MAGONJWA MAKUU YA KUKU, TIBA NA KINGA - Research Into Use

MAGONJWA MAKUU YA KUKU, TIBA NA KINGA - Research Into Use MAGONJWA MAKUU YA KUKU, TIBA NA KINGA - Research Into Use

researchintouse.com
from researchintouse.com More from this publisher
28.02.2013 Views

3.5 WADUDU WANAoSHAMbULIA NgoZI 50 Magonjwa Makuu Ya Kuku, Tiba Na Kinga

Maelezo Hawa ni wadudu wanaoishi kwenye ngozi na manyoya ya kuku, wadudu hawa huleta usumbufu kwa kuku kwa kuwanyonya damu, kusababisha muwasho, na kuwa wadudu wa kati katika maambukizi ya magonjwa. Wadudu wanaoshambulia ngozi ni pamoja na viroboto, chawa, utitiri, nzi, mbu na kupe. 3.5.1 WADUDU WANAoSHAMbULIA NgoZI (INSecT INfeSTATIoN) Maelezo Hawa ni wadudu aina ya utitiri au viroboto ambavyo hushambulia aina zote za ndege/kuku wenye umri mdogo na mkubwa. Dalili Tiba • Muwasho wa ngozi • Ngozi ya kuku kutoka magamba • Kuku wanajaribu kunyonyoa manyoya ili kupunguza kuwashwa • Kuku kukonda na kutokukua vizuri • Kuku anaonekana mchovu na hatulii • Kuharisha • Kwa kawaida vifo ni vichache Nyunyizia au pulizia dawa ya kuua wadudu. Pata ushauri wa daktari. Magonjwa Makuu Ya Kuku, Tiba Na Kinga 51

3.5

WADUDU

WANAoSHAMbULIA

NgoZI

50 Magonjwa Makuu Ya Kuku, Tiba Na Kinga

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!