12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Katika mti Berquin akajitahidi kusema maneno machache kwa watu; lakini watawa

wakaanza kupaza sauti na askari kugonganisha silaha zao, na makelele yao yakazamisha sauti

ya mfia dini. Hivi kwa mwaka 1529 mamlaka kubwa sana ya kanisa na elimu ya Paris “ikatoa

kwa watu wa 1793 mfano wa msingi wa kusongwa juu ya jukwaa (mahali pa kunyongwa)

maneno takatifu ya wenye kufa.” Berquin akanyongwa na mwili wake ukateketezwa katika

miako ya moto.

Waalimu wa imani ya matengenezo wakaenda katika mashamba mengine ya kazi. Lefévre

akaenda Ujermani. Farel akarudi kwa mji wake wa kuzaliwa upande wenashariki ya Ufransa,

kutawanya nuru katika makao ya utoto wake. Ukweli aliuofundisha ukapata wasikizaji. Kwa

upesi akafukuzwa mbali ya mji. Akapitia vijijini, akifundisha katika makao ya upekee na

mashamba ya majani ya uficho, kutafuta kimbilio katika pori na katika mapango ya miamba

yaliyokuwa makao yake katika utoto wake.

Kama katika siku za mitume, mateso “yametokea zaidi kwa kuendesha Habari Njema.”

Wafilipi 1:12. Walipofukuzwa kutoka Paris na Meaux, “Wale waliosambazwa wakaenda

pahali po pote wakihubiri neno.” Matendo 8:4. Ni kwa namna hiyo nuru ilitawanyika mahali

pengi katika majimbo ya mbali ya Ufransa.

Mwito wa Calvin

Katika mojawapo ya mashule ya Paris, kulikuwa kijana mmoja mwangalifu, mtulivu,

kijana aliyeonekana na maisha yasiyokuwa na kosa, kwa ajili ya bidii ya elimu na kwa ajili

ya ibada ya dini. Tabia yake na matumizi vikamufanya kuwa majivuno ya chuo kikubwa, na

ilikuwa ikitumainiwa kwa siri kwamba Jean Calvin angekuwa mmojawapo miongoni mwa

watetezi wenye uwezo sana, wa kanisa. Lakini mshale wa nuru ukaangazia kuta za elimu

nyingi na ibada ya sanamu ambayo Calvin amajifungia. Olivetan, binamu mtoto wa ndungu

wa Calvin, alijiunga na Watengenezaji. Ndugu hawa wawili wakazungumza pamoja juu ya

maneno ambayo yanasumbua jamii la kikristo. “Hapo kuna dini mbili tu ulimwenguni,”

akasema Olivetan, Mprotestanti. “Ile ... ambayo watu wamevumbua, ambamo mtu hujiokoa

mwenyewe kwa sherehe na kazi nzuri; ingine ni ile dini ambayo inayofunuliwa katika Biblia,

na ambayo hufundisha mtu kutumaini wokovu tu kwa neema bila bei kutoka kwa Mungu.”

“Sitaki mafundisho yenu mapya,” akajibu Calvin; “Unafikiri kwamba nimeishi katika

kosa siku zangu zote?” Lakini peke yake chumbani akatafakari maneno ya binamu (cousin)

wake. Akajiona mwenyewe kuwa bila mpatanishi mbeie ya Mhukumu mtakatifu na wa haki.

Matendo mazuri, sherehe za kanisa, yote yalikuwa bila uwezo kwa upatanisho kwa ajili ya

zambi. Ungamo, kitubio, hayakuweza kupatanisha roho pamoja na Mungu.

Ushahidi kwa Mchomo

Calvin akapitia siku moja katika uwanja mkubwa, kwa bahati njema akaona mpinga ibada

ya dini anapokufa kwa moto. Miongoni mwa mateso ya kifo cha kuhofisha na chini ya

kukatiwa hukumu kwa kanisa, mfia dini akaonyesha imani na uhodari ambao mwanafunzi

85

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!