12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Waprotestanti wakasitakiwa kwamba walikusudia kuua wakatoliki, kupindua serkali, na

kumua mfalme. Hawakuweza kutoa hata kivuli cha ushahidi kwa kushuhudia mambo

yenyewe. Huku ukali ukapiga juu ya Waprotestanti wasio na kosa ukaongezeka kwa uzito wa

malipizi, na katika karne zilizofuata kukatokea maangamizi ya namna ile waliyotabiri juu ya

mfalme, serkali yake, na raia wake. Lakini yakaletwa na wakafiri na wakatoliki wao

wenyewe.

Kuvunja dini ya Kiprotestanti ndiko kulileta juu ya Ufransa misiba hii ya kutisha.

Mashaka, hofu, na vitisho sasa vikaenea kwa makundi yote ya jamii. Mamia wakakimbia

kutoka Paris, wakajihamisha wenyewe kutoka inchini mwao ya kuzaliwa, wengi kati yao

wakatoa ishara ya kwanza kwamba walikubali imani ya matengenezo. Wafuasi wa Papa

wakashangazwa na hesabu kubwa ya “wapinga ibada ya dini” isiyofikiriwa iliyovumiliwa

miongoni mwao.

Kupiga Chapa Kulikatazwa

Francis I akapendezwa kukusanya kwa uwanja wake watu wenye elimu ya maandiko

kutoka kwa inchi zote. Lakini, wenye mafikara na juhudi ya kukomesha uzushi, baba huyu

wa elimu akatoa amri kutangaza kwamba uchapaji wa vitabu umeondolewa pote katika

Ufransa! Francis I ni mojawapo wa mifano ya historia kuonyesha kwamba akili ya masomo

hailinde watu juu ya ushupavu wa dini na mateso.

Wapadri wakadai kwamba aibu iliyofanyiwa Mbingu ya juu kwa hukumu ya misa

isafishwe katika damu. Tarehe 21 Januari 1535, iliwekwa juu ya sherehe ya kutisha. Mbele

ya kila mlango mwenge wa moto ukawashwa kwa ajili ya heshima ya “sakramenti takatifu.”

Mbele ya usiku kucha makutano yakakutanika kwa jumba la mfalme.

“Majeshi yakachukuliwa na askofu wa Paris chini ya chandaluwa nzuri, ... Baada ya

majeshi kutembeza mfalme ... Francis I kwa siku ile hakuvaa taji, wala kanzu ya cheo.” Kwa

kila mazabahu akainama kwa kujinyenyekea, si kwa ajili ya makosa iliyonajisi roho yake, ao

damu isiyo na kosa iliyoharibu mikono yake, bali kwa ajili ya “zambi ya mauti” ya watu wake

waliosubutu kuhukumu misa.

Katika chumba kikubwa cha mjumba la askofu mfalme akatokea na katika maneno ya

usemi wa hasira akasikitikia “makosa, matukano, siku ya huzuni na haya,” ambayo ilikuja juu

ya taifa. Na akaalika waaminifu wake wa ufalme kusaidia kungoa baala ya “uzushi” ambayo

ilitisha Ufransa kwa uharibifu. Machozi yakajaa kwa usemi wake, na mkutano wote

ukaomboleza, kwa umoja wakasema kwa nguvu, “Tutaishi na kufa kwa ajili ya dini

yaKikatoliki!”

“Neema ile iletayo wokovu” ilionekana, lakini Ufransa ilipoangaziwa na mwangaza wake,

ikautupilia mbali, ikachagua giza zaidi kuliko nuru. Wakaita ubaya wema, na wema ubaya,

hata walipoanguka kuwa watu wa kuteswa kwa hila yao ya ukaidi. Nuru ambayo ingeweza

kuwaokoa kwa udanganyifu, kwa kuchafua roho zao na kosa ya uuaji, wakaikataa kwa kuasi.

88

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!