12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

makubwa. Zaidi kuliko mara moja akapigwa karibu kufa. Lakini akaendelea mbele.

Mwishowe akaona miji mikubwa na midogo iliokuwa ngome za kanisa la Katoliki

yakafungua milango yao kwa injili.

Farel alitamani kusimamisha bendera ya Waprotestanti katika Geneve. Kama mji huu

ungaliweza kupatikana, ungalikuwa mahali pa kubwa kwa ajili ya Matengenezo katika

Ufransa, Uswisi, na Italia. Miji mingi iliyokuwa kandokando ya miji midogo ikaamini.

Pamoja na rafiki mmoja akaingia Geneve. Lakini akaruhusiwa kuhubiri mara mbili tu.

Mapadri wakamwalika mbele ya baraza la kanisa, wakaja na silaha zilizofichwa chini ya

makanzu yao, wakakusudia kutoa maisha yake. Inje ya chumba kulikuwa na watu wengi

wenye hasira kuhakikisha kifo chake kama akiepuka baraza. Kuwako kwa waamzi na

waaskari, ingawa hivyo wakamwokoa. Mapema sana asubuhi akapelekwa karibu ya ziwa

mahali pa salama. Ndivyo ilivyokuwa mwisho wa juhudi yake ya kwanza ya kueneza injili

huko Geneve.

Kwa kusikilizwa mara ya pili, wakachagua chombo kizaifu sana; alikuwa kijana

munyonge kwa sura hata akapokelewa bila furaha na marafiki wanaojidai kusimamia

Matengenezo. Lakini mtu wa namna hii angeweza kufanya nini mahali Farel alikataliwa?

“Mungu alichagua vitu zaifu vya dunia kupatisha vitu vya nguvu haya.” 1 Wakorinto 1:27.

Froment Mwalimu

Froment akaanza kazi yake kama mwalimu. Kweli alizofundisha watoto chuoni

wakayakariri nyumbani mwao. Mara wazazi wakasikia Biblia ilipokuwa ikielezwa. Agano

Jipya na vitabu vidogo vikatolewa bure. Baada ya mda mtumikaji huyu pia alipashwa

kukimbia, lakini kweli alizofundisha ikaingia mioyoni mwa watu. Matengenezo yakapandwa.

Wahubiri wakarudi, na ibada ya Kiprotestanti ikaanzishwa katika Geneve.

Miji ulikuwa ukmekwisha kutangazwa kuwa upande wa Matengenezo wakati Calvin,

alipoingia katika milango yake. Alikuwa njiani kwenda Basel alipolazimishwa kupitia njia ya

kuzunguka zunguka kupitia Geneve.

Katika kuzuru huku Farel akatambua mkono wa Mungu. Ingawa Geneve ilikubali imani

ya Matengenezo, lakini kazi ya kuongoka ilipaswa kutendeka ndani ya moyo kwa uwezo wa

Roho Mtakatifu, si kwa amri za mabaraza. Wakati watu wa Geneve walipokataa mamlaka ya

Roma, hawakuwa tayari kabisa kuacha makosa yaliyositawishwa chini ya amri yake.

Kwa jina la Mungu Farel akamsihi kwa heshima mhubiri kijana kudumu na kufanya kazi

huko Calvin akarudi nyuma kuonyesha hatari. Akajitenga ili asipambane kwa ha tari na roho

ya ukali ya watu wa Geneve. Alihitaji kupata mahali pa amani na ukimya kwa majifunzo, na

pale kwa njia ya vitabu angeweza kufundisha na kujenga makanisa. Lakini hakujaribu

kukataa. Ilionekana kwake “kwamba mkono wa Mungu ulishuka kutoka mbinguni, kwamba

ukamushika, na ukamukaza bila kubadilika kubakia mahali alipokuwa na haraka ya kutoka.”

90

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!