29.10.2014 Views

shirika la viwango tanzania (tbs) taarifa kwa umma utekelezaji wa ...

shirika la viwango tanzania (tbs) taarifa kwa umma utekelezaji wa ...

shirika la viwango tanzania (tbs) taarifa kwa umma utekelezaji wa ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS)

TAARIFA KWA UMMA

UTEKELEZAJI WA MPANGO WA KUKAGUA BIDHAA KATIKA NCHI

ZINAKOTOKA KABLA HAZIJASAFIRISHWA KUJA NCHINI (PVoC)

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lilianza kukagua na kuthibitisha ubora wa bidhaa

katika nchi zinakotoka kabla hazijasafirishwa kuja nchini kuanzia Februari 1, 2012.

Utaratibu huu unafanyika chini ya Mpango wa Kuthibitisha Ubora wa Bidhaa katika

nchi zinakotoka kabla hazijasafirishwa kuja nchini (PVoC).

TBS inapenda kuwakumbusha waagizaji wote wa bidhaa kutoka nchi za nje pamoja

na umma kwa ujumla kuwa shehena zote zinapaswa kuthibitishwa kuwa zinakidhi

matakwa ya viwango husika kabla hazijasafirishwa kuja Tanzania. Shehena

zitakazokidhi matakwa ya ubora zitapewa Cheti cha Ubora (CoC).

Kuanzia Agosti 1, 2012, shehena zote zisizo na CoC zitatozwa faini ya asilimia kumi

na tano (15%) ya thamani ya CIF kisha kukaguliwa kwa utaratibu wa ukaguzi wa

bidhaa zinapoingia, yaani Destination Inspection. Shehena zisizokidhi matakwa ya

viwango zitarejeshwa katika nchi zinakotoka au kuharibiwa kwa gharama ya

mwagizaji.

Ili kuepuka kadhia hii, waagizaji wote wa bidhaa wanaaswa kuhakikisha kuwa

shehena zao zinathibitishwa na mawakala wa ukaguzi wa TBS ambao wana ofisi

kote duniani. Mawakala hao ni:

1) Intertek

2) Bureau Veritas

3) SGS

Maelezo zaidi kuhusiana na mawakala wa TBS pamoja na ofisi zao duniani kote

yanapatikana katika tovuti yetu, www.tbs.go.tz.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na:

Mkurugenzi Mkuu

Shirika la Viwango Tanzania

S L P 9524

DAR ES SALAAM

Simu: 255 22 2450298/2450206

Faksi: 255 22 2450959

Baruapepe: info@tbs.go.tz

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!