dirisha la mbele, akishuhudia kila kitu. Anapokuhoji kuhusu

machozi.

Familia na uchukue kadi namba 2.

kadi namba 1.

Hadithi ya Mpho B4
Hadithi ya Mpho

Familia 2

A5
Familia 2

Uko kwenye hali ya kukata tamaa na unajua kabisa kwamba mama yako mkubwa Mary ndiye mtu

sahihi wa kuzungumza naye kwa sasa. Ni mweledi na mara nyingi hutenga muda kwa ajili yako,

bustani. Anapokuona anatabasamu na kukuomba ujihudumie kwa juisi kutoka jikoni. Ukiwa umekaa

karibu naye kwenye mkeka, tayari anaweza kuhisi kuna jambo linakusumbua.

Unakuwa wazi kumwambia kuhusu uhusiano wako na Alim na jinsi ulivo na mashaka kuhusu

uhusiano huo. Pia unamweleza kwamba baba yako tayari ameshagundua na alishtushwa sana juu ya

ni mdogo sana kuanza kutembea na wanaume. Ngoja nimpigie simu mama yako.”

Unajaribu kumzuia asimpigie simu mama yako kwa sababu hutaki tena ajue kuhusu Alim. Lakini

mrefu wa maongezi kwenye simu, anarudi tena bustanini.

na tunashangaa kwa nini huridhiki na maisha unayoishi. Unajua wazazi wako wanafanya kazi kwa bidii

ili kukuhudumia mahitaji yako. Unapaswa kushukuru. Mama yako anasema atazungumza na wewe

leo jioni. Unajua sisi sote tunakupenda sana, lakini lazima uwe msichana mwenye adabu nzuri.”

lakini unajidanganya…

Hadithi ya Mpho B5
Hadithi ya Mpho

Ukatili Watokea 2

A6
Ukatili Watokea 2

Unahisi unahitaji zaidi faraja ya Alim kuliko kawaida. Kadri majuma yanavyosogea, unaanza

kuyamudu maisha yako ya njia mbili. Unajaribu kumfurahisha Alim na kutosheleza mahitaji yake,

na mara unaanza kupokea zile nguo nzuri na vito ghali ambavyo alikuwa navyo Pamela. Ukiwa

msichana mwadilifu na wanakuruhusu kusoma masomo ya Biblia.

Unajaribu kumshawishi lakini anakataa kabisa. Anakwambia, “naweza kutumia kondomu kwa yeyote

mwingine, lakini wewe ni mtu maalumu.” Unapinga tena, ukichana kondomu kuifungua, lakini

anainyakua kutoka mikononi mwako. Anadai “Hujui kwamba naweza kwenda kutafuta msichana

hivyo haraka haraka unakubaliana naye.

Tangu hapo Alim anakataa kutumia kondomu tena. Unajua kwamba unachofanya sio sahihi na ni

upumbavu. Unaweza kupata ugonjwa, na kibaya zaidi, hata mimba. Baada ya muda usio mrefu

kama hii ni dalili ya maambukizi au ni hali mbaya zaidi. Unajua unatakiwa kwenda kwa daktari, lakini

unaogopa kile unachoweza kuambiwa.

Ikiwa unaamua kumuuliza mwalimu wako, Bi Okello, kwa ajili ya ushauri nenda kwenye Elimu na

uchukue kadi namba 1.

Hadithi ya Mpho B6
Hadithi ya Mpho

Elimu 1

A7
Elimu 1

Mwalimu wako wa darasa, Bi Okello, amekuwa akikupenda siku zote, na wewe pia unamwamini.

Amekuwa akionesha wasiwasi juu yako kwa sababu umebadilika huko kama zamani, na alama zako

zimekuwa zikishuka tangu uanze kuonana na Alim. Anapokuuliza unaendeleaje siku moja baada ya

kutoka darasani, unaamua kuwa muwazi kwake.

Unasitasita kwa muda na kisha unamwambia kwamba umekuwa ukitembea na mwanaume kwa

miezi michache iliyopita na kwamba mambo yamekuwa yakiendelea kwa kasi sana. Unapotaka

anaweza kutenga jioni moja ya kukuelekeza kimaadili kila wiki.

Unahisi kama umemkwaza mwalimu wako, kwa upande mwingine unajua kwamba yuko sahihi

zawadi zote nzuri ambazo umekuwa ukipata na ambazo huenda utapata siku zijazo, kwa unyenyekevu

unakataa msaada wake.

uchukue kadi namba 2.

Ikiwa unataka kupuuza habari ya vipele na kuendelea kutembea na Alim, nenda kwenye Songa

Mbele na uchukue kadi namba 1.

Hadithi ya Mpho B7
Hadithi ya Mpho

Marafiki na Majirani 2

A8
Marafiki na Majirani 2

Mara tu ulipopata muda wa kuwa peke yako na Pamela, unamwambia unataka kuzungumza naye juu

na anakwambia unaonekana kusongwa sana na mawazo siku hizi na amekuwa akijiuliza ikiwa kuna

kondomu. Pamela anashtuka na anatoa macho maana haamini unachosema. “Mpho, unawezaje

kufanya jambo kama hilo? Unatarajia nini?”

“Ni kwa sababu aling’ang’ania, na nikaona inabidi nikubali,” unaanza kujiumauma. Hofu ya Pamela

inaongezeka pale unapomwambia kuhusu vipele ambavyo umeambukizwa hivi karibuni, na

hivyo hivyo. Anajitolea kukusindikiza, lakini unahisi ulivyomshirikisha inatosha. Unakubali kuahidi

siku ya kwenda. Tarehe ya kwenda inapokaribia, hofu inakuzidi…

Hadithi ya Mpho B8
Hadithi ya Mpho

Songa Mbele 1

A9
Songa Mbele 1

Kadri muda unavyozidi kwenda, unaendelea kuhisi kuchanganyikiwa zaidi na zaidi kuhusu

mambo ya shuleni.

Pamela pia ameshagundua kwamba unasongwa na mawazo mengi na anajaribu kuongea na wewe.

mwangalifu, Mpho,” ankuonya. “Hujui ni wasichana wangapi wengine ambao Alim anaweza kuwa

anatembea nao.” Unajibu kwa jeuri kwamba Alim ni mpenzi wako na hakuna mwingine. Pamela

anacheka na kukuambia usiwe mpumbavu kiasi hicho, akiongezea kwamba wanaume kama Alim

wanao wanawake wengi.

una hofu, unaamua kwenda hospitali kuonana na daktari. Hata hujui nini kitakachotokea huko…

Hadithi ya Mpho B9
Hadithi ya Mpho

Ukatili Watokea 3

A10
Ukatili Watokea 3

Huko hospitalini, unaelezea dalili zako kwa muuguzi, na anachungulia mara moja vipele vyako.

Anaguna kidogo na anakwambia utahitaji kupimwa VVU na magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya

zinaa. Unahamaki. “Sina VVU,” unasema. “Sawa, huwa unatumia kinga?”nesi anakuuliza. Unainama

chini kwa aibu. “Kuinama kwako kunamaanisha hapana,” nesi anasema huku akikuchukua damu

kwa manung’uniko, “mimi hata sielewi ninyi wasichana wa siku hizi – bado wadogo lakini mnafanya

mapenzi.” Nesi anatoka nje kabla hujauliza mengi zaidi, akikuacha peke yako.

Unasubiri kwa muda mrefu sana na unachanganyikiwa kuona amekuja mwanamke mwingine

Unageugeuza macho yako, ukishangaa kama unapewa mhadhara. Unahisi moyo unaanza kwenda

wanaweza kuishi na ugonjwa huu. Huelewi kwa nini anakwambia mambo haya. Kisha kwa upole

anasema, “Mpho, una VVU.” Maneno yanakukanyaga masikioni na chumba kizima kinaonekana

kama vile kinakuwa kidogo na unazimia. Baadaye unazinduka ukiwa kwenye kitanda cha hospitali na

unamuona nesi aliyekuhudumia mwanzoni amekaa humo chumbani. “Hatukujua nani tuwasiliane

tena baada ya nesi kukuita uingie tena kuongea na mshauri.

uchukue kadi namba 3.

Ikiwa unataka kwenda nyumbani na kunyamaza kimya, nenda kwenye Kurudi Nyumbani na

uchukue kadi namba 1.

Hadithi ya Mpho B10
Hadithi ya Mpho

Marafiki na Majirani 3

A11
Marafiki na Majirani 3

na anasimama. “Oh hapana, Mpho! Vibaya sana! Lilitokeaje hili? Nilikwambia kutumia kondomu,”

anakugombeza na unaanza kulia kwa nguvu zaidi.

“Nifanyeje sasa?” unaomboleza. “Ssh, ssh,” Pamela anajaribu kukunyamazisha na mnatembea kimya

kuhusu ugonjwa huo. “Hata Alim?”unauliza, “Nisimwambie?” unauliza. Pamela anakutahadharisha

kwamba Alim atakuacha kama utamwambia na anakushauri uwe mbali naye kwa muda. Anasema

ndoto za majinamizi usiku kucha. Unapoamka na kukumbuka hali yako, inakuwia vigumu kunyenyuka

kunakufanya uhisi kama utapasuka.

Ikiwa unaamua kuzungumza na mwalimu wako, nenda kwenye Elimu na uchukue kadi namba 2.

Ikiwa unataka kutumia fursa na kumuona Alim, nenda kwenye Fursa na uchukue kadi namba 1.

Hadithi ya Mpho B11
Hadithi ya Mpho

Elimu 2

A12
Elimu 2

Bi Okello anasahihisha kazi za wanafunzi unapobisha hodi kwenye chumba cha waalimu na kuomba

umuone. Anapoona ni wewe, anakwambia mkutane kwenye chumba cha wagonjwa ambako

Anakwambia kuhusu Shirika lisilo la Kiserikali analojua na ambalo linasaidia watu wanaoishi na VVU.

Unamwambia huwezi kwenda eneo kama hilo kwa sababu unataka familia yako wasijue kama una

VVU, lakini Bi Okello anakuhakikishia kuwa suala lako litakuwa ni siri. Bado huamini anachosema na

unamwambia unaona hujakuwa tayari.

Anakushika mkono na kuahidi atakwenda na wewe. Unakubali japo ni kwa shingo upande. Pia

anakutaka umwahidi kwamba utaacha kukutana na Alim na utakuwa tayari kuwaambia wazazi

kuhusu hali yako ili upate huduma nzuri za afya. Unawaza kuhusu hayo mawili, lakini huna uhakika

kama uyakubalie.

Nenda kwenye Shirika Lisilo la Kiserikali na uchukue kadi namba 1.

Hadithi ya Mpho B12
Hadithi ya Mpho

Kurudi Nyumbani 1

A13
Kurudi Nyumbani 1

Unatembea kurudi nyumbani, vigumu kujizuia machozi yasitoke. Hujui nini cha kufanya au nani wa

kulala kabla wazazi wako hawajarudi. Unashindwa kulala vizuri kwa mawazo na unaamka asubuhi

Unamwambia mama yako kuwa hujisikii vizuri na hutakwenda shuleni. Haonyeshi kujali sana

na anakwambia upumzike upate nafuu. Baada ya kukaa siku kadhaa nyumbani mama yako

na kushinda umelala siku zote za mapumziko ya mwisho wa wiki. Alim amekuwa akikupigia simu

lakini hujisikii kupokea. Unahisi hasira sana kwa Alim kukuambukiza VVU lakini unatamani faraja

ilivyokuwa usiku wa kwanza kutembea naye bila kuwa na hofu yoyote.

Siku moja baada ya kutoka shuleni, Pamela anakutaka umwambie nini kinachoendelea. Unaanza kulia

yeyote. Anakushauri kama huwezi kumwambia yeye, ni vema umwambie mtu mwingine kwa sababu

umeanza kuonekana kama mgonjwa.

Ikiwa unataka kuongea na Bi Okello kuhusu mambo yako, nenda kwenye Elimu na uchukue kadi

namba 2.

Ikiwa unataka kumuona Alim, nenda kwenye Fursa na uchukue kadi namba 1.

Hadithi ya Mpho B13
Hadithi ya Mpho

Fursa 1

A14
Fursa 1

unamwambia hukuwa unajisikia vizuri. Anasema atakuchukua jioni ya siku inayofuata kwa ajili ya

chakula cha jioni.

Siku nzima inayofuata unahisi kichefuchefu unapowaza kuhusu kuonana na Alim. Hujui unakwenda

unaamua kwamba ni lazima umwambie ukweli. Japokuwa Pamela angekucheka, lakini unahisi Alim

anakupenda na una uhakika atajisikia vibaya sana kwa kukuambukiza ugonjwa na kutaka kukusaidia.

Unapoingia kwenye gari lake anakwambia kwamba unaonekana kama unaumwa na umekonda.

nilienda hospitali na nimegundulika nina VVU.” Mwanzoni Alim hakuamini, lakini baadaye sura yake

inageuka kutoka kwenye mshtuko kwenda kwenye hasira. “Siwezi kukuamini, wewe mtoto kahaba.

Umeoa? Alim, tumekuwa pamoja kwa miezi sasa.”

“Wewe malaya mshenzi,” anapigapiga mikono kwenye usukani na kisha anavusha mkono paja lako

na kuufungua mlango kwenye upande wako. Anakusukumizia nje na kukuacha mtaani akisema

hataki tena kukuona wala kusikia lolote toka kwako.

Anatokomea kwa kasi na gari lake na wewe unabaki umekaa kando ya barabara karibu na kona ya

nyumbani kwenu umeshindwa hata kulia. Unashangaa huku ukiangalia angani, ukijua sasa umebaki

peke yako kuliko hata ulivyokuwa hapo awali.

MWISHO

Huu ndio mwisho wa hadithi ya Mpho. Tumia dakika chache kukaa kimya na utafakari tajiriba yake

Mpho. Unapokuwa tayari, muombe mwezeshaji akupe hadithi ya mwanamke mwingine.

Hadithi ya Mpho B14
Hadithi ya Mpho

Shirika Lisilo la

Kiserikali 1

A15
Shirika Lisilo la Kiserikali 1

Siku inayofuata baada ya kutoka shuleni, Bi Okello anakupeleka kwenye shirika lisilo la kiserikali na

Bi Okello anaongea na mwanamke aliyepo kwenye mapokezi na mnasubiri hapo mpaka unaitwa

kuingia kuonana na mshauri. Bi Okello anataka akusindikize, lakini unamwambia ungependa uende

peke yako.

Unaruka kutoongelea maisha ya utotoni na yale ya wazazi wako kukuacha peke yako, badala yake

unakwenda moja kwa moja kuhusu uhusiano wako na Alim. Anakunja uso unapomwambia kuhusu

kutokuvaa kondomu na anakutazama kwa mshangao. Unahisi moyo kudidimia, lakini anabadili

mada na anaanza kuongea kuhusu kwenda hospitali ambayo kinga zako (CD4) zinaweza kupimwa

unavyoweza kubaki kawaida, kijana mwenye afya nzuri kwa muda mrefu. Kidogo unajisikia nafuu

Anakualika kuhudhuria vikao vya kutoa huduma ya kila wiki vya kikundi cha kusaidia vijana wanaoishi

kujaribu kuhudhuria kipindi kimoja. Unashangaa jinsi unavyosikia raha kwenye kikundi cha huduma

hizo, na hata umeweza kucheka baada ya kutocheka kwa majuma kadhaa yaliyopita. Muda si mrefu

na kwamba siku moja lazima uwaambie wazazi wako kuhusu hali yako. Mambo ya usoni hayatakuwa

rahisi, lakini kila siku unajisikia angalau mwenye nguvu zaidi.

MWISHO

Huu ndio mwisho wa hadithi ya Mpho. Tumia dakika chache kukaa kimya na utafakari tajiriba yake

Mpho. Unapokuwa tayari, muombe mwezeshaji akupe hadithi ya mwanamke mwingine.

Hadithi ya Mpho B15