Kupinga ya Kiprotestanti

newcovenantpublicationsintl
from newcovenantpublicationsintl More from this publisher
12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti kijana kwa uchungu aliona ni kinyume kwa ukosefu wa tumaini lake mwenyewe na giza. Juu ya Biblia, alijua, “wazushi” walidumisha imani yao. Akakusudia kujifunza Biblia yenyewe na kuvumbua siri ya furaha yao. Ndani ya Biblia akampata Kristo. “Ee Baba,” akalia, “Kafara yake ilituliza hasira yako; Damu yake imesafisha takataka zangu; Msalaba wake ulichukua laana yangu; Mauti yake ilitoa kafara kwa ajili yangu. ... Umegusa moyo wangu, ili niweze kusimama katika matendo mema mengine yote kama mahukizo isipokuwa matendo mema ya Yesu. Sasa akakusudia kutoa maisha yake kwa injili. Lakini kwa tabia alikuwa mwenye woga na alitamani kujitoa mwenyewe kujifunza. Maombi ya bidii ya rafiki zake, lakini, mwishowe yakashinda ukubali wake kwa kuwa mwalimu wa watu wote. Maneno yake yalikuwa kama umande unaoanguka kwa kuburudisha udongo. Alikuwa sasa katika mji wa jimbo chini ya ulinzi wa binti kifalme Margeurite, ambaye, kwa kupenda injili, akaeneza ulinzi wake kwa wanafunzi wake. Kazi ya Calvin ikaanza pamoja na watu nyumbani mwao. Wale waliosikia ujumbe wakachukua Habari Njema kwa wengine. Akaendelea, kuweka msingi wa makanisa yaliyopaswa kutoa ushuhuda hodari kwa ajili ya ukweli. Mji wa Paris ulipashwa kupokea mwaliko mwengine kwa kukubali injili. Mwito wa Lefévre na Farel ulikataliwa, lakini ujumbe ulipashwa kusikiwa tena kwa vyeo vyote katika mji mkuu ule. Mfalme alikuwa hajakamata mpango wa kuwa upande wa Roma kupinga Matengenezo. Margeurite (dada yake) alitamani kwamba imani ya Matengenezo ihubiriwe katika Paris. Akaagiza mhubiri wa Kiprotestanti kuhubiri katika makanisa. Jambo hili likakatazwa na mapadri wa Papa, binti mfalme akafungua jumba. Ikatangazwa kwamba kila siku hotuba inapaswa kufanyika, na watu wakaalikwa kuhuzuria. Maelfu wakakusanyika kila siku. Mfalme akaagiza kwamba makanisa mawili ya Paris yalipaswa kufunguliwa. Kamwe mji ulikuwa haujavutwa na Neno la Mungu kama wakati ule. Kiasi, usafi, utaratibu, na utendaji, mambo yale yakachukua pahali pa ulevi, uasherati, shindano, na uvivu. Weakati walikubali injili, walio wengi wa watu wakaikataa. Wakatoliki wakafaulu kupata tena uwezo wao. Tena makanisa yakafungwa na mti wa kufungia watu wakuchomwa ukasimamishwa. Calvin alikuwa akingali Paris. Mwishowe mamlaka ikakusudia kumleta kwa ndimi za moto. Hakuwa na mawazo juu ya hatari wakati rafiki walikuja kwa haraka kwa chumba chake na habari kwamba wakuu walikuwa njiani mwao kumfunga. Kwa wakati ule sauti ya bisho likasikiwa kwa mlango wa inje. Hapo hapakuwa na wakati wa kupoteza. Rafiki wakakawisha wakuu mlangoni na wengine wakasaidia Mtengenezaji kumshusha chini kwa dirisha, na kwa haraka akaenda kwa nyumba ndogo ya mtu wa kazi aliyekuwa rafiki wa Matengenezo. Akajigeuza mwenyewe kwa mavazi ya mwenyeji wake na, kuchukua jembe mabegani, akaanza safari yake. Akasafiri upande wa Kusini, akapata tena kimbilio katika utawala wa Margeurite. 86

Kupinga ya Kiprotestanti Calvin hakuweza kubakia wakati mrefu bila kazi. Mara msukosuko ulipotulia akaenda kutafuta shamba mpya ya kazi huko Poities, mahali makusudi mapya yalikuwa ya kufaa kukubaliwa. Watu wa namna zote walisikiliza kwa furaha habari njema. Kwa namna hesabu ya wasikilizaji ilivyokuwa ikiongezeka, wakafikiri kwamba ni vyema kukusanyikia inje ya mji. Kwa pango mahali miti na miamba ya juu ya uficho pakachaguliwa kuwa mahali pa mkutano. Katika mahali hapa pa uficho Biblia ikasomwa na kufasiriwa. Hapo ibada ya meza ya Bwana ikafanyika kwa mara ya kwanza kwa Waprotestanti wa Ufransa. Kwa kanisa ndogo hilo kukatoka wahubiri wengi waaminifu. Mara ingine tena Calvin akarudi Paris, lakini akakuta karibu kila mlango wa kazi umefungwa. Yeye mwishowe akakusudia kwenda Ujeremani. Kwa shida aliacha Ufransa wakati zoruba ilitokea juu ya Waprotestanti. Watengenezaji wa Ufransa wakakusudia kupambana na pigo hodari juu ya mambo ya ibada ya sanamu ya Roma ile iliyopashwa kuamsha taifa lote. Matangazo kwa kushambulia misa katika usiku moja yakawekwa kwa Ufransa pote. Mahali pa kuendeleza kazi ya Matengenezo, tendo hilo la upumbavu likawapa Warumi sababu ya kudai kuangamizwa kwa “wapinga ibada ya dini” kama wafitini wa hatari kwa usitawi wa kiti cha mfalme na amani ya taifa. Mojawapo ya matangazo liliwekwa kwa mlango wa chumba cha pekee cha mfalme. Uhodari wa upekee wa kujiingiza kwa maneno ya kushangaza haya mbele ya mfalme na jambo hilo likaamsha hasira ya mfalme. Ghazabu yake ikapata usemi katika maneno makali: “Wote wakamatiwe bila tofauti wanaozaniwa kuwa wafuasi wa Luther. Nitawaangamiza wote.” Mfalme akajiweka kwa upande wa Roma. Utawala wa Hofu Kuu Mfuasi maskini wa imani ya matengenezo aliyezoea kuita waaminifu kwa mikutano ya siri akakamatwa. Kwa kutishwa juu ya kifo cha gafula kwa mti wa kuchomwa, akaamuriwa kuongoza mjumbe wa Papa kwa nyumba ya kila mprotestanti katika mji. Hofu ya ndimi ya moto ikawa nyingi sana, na akakubali kusaliti ndugu zake. Morin, polisi wa mfalme, pamoja na msaliti, kwa polepole na ukimya akapita katika njia za mji. Walipofika mbele ya nyumba ya mtu mmoja wa Luther, msaliti akafanya ishara, lakini bila kusema neno. Mwandamano ukasimama, wakaingia nyumbani, jamaa likakokotwa na kufungwa minyororo, na mfuatano wa kutisha ukaendelea katika kutafuta watu wengine wapya wa kutesa. “Morin akatetemesha mji wote. ... Ulikuwa utawala wa hofu kuu.” Watu walioteswa wakauawa kwa mateso makali, ikaamriwa kwamba moto upunguzwe ili kuzidisha mateso yao. Lakini walikufa kama washindaji, musimamo wao usiotikisika, amani yao kamili. Watesi wao wakajiona wenyewe kwamba walishindwa. “Watu wa Paris wote wakapata nafasi ya kuona aina gani ya watu mawazo mapya yaliweza kuleta. Hakuna mimbara ilikuwako kwa kulinganishwa na mjumba kubwa la wafia dini. Furaha ikaangazia nyuso kunjufu za watu hawa wakati walipokuwa wakielekea ... pahali pa kuuawa ... na kuomba kwa usemaji wa kushangaza kwa ajili ya injili.” 87

Kupinga ya Kiprotestanti

Calvin hakuweza kubakia wakati mrefu bila kazi. Mara msukosuko ulipotulia akaenda

kutafuta shamba mpya ya kazi huko Poities, mahali makusudi mapya yalikuwa ya kufaa

kukubaliwa. Watu wa namna zote walisikiliza kwa furaha habari njema. Kwa namna hesabu

ya wasikilizaji ilivyokuwa ikiongezeka, wakafikiri kwamba ni vyema kukusanyikia inje ya

mji. Kwa pango mahali miti na miamba ya juu ya uficho pakachaguliwa kuwa mahali pa

mkutano. Katika mahali hapa pa uficho Biblia ikasomwa na kufasiriwa. Hapo ibada ya meza

ya Bwana ikafanyika kwa mara ya kwanza kwa Waprotestanti wa Ufransa. Kwa kanisa ndogo

hilo kukatoka wahubiri wengi waaminifu.

Mara ingine tena Calvin akarudi Paris, lakini akakuta karibu kila mlango wa kazi

umefungwa. Yeye mwishowe akakusudia kwenda Ujeremani. Kwa shida aliacha Ufransa

wakati zoruba ilitokea juu ya Waprotestanti. Watengenezaji wa Ufransa wakakusudia

kupambana na pigo hodari juu ya mambo ya ibada ya sanamu ya Roma ile iliyopashwa

kuamsha taifa lote. Matangazo kwa kushambulia misa katika usiku moja yakawekwa kwa

Ufransa pote. Mahali pa kuendeleza kazi ya Matengenezo, tendo hilo la upumbavu likawapa

Warumi sababu ya kudai kuangamizwa kwa “wapinga ibada ya dini” kama wafitini wa hatari

kwa usitawi wa kiti cha mfalme na amani ya taifa.

Mojawapo ya matangazo liliwekwa kwa mlango wa chumba cha pekee cha mfalme.

Uhodari wa upekee wa kujiingiza kwa maneno ya kushangaza haya mbele ya mfalme na

jambo hilo likaamsha hasira ya mfalme. Ghazabu yake ikapata usemi katika maneno makali:

“Wote wakamatiwe bila tofauti wanaozaniwa kuwa wafuasi wa Luther. Nitawaangamiza

wote.” Mfalme akajiweka kwa upande wa Roma.

Utawala wa Hofu Kuu

Mfuasi maskini wa imani ya matengenezo aliyezoea kuita waaminifu kwa mikutano ya

siri akakamatwa. Kwa kutishwa juu ya kifo cha gafula kwa mti wa kuchomwa, akaamuriwa

kuongoza mjumbe wa Papa kwa nyumba ya kila mprotestanti katika mji. Hofu ya ndimi ya

moto ikawa nyingi sana, na akakubali kusaliti ndugu zake. Morin, polisi wa mfalme, pamoja

na msaliti, kwa polepole na ukimya akapita katika njia za mji. Walipofika mbele ya nyumba

ya mtu mmoja wa Luther, msaliti akafanya ishara, lakini bila kusema neno. Mwandamano

ukasimama, wakaingia nyumbani, jamaa likakokotwa na kufungwa minyororo, na mfuatano

wa kutisha ukaendelea katika kutafuta watu wengine wapya wa kutesa. “Morin akatetemesha

mji wote. ... Ulikuwa utawala wa hofu kuu.”

Watu walioteswa wakauawa kwa mateso makali, ikaamriwa kwamba moto upunguzwe ili

kuzidisha mateso yao. Lakini walikufa kama washindaji, musimamo wao usiotikisika, amani

yao kamili. Watesi wao wakajiona wenyewe kwamba walishindwa. “Watu wa Paris wote

wakapata nafasi ya kuona aina gani ya watu mawazo mapya yaliweza kuleta. Hakuna

mimbara ilikuwako kwa kulinganishwa na mjumba kubwa la wafia dini. Furaha ikaangazia

nyuso kunjufu za watu hawa wakati walipokuwa wakielekea ... pahali pa kuuawa ... na

kuomba kwa usemaji wa kushangaza kwa ajili ya injili.”

87

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!