12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Ngurumo ya Laana

Laana za Papa zikanguruma juu ya Geneve. Namna gani mji huu mdogo ulishindana na

mamlaka hodari ya kanisa ambalo lilitetemesha wafalme na watawala kutii? Kushinda kwa

kwanza kwa Matengenezo kukapita, Roma ikakusanya nguvu mpya kwa kutimiza

maangamizi yake. Amri ya WaJesuite ikaanzishwa, kali zaidi, ya tabia mbaya, na hodari

kuliko washujaa wote wa Papa. Hawakujali upendo wa kibinadamu, na zamiri yote

ikanyamazishwa, hawakujali amri, upendo, lakini ile ya agizo lao. (Tazama mwisho wa

kitabu.)

Injili ya Kristo iliwezesha wafuasi wake kuvumilia mateso, bila kukatishwa tamaa na

baridi, njaa, kazi ngumu na umaskini, kushindania kweli machoni pa mbao (zenye vyango)

za kutundikia, gereza, na kigingi. Kijesuitisme kikatia wafuasi wake moyo mamlaka ya kweli

silaha zote za udanganyifu. Hawakuogopa kufanya kosa kubwa ao kutumia uwongo wa haya,

kwao kujigeuza sura kwa uwongo haikuwa taabu. Ilikuwa shabaha yao waliyojifunza

kukomesha dini ya Kiprotestanti na kuimarisha utawala wa Papa.

Walivaa vazi la utakatifu, wakizuru nyumba za gereza na mahospitali, kusaidia wagonjwa

na maskini, na kuchukua jina takatifu la Yesu, aliyekwenda akifanya matendo mema. Lakini

chini ya umbo la inje lisilo na kosa, makusudi mabaya na ya uuaji yalikuwa yakifichwa.

Ilikuwa kanuni ya asili ya amri kwamba “mwisho huthibitisha njia. Uongo, wizi, ushuhuda

wa uongo, mauaji ya siri, yaliruhusiwa yalipotumiwa kwa faida ya kanisa. Kwa siri Wajesuite

walikuwa wakiingia ndani ya maofisi ya serkali nakupanda juu, kuwa washauri wa mfalme

na kuongoza mashauri ya mataifa. Wakajifanya watumishi kwa kupeleleza mabwana wao.

Wakaanzisha vyuo vikubwa kwa ajili ya watoto wa watawala na watu wakuu, na vyuo kwa

ajili ya watu wote. Watoto wa wazazi wa Kiprotestanti kwa njia ya vyuo hivyo walikuwa

wakivutwa kushika kanuni za kanisa la Papa. Kwa hivyo uhuru ambao mababa zao walikuwa

wakishindania na kutoka damu ukasalitiwa na watoto wao. Po pote, Wajesuites

walipokwenda, kukafuata mwamsho wa mafundisho ya kanisa la Papa.

Kwa kuwapatia uwezo mwingi, tangazo la Papa likatolewa kwa kuimarisha

(“Inquisition”) (Baraza kuu la kuhukumia wapinga ibada ya dini la Papa. Mahakama haya ya

kutisha yakawekwa tena na wajumbe wa kanisa la Roma, na mambo mabaya ya kutisha kwa

kuweza kuonyeshwa mchana yakakaririwa ndani ya gereza za siri (cachots). Katika inchi

nyingi maelfu na maelfu ya watu--wa faida kuu kwa taifa, wenye elimu sana na waliojifunza

zaidi, waliuawa ao kulazimishwa kukimbilia kwa inchi zingine. (Tazama Nyongezo.)

Ushindi kwa Ajili ya Matengenezo

Ndizo zilikuwa njia ambazo Roma ilitumia kuzima nuru ya Matengenezo, kwa kuondolea

watu Neno la Mungu, na kwa kuimarisha ujinga na ibada ya sanamu ya Miaka ya Giza. Lakini

chini ya mibaraka ya Mungu na kazi za watu bora ambao aliinua kwa kufuata Luther, dini ya

Kiprotestanti haikukomeshwa. Si kwa wema ao kwa silaha za wafalme ambaye iliweza kupata

91

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!