12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Tena mkutano ukafanyika. “Kwa mwendo mfupi (majukwaa) mahali pa kunyongea watu

yakajengwa mahali Wakristo wa Kiprotestanti walipashwa kuchomwa motoni wakiwa hai, na

ilitengenezwa kwamba matata yawashwe wakati mfalme alipokaribia, na kwamba

mwandamano ulipashwa kusimama kwa kushuhudia wauaji.” Hapakuwa na kutikisika kwa

upande wa watu waliopashwa kufa. Kwa kushurutishwa kukana, mmoja akajibu: “Mimi

naamini tu yale manabii na mitume waliyohubiri mbele na yale jamii lote la watakatifu

waliamini. Imani yangu inakuwa na tumaini kwa Mungu ambaye atashinda mamlaka yote ya

kuzimu.”

Katika kufikia jumba la mfalme, makutano yakatawanyika na mfalme na maaskofu

wakaondoka, walipokuwa wakishangilia wenyewe kwamba kazi ingeendelea kwa kutimiza

maangamizo ya wapinga ibada ya dini.”

Habari Njema ya amani ambayo Ufransa ilikataa ilipashwa kungolewa kweli, na matokeo

yalikuwa ya kutisha. Tarehe 21 ya Januari 1793, mwandamano mwengine ukapita katika njia

za Paris. “Tena mfalme alikuwa mwongozi mkuu; tena kukawa fujo na kulalamika; tena

kukasikiwa kilio cha watu wengi walioteswa; tena kukawa majukwaa meusi; na matukio ya

siku yakamalizika kwa mauaji na sana; Louis XVI, alipokuwa akishindana mikononi mwa

walinzi wake wa gereza na wanyongaji, akakokotwa kwa gogo, na hapo akashikwa kwa

nguvu nyingi hata shoka lilipoanguka, na kichwa chake kilichokatwa kikajifingirisha kwa

jukwaa.”

Karibu na mahali pale pale watu 2800 wakaangamizwa na machine yenye kisu cha kukata

watu kichwa (guillotine). Matengenezo ikaonyesha kwa ulimwengu Biblia yenye

kufunguliwa. Upendo usio na mwisho ukajulisha watu kanuni za mbinguni. Wakati Ufransa

ilipokataa zawadi ya mbinguni, ikapanda mbegu ya uharibifu. Hakukuwa namna ya kuepuka

matokeo yaliyotendeka ambayo mwisho ulikuwa mapinduzi na utawala wa kuhofisha.

Farel shujaa na mwenye uhodari akalazimishwa kukimbia kutoka kwa inchi yake ya

kuzaliwa na kwenda Uswisi. Lakini akaendelea kutumia mvuto uliokusudiwa juu ya

matengenezo katika Ufransa. Pamoja na usaada wa watu wengine waliofukuzwa, maandiko

ya Watengenezaji wa Ujeremani yakatafsiriwa katika Kifransa na pamoja na Biblia ya

Kifransa ikachapwa kwa wingi sana. Kwa njia ya watu wa vitabu vya dini vitabu hivyo

vikauzishwa kwa eneo kubwa sana katika Ufransa.

Farel akaingia kwa kazi yake katika Uswisi kwa mwenendo mnyenyekevu wa mwalimu,

akaingiza kwa werevu kweli za Biblia. Wengine wakaamini, lakini wapadri wakaja

kusimamisha kazi, na watu wenye ibada ya sanamu wakaharakishwa kuipinga. “Hiyo haiwezi

kuwa injili ya Kristo,” wapadri wakashurutisha, “kuona kuihubiri hakuwezi kuleta amani, bali

vita.”

Akaenda mji kwa mji, kuteseka na njaa, baridi, na kuchoka,na mahali pote katika ajali ya

maisha yake. Akahubiri sokoni, ndani ya makanisa, mara zingine katika mimbara ya makanisa

89

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!