12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

kukaimarishwa juu yake, ambako matendo yote ya toba yalishindwa kumupa uhuru.

Akasikiliza maneno ya Lefévre: “Wokovu ni kwa neema.” “Ni msalaba wa Kristo tu

unaofungua milango ya mbinguni, na kufunga milango ya kuzimu.”

Kwa kutubu kama kule kwa Paulo, Farel akageuka kutoka kwa utumwa wa asili hata kwa

uhuru wa wana wa Mungu. “Baada ya moyo wa uuaji wa mbwa mwitu mkali,” akarudi

akasema, “kwa kimya kama mwana kondoo mwema na mpole, moyo wake wote

umeondolewa kwa Papa, na ukatolewa kwa Yesu Kristo.”

Wakati Lefévre alipokuwa akitawanya nuru miongoni mwa wanafunzi, Farel akaendelea

kutangaza kweli wazi wazi. Mkuu mmoja wa kanisa, askofu wa Meaux, akajiunga mara kwao.

Waalimu wengine wakaungana katika kutangaza injili, na ikavuta wafuasi kutoka kwa makao

ya wafundi na wakulima hata kwa jumba la mfalme. Dada wa Francis I akakubali imani ya

Matengenezo. Kwa matumaini bora ya Watengenezaji walitazamia wakati ambapo Ufransa

ulipaswa kuvutwa kwa injili.

Agano Jipya la Kifransa

Lakini matumaini yao hayakutimia. Majaribu na mateso ikangoja wanafunzi wa Kristo.

Walakini, wakati wa amani ukafika, ambao wangeweza kupata nguvu kwa kukutana na tufani,

na matengenezo yakafanya maendeleo ya upesi. Lefévre akaanza kutafsiri wa Agano Jipya;

na kwa wakati uleule ambapo Biblia ya Jeremani ya Luther ilipomalizika kutoka kwa mtambo

wa kupigia chapa katika Wittenberg, Agano Jipya la Kinfransa likachapwa huko Meaux. Kwa

upesi wakulima wa Meaux wakapata Maandiko matakatifu. Watu wa kazi katika mashamba,

wafundi katika kiwanda cha kufanyia kazi, wakafurahishwa na kazi yao ya kila siku kwa

kuzungumza habari ya damani ya kweli ya Biblia. Ijapo walikuwa watu wa cheo cha chini

kabisa, bila elimu na kazi ngumu ya ukulima, matengenezo, uwezo unaogeuza, wa neema ya

Mungu ukaonekana katika maisha yao.

Nuru iliyoangaza huko Meaux ikatoa nyali yake mbali. Kila siku hesabu ya waliogeuka

ilikuwa ikiongezeka. Hasira kali ya serkali ya kanisa ikakomeshwa kwa mda kwa kizuio cha

mfalme, lakini wafuasi wa Papa wakashinda mwishowe. Mti wakuchoma wa pinga dini

kukawashwa. Wengi walioshuhudia juu ya ukweli wakawa katika miako ya moto.

Ndani ya vyumba vikubwa vya majumba na majumba ya kifalme, kulikuwa roho za

kifalme ambamo ukweli ulikuwa wa damani kuliko utajiri ao cheo ao hata maisha. Louis de

Berquin alikuwa mzaliwa wa jamaa ya cheo kikubwa, aliyejitoa kwa majifunzo, mwenye

kuadibishwa na tabia isiyolaumiwa. “Akakamilisha kila namna ya wema kwa kushika

mafundisho ya Luther katika machukio makuu ya kipekee.” Lakini, kwa bahati njema

akaongozwa kwa Biblia, akashangazwa kupata pale “si mafundisho ya Roma, bali

mafundisho ya Luther.” Akajitoa mwenyewe kwa kazi ya injili.

Mamlaka ya Papa ya Ufransa ikamtia gerezani kama mpinga imani ya dini, lakini

akafunguliwa na mfalme. Kwa miaka nyingi Francis alikuwa akisitasita kati ya Roma na

83

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!