You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 12. Mapambazuko Katika Ufransa

Ushuhuda wa Spires na Ungamo la Augsburg yalifuatwa na miaka ya vita na giza.

Yakazoofishwa na migawanyiko, Kiprotestanti kikaonekana katika hali ya kuangamizwa.

Lakini wakati wa ushindi huu wa wazi mfalme akapigana sana na kushindwa. Mwishowe

akalazimishwa kukubali kuachia uhuru mafundisho ambayo ilikuwa tamaa ya nguvu katika

maisha yake ya kuyaharibu.

Aliona majeshi yake kuangamizwa na vita, hazina zake kutiririka, watu wengi wa ufalme

wake kutiishwa na uasi, na po pote ambapo imani aliyojitahidi kukomesha ikaenea. Charles

V alikuwa akigombeza uwezo wa Mwenye mamlaka yote. Mungu alisema, “Nuru iwe,” lakini

mfalme akataka kudumisha giza. Aliposhindwa kutimiza makusudi yake, akazeeka upesi,

akajitosha kitini cha ufalme na akaenda kujizika mwenyewe katika nyumba ya watawa.

Katika Uswisi, hivi makambi mengi yalikubali imani ya Matengenezo, wengine

wakajifungia kwa imani ya Roma. Mateso juu ya wafuasi ikaamka kuwa vita vya wenyewe

kwa wenyewe. Zwingli na wengi waliojiunga katika Matengenezo wakaanguka kwa shamba

la damu la Cappel. Roma ikawa na ushindi na katika mahali pengi ikaonekana kupata yote

aliyopoteza. Lakini Mungu hakusahau kazi yake wala watu wake. Kwa upande mwengine

akainua watumishi kuendesha kazi ya Matengenezo.

Katika Ufransa mmojawapo wa kwanza kupata nuru alikuwa ndiye Lefévre; mwalimu

katika chuo kikuu cha Paris. Katika uchunguzi wake wa vitabu vya maandiko ya zamani,

uangalifu wake ukaongozwa kwa Biblia, na akaingiza mafundisho yake miongoni mwa

wanafunzi wake. Akaanza kutayarisha historia ya watakatifu wa wafia dini kama ilivyotolewa

katika mapokeo ya kanisa, na alikuwa amekwisha kufanya maendeleo ya namna sana kwa

hayo, alipofikiri kwamba angeweza kupata usaada kutoka kwa Biblia, akaanza mafundisho

yake. Na hapa kweli akapata watakatifu, lakini si kama vile ilionekana katika kalenda ya

Roma (Kanisa la Katoliki). Katika machukio akaenda zake kwa kazi aliyojiagizia mwenyewe

na akajitoa wakfu kwa Neno la Mungu.

Katika mwaka 1512 kabla ya Luther ao Zwingli walikuwa hawajaanza kazi ya

Matengenezo, Lefévre akaandika, “Ni Mungu anayetupatia, kwa imani, haki ile ambayo kwa

neema pekee hutuhesabia haki kwa uzima wa milele.” Na wakati alipofundisha kwamba

utukufu wa wokovu ni wa Mungu tu, na akatangaza pia kwamba kazi ya kutii ni ya binadamu.

Wengine miongoni mwa wanafunzi wa Lefévre wakasikiliza kwa bidii maneno yake na

wakati mrefu baada ya sauti ya mwalimu kunyamaza, wakaendelea kutangaza ukweli. Mmoja

wao alikuwa William Farel. Alikelewa kwa wazazi watawa na mkatoliki mwenye juhudi,

alitamani sana kuharibu kila kitu kilichojaribu pinga kanisa. “Ningesaga meno yangu kama

mbwa mwitu mkali,” akasema baadaye. “Ninaposikia mtu ye yote kusema kinyume cha

Papa.” Lakini ibada ya watakatifu, kuabudu mbele ya mazabahu, na kupambwa na zawadi za

mahali patakatifu hakukuweza kuleta amani ya roho. Kusadikishwa kwa zambi

82