Haliuzwi - Femina HIP

Haliuzwi - Femina HIP Haliuzwi - Femina HIP

feminahip.or.tz
from feminahip.or.tz More from this publisher
21.06.2013 Views

MAMBO MAPYA Unapofika Kimanzichana ukiulizia watu maarufu eneo lile wa kwanza kutajwa ni msanii 20%! Nasi tukasema si vibaya ‘tukimpaisha’ kwa staili ya pekee, tukatinga nyumbani kwao japo kupata picha na familia yake! Unamuona mrembo Jema? (wa kwanza kulia). Huyo ni mtoto wa 20% na aliyeshika majarida ni mama mzazi wa msanii 20%. Madogo hawa wanapiga bonge la ‘kolabo’ kulishambulia jukwaa! Ilikuwa ni katika sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar huko Mkuranga ambapo mtoto Ramadhani Kasimu (aliyeshika ‘mic’) alikonga nyoyo za umati na wimbo “Naenda kusema kwa mama” wa msanii Asley. Huyo dogo mwingine pichani ni Jaffery A. Jaffery, alikwenda kutunza akanogewa akabaki uwanjani kumpiga tafu mwenzake! Naye alitunzwa ‘mshiko’ wa uhakika! 6 Si Mchezo! machi-aprili 2012 Kibubu bwana! Hahaha! Hiki kinaitwa kibubu. Inawezekana kili’batizwa’ jina hilo kwakuwa ‘hakisemi’, yaani hakionyeshi kilichomo ndani yake! Kibubu ni benki kiaina! Kinunue au kichongeshe uwe nacho nyumbani, ‘tupia’ humo fedha ndogondogo kila siku, jiti, bati, jero, buku na hata msimbazi kadri unavyozisaka. Baada ya mwaka au muda fulani uliojipangia, kivunje na utaona maajabu! Watu wamenunua mashamba kwa vibubu!

VICOBA, SACCOS wana mengi ya ziada Uzuri wa vikundi vya kuweka na kukopa ni zaidi ya ule tunaoweza kuufikiria kwa haraka. Kitendo cha kuwa pamoja kinawapa nafasi ya kufanya mambo mengi mengine yenye faida kwao binafsi na hata kwa jamii zinazowazunguka. Tumevitembelea sana vikundi hivi na tumejionea kwamba baadhi yao wanapokutana kwa shughuli zao za msingi, wanatumia mkusanyiko huo pia kupata elimu ya afya. Mashirika mbalimbali pia hutoa elimu ya mambo tofauti kwa vikundi hivi kwani si rahisi kuitoa kwa mtu mmojammoja. Hakuna anayeweza kubisha kwamba kuwa pamoja kuna faida lukuki. Cheza kwa stepu na kutumia nguvu kama Makhirikhiri ndio staili yake. Si mchezo! Jamaa naye ‘aliwabamba vya kutosha’ wananchi wa Mwalusembe kwa staili za kuvutia. machi-aprili 2012 Si Mchezo! 7

VICOBA, SACCOS

wana mengi ya ziada

Uzuri wa vikundi vya kuweka na kukopa

ni zaidi ya ule tunaoweza kuufikiria kwa

haraka. Kitendo cha kuwa pamoja kinawapa

nafasi ya kufanya mambo mengi mengine

yenye faida kwao binafsi na hata kwa jamii

zinazowazunguka. Tumevitembelea sana

vikundi hivi na tumejionea kwamba baadhi

yao wanapokutana kwa shughuli zao

za msingi, wanatumia mkusanyiko huo pia

kupata elimu ya afya. Mashirika mbalimbali

pia hutoa elimu ya mambo tofauti kwa

vikundi hivi kwani si rahisi kuitoa kwa mtu

mmojammoja. Hakuna anayeweza kubisha

kwamba kuwa pamoja kuna faida lukuki.

Cheza kwa stepu na kutumia nguvu kama

Makhirikhiri ndio staili yake. Si mchezo! Jamaa

naye ‘aliwabamba vya kutosha’ wananchi wa

Mwalusembe kwa staili za kuvutia.

machi-aprili 2012 Si Mchezo!

7

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!