Haliuzwi - Femina HIP

Haliuzwi - Femina HIP Haliuzwi - Femina HIP

feminahip.or.tz
from feminahip.or.tz More from this publisher
21.06.2013 Views

Mimi na mamsapu hatutaki utani! Tunadunduliza vijisenti vyetu taratiiibu. Wenyewe tumejiwekea malengo. Hata wewe unaweza. 2 Si Mchezo! machi-aprili 2012 Ndiyo, Bamsapu anatunza funguo, mie natunza kibubu. Mpo? Zama ndani ya toleo hili ujifunze kuhusu vikundi vya kuweka na kukopa na hata upatu! Watu wanafaidika bwana, asikwambie mtu! Si Mchezo! Huzalishwa na kusambazwa. Si Mchezo! husambazwa. Lilikozalishwa toleo hili.

Femina HIP Mhariri Majuka Ololkeri Pendo Mashulano Mwandishi Ng’orongo Nyamoni Washauri Betty Liduke Gaure Mdee Raphael Nyoni Mkurugenzi Mtendaji Dr. Minou Fuglesang Machapisho na Uzalishaji Amabilis Batamula Jiang Alipo Katuni na Usanifu BabaTau, Inc. Mpiga Chapa Jamana Printers Ltd Shughuli za Nje Constancia Mgimwa Nashivai Mollel Gloria Mkoloma Christine Bisangwa Rashid Kejo Usambazaji EAM Logistic Ltd Femina HIP na Washirika Si Mchezo! limefanyika kwa hisani kubwa ya Serikali za Sweden (Sida), Denmark (DANIDA) na Marekani kupitia USAID kama sehemu ya ufadhili wa PEPFAR kwa shirika la FHI360 mradi wa UJANA, PSI mradi wa HUSIKA pamoja na HIVOS. Toleo hili limefanyika kwa ushirikiano na JHU-CCP/TCCP na RFSU. Yaliyomo humu ndani ni jukumu la Femina HIP na hayawakilishi maoni au mitazamo ya wafadhili. Wasiliana nasi kwa: S.L.P. 2065, Dar es Salaam Simu: (22) 212 8265, 2126851/2 Fax: (22) 2110842 email: simchezo@feminahip.or.tz Si Mchezo! huchapishwa na Femina HIP. Sms: 0715 568222 YALIYOMO 4 Stori Yangu: Mikopo imenitoa 6 Mambo mapya: 8 Mambo ya Fedha: Zijue Vicoba 10 Hadithi ya Picha: Mkopo wa ngoma! 14 Je, Wajua: Kabla ya kukopa jipange 16 Tulichovuna: Tunajali Vicoba imetulia! 18 Chezasalama: Mwanamume wa ukweli... 20 Burudani: Vinapanda bei 22 Pasipo na Daktari: Minyoo bwana! 23 Huduma: Walianza kama utani 24 Katuni: Upatu unapogeuka Hupati! 27 Ukweli wa Mambo: Yanawakuta wengi 30 Ujana: Mila katika kupambana na VVU 31 Ushauri TAHARIRI Mamboz? Najua umeitikia pouwaaaa! Katika ‘kulipika’ toleo hili la 59, tuliwazukia wakazi wa Mkuranga. Ingawa tuliweka kambi wilayani, mishemishe zetu zilikuwa Kimanzichana na kwingineko vijijini. Tulikula nao stori kibao kuhusu mambo ya fedha, vikundi vya kuweka na kukopa, hususan SACCOS na VICOBA. Hatukusahau hata ule ‘mchezo’ wetu maarufu, UPATU! Nakuacha uzame ndani, nisikuharibie utamu. Kila la kheri! Pendo Tuanzie buku mbili Ndo naandika hivyo..! “Mmh! sasa umaskini baibai” machi-aprili 2012 Si Si Mchezo! 3

Femina

HIP

Mhariri

Majuka Ololkeri

Pendo Mashulano

Mwandishi

Ng’orongo Nyamoni

Washauri

Betty Liduke

Gaure Mdee

Raphael Nyoni

Mkurugenzi Mtendaji

Dr. Minou Fuglesang

Machapisho na Uzalishaji

Amabilis Batamula

Jiang Alipo

Katuni na Usanifu

BabaTau, Inc.

Mpiga Chapa

Jamana Printers Ltd

Shughuli za Nje

Constancia Mgimwa

Nashivai Mollel

Gloria Mkoloma

Christine Bisangwa

Rashid Kejo

Usambazaji

EAM Logistic Ltd

Femina HIP na Washirika

Si Mchezo! limefanyika kwa hisani

kubwa ya Serikali za Sweden (Sida),

Denmark (DANIDA) na Marekani

kupitia USAID kama sehemu ya

ufadhili wa PEPFAR kwa shirika la

FHI360 mradi wa UJANA, PSI mradi

wa HUSIKA pamoja na HIVOS. Toleo

hili limefanyika kwa ushirikiano na

JHU-CCP/TCCP na RFSU.

Yaliyomo humu ndani ni jukumu la

Femina HIP na hayawakilishi maoni

au mitazamo ya wafadhili.

Wasiliana nasi kwa:

S.L.P. 2065, Dar es Salaam

Simu: (22) 212 8265, 2126851/2

Fax: (22) 2110842

email: simchezo@feminahip.or.tz

Si Mchezo! huchapishwa na

Femina HIP.

Sms: 0715 568222

YALIYOMO

4 Stori Yangu: Mikopo imenitoa

6 Mambo mapya:

8 Mambo ya Fedha: Zijue Vicoba

10 Hadithi ya Picha: Mkopo wa ngoma!

14 Je, Wajua: Kabla ya kukopa jipange

16 Tulichovuna: Tunajali Vicoba imetulia!

18 Chezasalama: Mwanamume wa ukweli...

20 Burudani: Vinapanda bei

22 Pasipo na Daktari: Minyoo bwana!

23 Huduma: Walianza kama utani

24 Katuni: Upatu unapogeuka Hupati!

27 Ukweli wa Mambo: Yanawakuta wengi

30 Ujana: Mila katika kupambana na VVU

31 Ushauri

TAHARIRI

Mamboz? Najua umeitikia pouwaaaa! Katika ‘kulipika’ toleo

hili la 59, tuliwazukia wakazi wa Mkuranga. Ingawa tuliweka

kambi wilayani, mishemishe zetu zilikuwa Kimanzichana na

kwingineko vijijini. Tulikula nao stori kibao kuhusu mambo ya

fedha, vikundi vya kuweka na kukopa, hususan SACCOS na

VICOBA. Hatukusahau hata ule ‘mchezo’ wetu maarufu, UPATU!

Nakuacha uzame ndani, nisikuharibie utamu. Kila la kheri!

Pendo

Tuanzie

buku mbili

Ndo

naandika

hivyo..!

“Mmh! sasa

umaskini

baibai”

machi-aprili 2012 Si Si Mchezo!

3

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!