Haliuzwi - Femina HIP

Haliuzwi - Femina HIP Haliuzwi - Femina HIP

feminahip.or.tz
from feminahip.or.tz More from this publisher
21.06.2013 Views

HADITHI YA PICHA 10 ‘MKOPO WA NGOMA!’ Mama Mwajei amejaliwa mtoto mmoja tu, hivyo anamlea kama mboni ya jicho! Siku ya siku imewadia, Mwajei kavunja ungo. Ndiyo! Kawa mkubwa sasa. Kawekwa ndani mwezi, sasa ni wakati wa kumtoa, wenyewe wanasema ‘kumkogesha maji’. Amepania kumfanyia bonge la sherehe, tatizo mshiko. Anafanyaje? Nini kinatokea? Fuatilia…. Imeigizwa na Kimanzichana Vijana Troupe” Duh! Namie mwezi ujao nakamata kitita Sema usemavyo lakini hapa ngoma itachezeka na pombe zitanyweka mpaka kieleweke Si Mchezo! machi-aprili 2012 Hongera sana. Laki tano hiyo, hesabu Asante sana Naona hukataziki, sasa mie simo na utakuja kujuta Mama Mwajei ndo keshaamua, kila mtu anamshangaa Ama kweli tamaa mbele mauti nyuma! Si pale Kibisa Saccos mume wangu? Mikopo nje nje… Una akili sana waifu, kachukue tufanye biashara Mungu anipe nini mimi! Shughuli ya Mwajuma itaacha historia Alhamis mwamu, Ijumaa mbiga, Jmosi mkole, usiku wake rusharoho, Jpili mwali anatoka. Upo? Haya jirani, asante kwa mwaliko, tuko pamoja

Shost, mie nikipata tu mkopo namtoa mwanangu. Mzee nshamweka sawa Niliyopewa haitoshi kwa biashara. Mie naona tuitumie kumtoa mwajuma Chonde chonde! Itakutokea puani hiyo! Tena mie simo kabisaaa! He! Mumeo kakubali? Yaani mkopo umcheze mtoto? Maspika fanya manne kama hili. Sitaki muziki wa kitoto Usitie shaka, hapa umefika Hajakubali shost, nimemwongopea wa biashara Mmh! Hii akili au matope? Umcheze mtoto kwa mkopo? Utaulipaje? Ulisema ya biashara, leo unaniambia ya ngoma! Sitaki kusikia Mimi ndo niliyesaini na mimi ndo nitadaiwa na ndo nshaamua Ndo ushakuwa mkubwa, nakupatia ushanga mweupe na mwekundu, nitakueleza kazi zake… machi-aprili 2012 Si Mchezo! 11

HADITHI YA PICHA

10

‘MKOPO WA NGOMA!’

Mama Mwajei amejaliwa mtoto mmoja

tu, hivyo anamlea kama mboni

ya jicho! Siku ya siku imewadia,

Mwajei kavunja ungo. Ndiyo! Kawa mkubwa

sasa. Kawekwa ndani mwezi, sasa ni wakati wa

kumtoa, wenyewe wanasema ‘kumkogesha maji’.

Amepania kumfanyia bonge la sherehe, tatizo

mshiko. Anafanyaje? Nini kinatokea? Fuatilia….

Imeigizwa na Kimanzichana Vijana Troupe”

Duh! Namie mwezi

ujao nakamata kitita

Sema usemavyo

lakini hapa ngoma

itachezeka na

pombe zitanyweka

mpaka kieleweke

Si Mchezo! machi-aprili 2012

Hongera sana.

Laki tano hiyo,

hesabu

Asante sana

Naona hukataziki,

sasa mie simo na

utakuja kujuta

Mama Mwajei ndo

keshaamua, kila mtu

anamshangaa

Ama kweli

tamaa mbele

mauti nyuma!

Si pale Kibisa Saccos mume

wangu? Mikopo nje nje…

Una akili sana

waifu, kachukue

tufanye biashara

Mungu anipe

nini mimi!

Shughuli ya

Mwajuma

itaacha

historia

Alhamis mwamu, Ijumaa mbiga,

Jmosi mkole, usiku wake rusharoho,

Jpili mwali anatoka. Upo?

Haya jirani, asante kwa

mwaliko, tuko pamoja

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!