23.07.2014 Views

KILIMO KATIKA NJIA ZA MUNGU - Farming God's Way

KILIMO KATIKA NJIA ZA MUNGU - Farming God's Way

KILIMO KATIKA NJIA ZA MUNGU - Farming God's Way

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

KILIMO KATIKA NJIA ZA

MUNGU

KITABU CHA MAFUNDISHO

NA Grant Dryden

MAFUNDISHO YAKILIMO KATIKA NJIA ZA MUNGU

MPANGILIO WA WASHA

1. Utangulizi 9.00 9.30 Hitaji

2. Sululisho la Kiungu 9.30 10.15 Kumtabua Mungu

3. Sululisho laKiungu 10.15 11.00 Kutengeneza Hekalu

4. Sululisho la Kiungu 11.15 11.45 Zaka na Dhabihu

5. Sululisho la Kiungu 11.45 12.15 Kupanda na Kuvuna

6. Sululisho la Kiungu 12.30 12.45 Utoshelevu

7. Sululisho la Kiungu 12.45 13.00 Vita vya Kiroho

8. Blanketi ya Mungu 14.00 14.30 Usiteketeze

9. Mwanzo wa Ulimaji 14.30 15.00 Usifukue

10. WWG 15.00 17.00 IUtekelezaji

Majadiliano ya 1: Hitaji

1) Kisa cha Boni

2) Njaa na Umaskini – Habari zinazoonyesha hesabu kuhusu chakula katika

Afrika

Tani milion 21ya nafaka huingizwa kutoka nchi zingine

Tani million 3 ya chakula cha Masaada

Maisha ya watu kuharibika

3) Mazao

Kimo cha katikati sehemu ya chini ya jangwa ikiwa ratli 300 katika hekari

Chakula kinachohitajika mtu mmoja katika mwaka mmoja – ratli 450 ie ratli 1,200ratli 1,500 katika jamii

kwa mwaka.

4) Mmonyoko wa udongo

Kipimo cha katikati cha ratli 30,000 kwa hekari hupotea.

Bidhaa kubwa kutoka Afrika inayopelekwa kwingine

Zimbabwe inawesa kujaza gari mbili za moshi cha udungo kuzunguka ulimwengu ule inayopoteza kwa

mwaka.

Mto Tana Mto wenye samaki hata hivyo

Mvua kidogo ya ratli 30,000 ikilinganishwa mazao ratli 300

Mvua nyingi mahali pakavu

Million nyingi za mbolea hupetea kwa njia ya mmonyoko wa undongo

5) Kazi

Wakulima wanajiangaliwa katika picha baya

Hudharauliwa na jamii.

Uhamiaji mijini.

6) Rasilmali

Bakuli ya Africa ya kuombea

Hitaji la matingatinga– huvunjika na hayatengenezwi.

Bei ya mbolea inakuwa juu,

Mbegu zinakuwa na bei ya juu.

Pesa zinazohitajika ni nyingi sana.

7) Hali ya kilimo

Baya – kwasababu ya ukosefu wa maarifa

Kwa mfano: Kuzuia gugu hasa wakati wa kuvuno umekaribia

Wakati mbegu zimekaribia kumea

Kuongeza uzuri udongo katika kuutia mbolea

1

Majadiliano ya 2: Sululisho ya Kiungu

Hakuna elimu itakavyoweza kuvunja laana ya Mungu ya umaskini juu ya bara.

Kilimo katika njia za Mungu – neno pamoja na tendo.

Sululisho la Kiungu kwa swali “kwa nini?”

1) Mkiri Yeye

• Mithali 3:6 Katika njia zako zote mkiri Yeye, Naye atayanyosha mapito yako.

• Mwanzo 1:29,28,14

• Mwanzo 2:15 BWANA Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na

kuitunza.

• Yohana 1:1-3

• Hosea 2:8-9 Maana hukujua ya kuwa mimi ndiye…

• Isaya 40:21-28 Je! Hamkujua? hamkusikia? Hamkuambiwa tokea mwanzo? Hamkufahamu tangu

kuwekwa misingi ya dunia? Yeye ndiye…

• Amosi 4

• Kumbukumbu la Torati 6:13-15 (Sheria) na Kum 7:12-16 (Ahadi)

• 2 Mambo ya Nyakati 7:14 Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa Jina langu, watajinyenyekesha, na

kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe

dhambi yao, na kuiponya nchi yao.

2) Kutengeneza Hekalu

• Hagai 1:4-11 Zitafakarini njia zenu – hekalu Yangu inakaa katika hali ya huharibika

• 2 Wakorintho 6:16-18 Kwa maana sisi ni hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya

kwamba, "Nitakaa ndani yao,na kati yao nitatembeaa, Nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa

watu wangu.

• 1Wakorintho 3:16 Hamjui ya kuwa ninyi hekalu la Mungu, na yakuwa Roho wa Mungu anakaa ndani

yenu?

• 1Petro 2:5 Ninyi nanyi, kama mawe yaliyo hai, mmejengwa mwe nyumba ya Roho, Ukuhani

mtakatifu, mtoe dhabihu za roho, zinazokubalika na Mungu, kwa njia ya Kristo Yesu.

3) Leteni zaka na dhabihu

• Malaki 3 – Je mwanadamu atamwibia Mungu? Lakini ninyi mnaniibia Mimi, mmeniibia zaka na

dhabihu.

• Ndoto za jamii ambazo zinazowapatia wachungaji, wanjane na yatima, wenye njaa riziki.

• Ndoto za faida na ghala ambazo zinafurika kwa ajili ya kushugulikia elimu na afya ya jamii.

4) Kupanda kwa Ukarimu na kwa furaha

• 2 Wakorintho 9:6-7 Lakini nasema neno hili: Apandaye haba atavuna haba, apandaye kwa ukarimu

atavuna kwa ukarimu. Kila mtu na atende kama alivyokusudia moyoni mwake, si kwa husuni wala si

kwa lazima, maana Mungu hupenda yeye atoae kwa moyo wa ukunjufu.

• 2 Wathesalonike 3:10 Ikiwa mtu hataki kufanya kazi,basi, asile chakula.

• Mithali 28:19 Alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, Bali afuataye mambo ya upuzi atapata

umaskini wa kumtosha.

5) Utoshelevu– “Na aliye mnyonge na aseme niko na nguvu, na aliye maskini aseme

niko tajiri”

• Mahitaji ya kutegemea wengine itavunjwa

• 2 Wakorintho 9:8-10

• 2 Wakorintho 9:8 … mkiwa na riziki za kila namna siku zote, mpate kuzidi sana katika kila tendo

jema.

• Shamba

• Afya

• Wakati

• Usimamizi

• Mbegu

• Mbolea

• Jembe

2

• Mungu anapatiana – Mvua na mazao

6) Vita za kiroho

• Adui watatu – Taratibu za dunia, mwili na shetani na mapepo wake.

• Mamlaka – Mathayo 28:18 Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia "Nimepewa mamlaka yote

mbinguni na duniani”.

• Waefeso 6:12 Kwa maana kushindana kwetu si juu ya damu na nyama, bali ni juu ya falme na

mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

3

Majadiliano ya 3: Kilimo katika njia za Mungu

Tafsiri:

Ulimaji katika njia za Mungu ni jinsi ya ukulima ambayo unatoa mazao ya kumletea Mungu

utukufu, na kuleta faida ya kustahimiri katika urithi kwa kizazi kitakapokuja.

Utangulizi katika kilimo katika njia za Mungu

Ulimaji katika njia za Mungu umeendelea kufanya kazi zaidi ya miaka ishirini na nane katika mashamba makubwa ya

biashara, na Brian Oldreive katika shamba la Hinton, nchini Zimbabwe. Uamuzi wa kutekeleza ukulima katika njia za

Mungu ulitokana na hitaji la kutaka kusahihisha mazao kuenda chini na bei ya ukulima kuongazeka, mmonyoka wa

udongo kwa njia kubwa na kuwa na shida ya hali ya fedha. Kilimo katika njia za Mungu kilianzizwa ili kuendeza

ukukima katika mashamba makubwana baadaye kuvutia kwa wakulima wenye mashamba mandogo ili nao pia, waweze

kufaidika kutokana na mapato ya matokeo yenye kuvutia.

Brian Oldreive alipata kuwa msimamizi Shambani la Hinton, karibu na Bindura lililoko Mashariki Kaskazini mwa

Zimbabwe, mwezi wa kumi1982. Wakati huo, Shamba la Hinton lilikuwa katika hali baya ya fedha na mazao yalikuwa

mabaya na lilikuwa katika hali ya ukasefu wa usitawi. Uchunguzi wake ulisukumwa na uangalizi wake kuhusu

kupoteza udongo na maji kwa njia ya kutisha kupitia mmonyoko wa chembeche vizuri vya udongo. Alimuuliza Mungu

amfundishe vile anvyiweza kushinda shinda ambazo alikuwa akikutana nazo na hivyo uvumbuzi juu ya kilimo katika

njia za Mungu ukaanza. Mungu akaanza kumzungumzia kuhusu vile Yeye anatunza maumbile, wapi ambapo Yeye

hajawahi kuchimbua udongo, wapi ambapo hajawahi kuharibu udongo katika kubuni mimea inayooza katika uzo wa

ardhi. Mungu pia akaongea katika njia ya kueleweka kuhusu usimamizi; wakulima bora wanaitwa kukubali, kuwa

waangalifu katika kutunza ardhi, katika njia ambazo watahakikisha kuwa mashamba ya kilimo yamepitishwa yakiwa

urithi kutoka kizazi kimoja kwenda kingine na kumletea Mungu utukufu.

Utekelezaji kilimo katika njia za Mungu ulifanywa kwanza katika hekare mbili na punde kwa punde kuongezwa

kuhusisha shamba lote. Siri ya utekelezaji katika njia ya pole pole ilikuwa kuhakikisha kwamba kila juhudi imefanywa

ya ukulima kufikia ubora katika njia za Mungu. Katika muda mfupi, mazao na faida yalisitawi mara dufu, kiasi kwamba

Shamba la Hinton liliweza kupanuliwa kwa kununua mashamba yaliyopakana, kutoka hekari 1200 mpaka hekari 3500.

Uwaja mkubwa ulikuzwa maradufu, kwa mabandiliko ya mavuno, kwa muda wa miaka 18 wakati wa usimamizi wa

Brian, kukiwa na aina nyingi za mazao kama mahidi, ngano, maharagwe, njugu karanga, pamba, mtama, maua, miwa,

kahawa, mboga, njugu nyasi na & macadamia kokwa.

Kwa ajili ya ulimaji katika njia za Mungu, Shamba la Hinton likapokea tuzo nyingi pamoja na kuwa: mkuzaji mahidi

wa mwaka, mkuzaji ngano wa mwaka, hata na kuwa mmoja wa wanachama bora wanaoitwa chama cha Tani Kumi wa

mazao ya mahidiyanayozidi toni10 kwa hekari (bora toni13 kwa hekari). Brian pia alikaribishwa katika mkutano wa

mataifa kuzungumzia juu ya kutunza ukulima.

Ufanisi katika shamba la Bwana Hinton punde ulionyesha tofauti na ufukara (umaskini) wa wakulima wa ujamaa

waliokuwa wamepakana. Mashamba yaliyopakana yalikuwa katika mazoea ya ulimaji mbaya, eneo kubwa likiwa mvuo

mkavu na kumonyoka kwa udongo kukiwa kawaida na mazao yakiwa dhaifu na baya. Mungu akaanza kuweka shauku

kubwa katika moyo wa Brian, kuhamisha mazoezi ya kilimo katika njia za Mungu kwa wakulima wenye mashamba

mandogo mashinani kote Afrika.

Kilimo katika njia za Mungu kinahusu kulejeza mazoea ya ulimaji katika njia ambayo Mungu alikusudia ndivyo tuweze

kuwa watu ambao watatimiza amri yake “tunza na fanya kazi katika bustani” katika njia ambayo inaweza kulejesha

urithi wa dhamani kwa kizazi kijazo.

“Ninafanya vile nimemwona Baba yangu akifanya…

Ninasema yale nimemsikia Baba yangu akisema ….”

Kulejeza vitu vyote kwa Mungu.

Je! hii inastahili katika kilimo?

Lakini kwanini????

4

Majadiliano ya 4: Elimu ya kilimo katika njia za Mungu.

1) Blanketi ya Mungu – Uziteketeze!!!

30-100% ya ardhi hufunikwa katika mabaki ya mimea inayooza

• Mgongano ya tone la mvua na uso wa ardhi unapunguzwa.

• Hali ya udongo kuyeyuka inapunguka – kutoka 90% ambayo haijafunikwa ikilinganiswa na 6%

ambayo iko na blanketi

• Mchujo bora - 10% ikilinganiswa na 94%

• Mmonyoko wa udongo unapunguzwa – tani30 kwa hekari kulinganisha na tani 0,6 kwa hekari

• Kupunguzwa kwa mvuke

• Hali ya kuwa na joto au baridi katika udongo inakuwa ya kiasi – ubora wa kuchipuka na kukua kwa

mche au mbegu

• Kutia nguvu kuendeleza kuwepo kwa jamii ya wanyama wa namna zote na jamii ya mimea yote ya

nchi katika udongo

• Utaratibu wa mizizi karibu na sura ya ardhi

• Chakula bora ya kukuza mimea inapatikana

• Mazao yanaongezeka

• Uthabiti wa mazao wakati wa ukosefu wa mvua

• Upungufu wa wingi wa gugu.

2) Ulimaji bila kuchimba – Usifukue!!!

• Hali ya kuvuruga udongo inakuwa kidogo

• Maumbile ya udongo inaborezwa

• Hali ya udongo kuweka maji inaongezeka

• Mmonyoko wa udongo unapunguka

• Kuboresha kuwepo kwa jamii ya wanyama na jamii ya mimea katika udongo – waliyo kwenye hewa

na waliyo kwenye udongo

• Kupunguza juhudi

• Kupunguza gharama– gharama ya bidha za kupanda inapunguzwa kwa nuzu na ya tinga tinga kwa

theluthu (sehemu ya tatu)

• Mimea inapandwa punde tu baada ya mvua

3) Usimamizi bora

• Kwa wakati

• Kwa namna bora

• Hasara inakuwa kidogo

• Mpangilio

• Kuangalia

• Kama ni kwa Bwana

Hatua kwa hatua jinsi ya kutenda

a) Vyombo vinavyohitajika

• Jembe

• Vikombe vya kuweka mbolea

• Vijiti vya kupima

• Uzi na vivuniko vya chupa

• Mbolea au chochote kinachotia udongo nguvu

• Mbegu

b) Kutayarisha shamba

• Usifukue

• Usiteketeze

• Vyeka na uondoe vizuizi

5

• Zuia gugu

• Mistari kwa umbo

• Fukua shimo kipimo ya 60*75 cm kwenda chini

• Mashimo – chimba upana – 8cm kwenda chini – udungo uende upande unaotelemka

• Mashimo – 15cm kwenda chini weka mbolea

• Maliza inapofikia mwezi wa Kumi sehemu za mvua

c) Kuweka chokaa

• Kulingana na utafiti kuhusu udongo

• Weka sawasawa toka upande moja mpaka wa pili katika sehemu ya chini ya shimo

d) Kuweka mbolea

Kulingana na matalajio ya mavuno

• Hakikisha mbolea imepatikana kufikia mwisho wa mwezi wa Kumi – tia kabla ya mvua

• Kikombe ya ml12 ya “ DAP” au mkebe wa mbokea

• Weka sawasawa toka upande moja mpaka wa pili katika sehemu ya chini ya shimo

• Funika kidogo kwa udongo mpaka urefu wa kwenda chini unaohitajika kupanda mbegu umebaki

• Ngojea mpaka mvua unaofaa umenyesha

e) Kupanda

• Baada ya mvua mzuri kutoka tarahe 15 Mwezi wa Kumi na Moja (Novemba 15)

• Punde tu baada ya mvua – kwa muda wa siku mbili

• Tatu (3) kwa shimo baadaye zipunguzwe mpaka mbili (2) kwa shimo - mimea 44,000 kwa hekari

moja

• Kwenye mistari imenyooka

• Kupanda chini – urefu wa kiberiti kwa mahidi; upana wa kiberiti soya (maharagwe); uzito wa kiberiti

kwa mtama

• Funika kwa uangalifu

• Usiweke blanketi kwa udongo umefunika kwake au juu ya mashimo

• Madokezo ya siku za kupanda mahidi, mtama, pamba na njugu karanga

Jumla ya kiasi ya mvua hupokewa

Mm 100

Mm 85

Mm75

Mm 50

Mm 30

Siku ya kupanda

Juma la kwanza la Novemba

Juma la pili la Novemba

Juma la tatu la Novemba

Jumu la nne la Novemba

Juma la kwanza Desemba

• Maua na soya (maharagwe) zinastahili kupandwa baadaye lakini ikiwa imechelewa iwe ni katikati

Decemba.

6

f) Kuzuia gugu

• Yatoe wakati yako ndogo - siku ya tatu zikiwa na inchi 1 ikilinganishwa na siku 12 wakati siko na futi

1

• Hii inakupatia siku kadha za kupumzika ikilinganishwa na wakati hauwezi kufikia yote

• Linakuwa hakuna magugu

• Mazaa mawili kwa siku

• Fukua kidogo tu chini ya ardhi – kata mizizi – isipokuwa nyasi inayotambaa.

g) Mbolea (samadi) ya kutawanyia juu ya ardhi

• 1 Ikiwa na urefu wa kimo cha goti– kulingana na mahitaji ya zao – kikombe ya ml 5

• 2 Wakati baada ya zao kutoa kishada – kulingana na mahitaji ya zao – kikombe ya ml 5

• Isiopungua cm 10 kutoka upande wa chini wa shina kwenda juu

h) Kutawanyia juu ya ardhi

• Ikiwa imekwisha kukua

• Vunja upande wa juu wa gunzi

• Tumia kwa blanketi

i) Kuweka pua au shina kabla ya kuvuna

• Simamisha upande wa chini wa shina ukisukuma chini kati ya mistari

• Ongeza manufaa ya blanketi na kusaidia kupunguza magugu

• Huvunja kukua wadudu wanaoharibu mimea ya mahidi

j) Kuzuia magugu kabla ya kuvuna

• Inaweka shamba bila magugu

• Gugu moja kubwa huzaa mbegu 600,000

• Magugu ya mwaka huu ndiyo itasababisha kushindwa kwa mazao mwaka ujao

k) Mabadilio

• Fanya mabadilio (mabadiliko) ya mazao mara kwa mara na jamii ya kunde. Mfano, maharagwe

• Gawanyia sehemu ya 1/3 ya eneo la shamba iwe katika mzunguko

• Mfano. maharagwe 1/3 , 2/3 mahidi

Alternative Crop technology adjustment guidelines

Crop Maize Groundnuts Sunflower Cotton Sorghum Soyabeans Cowpeas

Seed Rate kg/ha 30 80 6 25 10 80 80

Rows 75 37.5 75 75 75 75 75

Spacing

In-row 60 4 60 60 10 10 10

Plant depth cm 5 3 2 2 2 2 2

Plant Seeds/hole 3 1 3 4-6 1 1 2

Thin to Seeds/hole 2 1 2 1-2 1 1 1

Population Plants/ha 44,444 333,333 44,444 33,000 133,333 133,333 133,333

Target yield tons/ha 5-7 1.5-2 2-2.5 2-2.5 2-2.5 1.5-2 1.5-2

Compound Fertiliser

Cup size ml #12 #8 #5 #8 #5 #5

Rate kg/ha 293 196 122 196 122 122

1) Cup size ml #8 #5 #5 #12

Top dress Fertiliser 2) Cup size ml #5

Rate kg/ha 256 98 98 144

Lime Rate kg/ha 200

7

Ota ndoto ya kulima katika njia za Mungu

Motisha katika Biblia:

Majadiliano 3: Mashamba yaloyonyunyuziwa maji vizuri

a) Mwanzo 1:29,30 – Baraka za mungu na riziki

b) Mwanzo 1:28 – Amri ya Mungu

c) Mwanzo 2: 15 - Shamba la kupanda mbegu na kulihifadhi (chunga na ulitunze)

d) Isaya 58:6,7 - Kufunga ambako Mungu amechagua

e) Isaya 58:10,11 - Mwangaza wetu utaenda juu – Ataongoza na kutoshelesha

f) Mathayo 25:35 - Tunaweza hudumia au kusaidia Mfalme

Lakini mimi nani Bwana?

Ni wazi kwamba mbinu ya kutekeleza hili jambo ni Kanisa, liweze kuwa na uwazi kutoa hesabu na kuleta mabadiliko

katika moyo na mienendo. Injili hii ya mikono miwili inaweza kuhubiriwa katika Bara lote ya Afrika na kuvunja laana

ya umaskini na kuondoa nira. Wachungaji, Viongozi, Wamishenari na Kanisa kwa jumla wanaweza kubuni mbinu

nyingi zinazofaa kuleta matokeo inayohitajika, kuendeleza “kilimo katika njia za Mungu” katika bara yote Afrika.

Ninyi ni Wana na Binti wa Mungu aliye juu.

Na kama vile mnaona Baba yenu akifanya nanyi hivyo ndivyo mnastahiri kufanya.

Na kama vile mnamsikia Baba yenu akinena, nanyi inawapasa kunena hivyo.

Yule aliye na maskio ya kusikia, acha na asikie …

Yule aliye na macho ya kuona, acha aweze kuona …

Mashamba iliyonyunyuziwa maji vizuri

Endeleza mbinu hii

8

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!