12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

kijana kwa uchungu aliona ni kinyume kwa ukosefu wa tumaini lake mwenyewe na giza. Juu

ya Biblia, alijua, “wazushi” walidumisha imani yao. Akakusudia kujifunza Biblia yenyewe

na kuvumbua siri ya furaha yao.

Ndani ya Biblia akampata Kristo. “Ee Baba,” akalia, “Kafara yake ilituliza hasira yako;

Damu yake imesafisha takataka zangu; Msalaba wake ulichukua laana yangu; Mauti yake

ilitoa kafara kwa ajili yangu. ... Umegusa moyo wangu, ili niweze kusimama katika matendo

mema mengine yote kama mahukizo isipokuwa matendo mema ya Yesu.

Sasa akakusudia kutoa maisha yake kwa injili. Lakini kwa tabia alikuwa mwenye woga

na alitamani kujitoa mwenyewe kujifunza. Maombi ya bidii ya rafiki zake, lakini, mwishowe

yakashinda ukubali wake kwa kuwa mwalimu wa watu wote. Maneno yake yalikuwa kama

umande unaoanguka kwa kuburudisha udongo. Alikuwa sasa katika mji wa jimbo chini ya

ulinzi wa binti kifalme Margeurite, ambaye, kwa kupenda injili, akaeneza ulinzi wake kwa

wanafunzi wake. Kazi ya Calvin ikaanza pamoja na watu nyumbani mwao. Wale waliosikia

ujumbe wakachukua Habari Njema kwa wengine. Akaendelea, kuweka msingi wa makanisa

yaliyopaswa kutoa ushuhuda hodari kwa ajili ya ukweli.

Mji wa Paris ulipashwa kupokea mwaliko mwengine kwa kukubali injili. Mwito wa

Lefévre na Farel ulikataliwa, lakini ujumbe ulipashwa kusikiwa tena kwa vyeo vyote katika

mji mkuu ule. Mfalme alikuwa hajakamata mpango wa kuwa upande wa Roma kupinga

Matengenezo. Margeurite (dada yake) alitamani kwamba imani ya Matengenezo ihubiriwe

katika Paris. Akaagiza mhubiri wa Kiprotestanti kuhubiri katika makanisa. Jambo hili

likakatazwa na mapadri wa Papa, binti mfalme akafungua jumba. Ikatangazwa kwamba kila

siku hotuba inapaswa kufanyika, na watu wakaalikwa kuhuzuria. Maelfu wakakusanyika kila

siku.

Mfalme akaagiza kwamba makanisa mawili ya Paris yalipaswa kufunguliwa. Kamwe mji

ulikuwa haujavutwa na Neno la Mungu kama wakati ule. Kiasi, usafi, utaratibu, na utendaji,

mambo yale yakachukua pahali pa ulevi, uasherati, shindano, na uvivu. Weakati walikubali

injili, walio wengi wa watu wakaikataa. Wakatoliki wakafaulu kupata tena uwezo wao. Tena

makanisa yakafungwa na mti wa kufungia watu wakuchomwa ukasimamishwa.

Calvin alikuwa akingali Paris. Mwishowe mamlaka ikakusudia kumleta kwa ndimi za

moto. Hakuwa na mawazo juu ya hatari wakati rafiki walikuja kwa haraka kwa chumba chake

na habari kwamba wakuu walikuwa njiani mwao kumfunga. Kwa wakati ule sauti ya bisho

likasikiwa kwa mlango wa inje. Hapo hapakuwa na wakati wa kupoteza. Rafiki wakakawisha

wakuu mlangoni na wengine wakasaidia Mtengenezaji kumshusha chini kwa dirisha, na kwa

haraka akaenda kwa nyumba ndogo ya mtu wa kazi aliyekuwa rafiki wa Matengenezo.

Akajigeuza mwenyewe kwa mavazi ya mwenyeji wake na, kuchukua jembe mabegani,

akaanza safari yake. Akasafiri upande wa Kusini, akapata tena kimbilio katika utawala wa

Margeurite.

86

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!