12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Matengenezo. Mara tatu Berquin akafungwa na mamlaka ya Papa, na akafunguliwa na

mfalme, aliyekataa kumtoa kafara kwa ukorofi wa serkali ya kanisa. Berquin akazidi kuonywa

juu ya hatari iliyotaka kumpata katika Ufransa na akalazimishwa kufuata hatua za wale

waliokwenda kutafuta usalama katika kuhamishwa kwa mapenzi mbali na kwao.

Berquin Shujaa

Lakini juhudi ya Berquin ikazidi kuwa na nguvu. Akakusudia mpango wa nguvu zaidi.

Hakusimama tu kwa kutetea ukweli, lakini akashambulia kosa. Adui zake waliokuwa na

juhudi na ukaidi zaidi walikuwa watawa wenye elimu kutoka kwa idara ya elimu ya tabia na

sifa za Mungu na dini (theologie) katika chuo kikubwa (universite) cha Paris, mojawapo ya

mamlaka ya kanisa ya juu sana katika taifa. Kwa maandiko ya waalimu hawa, Berquin

akapata makusudi kumi na mbili ambayo akaitangaza wazi wazi kuwa kinyume cha Biblia,”

na akauliza mfalme kujifanya muamzi katika shindano.

Mfalme, kwa kuwa na furaha ya nafasi ya kushusha majivuno ya hawa watawa wenye

kiburi, akaalika wakatoliki kutetea jambo lao kwa kufuata Biblia. Silaha hii haingewasaidia

zaidi; mateso na kifo cha mtu wa kuchoma ilikuwa ndizo silaha ambazo walizifahamu zaidi

namna ya kutawala. Sasa wakajiona wenyewe kuanguka katika shimo walilotumaini

kumtumbukiza Berquin. Wakatafuta wenyewe namna gani ya kujiepusha.

“Kwa wakati ule wakaona kando ya mojawapo ya njia sanamu ya bikira iliyovunjwa.”

Makundi yakakusanyika mahali pale, wakilia na hasira. Mfalme akachomwa moyo sana .

“Haya ndiyo matunda ya mafundisho ya Berquin,” watawa wakapaza sauti. “Kila kitu ni

karibu kugeuzwa--dini, sheria, kiti cha ufalme chenyewe kwa mapatano hii ya Luther.”

Mfalme akatoka Paris, na watawa wakaachiwa huru kufanya mapenzi yao. Berquin

akahukumiwa na kuhukumiwa kifo. Kwa hofu kwamba Francis angetetea tena kwa

kumwokoa, hukumu ikafanyika kwa siku ile ile ilio tamkwa. Kwa sasa sita za mchana

msongano wengi ukakusanyika kwa kushuhudia jambo hili, na wengi wakaona kwa

mshangao kwamba mtu aliyeteswa alichaguliwa miongoni mwa watu bora na wahodari zaidi

wa jamaa bora za Ufransa. Mshangao, hasira, zarau, na uchuki wa uchungu yakahuzunisha

nyuso za kundi lile, lakini kwa uso mmoja haukuwa na kivuli. Mfia dini alikuwa na zamiri tu

ya kuwako kwa Bwana wake.

Uso wa Berquin ulikuwa ukingaa na nuru ya mbinguni. Alivaa vazi kama joho laini la

kungaa, chuma puani na soksi ya zahabu.” Alikuwa karibu kushuhudia imani yake mbele ya

Mfalme wa wafalme, na hakuna dalili iliyopasa kusingizia furaha yake. Wakati mwandamano

ulipokuwa ukisogea polepole katika njia zilizosongana, watu wakapatwa na mshangazo wa

ushindi wa furaha wa uvumilivu wake. “Yeye anakuwa,” wakasema, “kama mmoja anayekaa

katika hekalu, na akifikiri vitu vitakatifu.”

Berquin kwa Mti Wakufungia Watu wa Kochomwa Moto

84

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!