12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

akaita makutano huko Augsburg. Akatangaza kusudi lake kwa kuongoza mwenyewe.

Waongozi wa Kiprotestanti wakaitwa.

Mchaguzi wa Saxony akashurutishwa na washauri wake asionekane kwa makutano: “Je,

hivyo si kujihatarisha kwa kwenda kwa kila kitu na kujifungia ndani ya kuta za muji pamoja

na adui wenye nguvu?” Lakini wengine wakamwambia kwa uhodari “Acha watawala tu

wapatane wao wenyewe na uhodari na hoja ya Mungu itaokoka.” “Mungu ni mwaminifu:

hatatuacha,” akasema Luther. Mchaguzi akashika safari kwenda Augsburg. Wengi wakaenda

kwenye mkutano na uso wa huzuni na moyo wa taabu. Lakini Luther aliyewasindikiza hata

Coburg, akaamsha imani yao kwa kuimba wimbo ulioandikwa walipokuwa safarini, “ngome

yenye uwezo ndiye Mungu wetu’. Mioyo nyingi yenye uzito ikawa nyepesi kwa sauti za

juhudi za kutia moyo.

Watawala walioongoka wakakusudia kuwa na maelezo ya maono yao, pamoja na

ushuhuda kutoka kwa Maandiko, ya kuonyesha mbele ya mkutano. Kazi ya matayarisho yake

ikapewa Luther, Melanchton na washiriki wao. Ungamo hili likakubaliwa na Waprotestanti,

na wakakusanyika kwa kutia majina yao kwa maandiko ya mapatano.

Watengenezaji walitamani zaidi bila kuchanganisha hoja yao na maswali ya siasa. Kama

vile watawala Wakikristo waliendelea kutia sahihi ya ungamo, Melanchton akaingia kati, na

kusema, “Ni kwa wachunguzi wa mambo ya dini na wahubiri kwa kutoa shauri la mambo

haya; tuchunge maoni mengine kwa ajili ya mamlaka ya wakuu wa inchi.” “Mungu

anakataza” akajibu Jean wa Saxony, “Kwamba mgenitenga. Ninakusudia kutenda yaliyo haki,

bila kujihangaisha mimi mwenyewe juu ya taji langu. Natamani kuungama Bwana. Kofia

yangu ya uchaguzi na ngozi ya mapendo ya wahukumu si vya damani kwangu kama msalaba

wa Yesu Kristo.” Akasema mwengine katika watawala alipochukua kalamu, “Kama heshima

ya Bwana wangu Yesu Kristo huidai, niko tayari ... kuacha mali na maisha yangu nyuma.”

“Tafazali ningekataa mambo yangu na makao yangu, zaidi kutoka inchini mwa baba zangu

na fimbo mkononi,” akaendelea, “kuliko kukubali mafundisho mengine mbali na ambayo

yanayokuwa katika ungamo hili.”

Wakati ulioagizwa ukafika. Charles V, akazungukwa na wachaguzi na watawala,

akakubali kuonana na Watengenezaji wa Waprotestanti. Katika mkutano tukufu ule mambo

ya kweli ya injili yakatangazwa wazi wazi na makosa ya kanisa la Papa yakaonyeshwa. Siku

ile ikatangazwa “siku kubwa sana ya Matengenezo, na siku mojawapo ya utukufu katika

historia ya Kikristo na ya wanadamu.”

Mtawa wa Wittenberg akasimama peke yake huko Worms. Sasa mahali pake kukawa

watawala hodari kuliko wa ufalme. “Ninafurahi sana,” Luther akaandika, “kwamba nimeishi

hata kwa wakati huu, ambao Kristo ametukuzwa wazi wazi na mashahidi bora kama hawa,

na katika mkutano tukufu sana.” Ujumbe ambao mfalme alioukataza kuhubiriwa kwa

mimbara ukatangazwa kwa jumba lake la kifalme. Maneno ambayo wengi waliifikiri kama

yasiyofaa hata mbele ya watumikaji, yalisikiwa kwa mshangao na mabwana wakubwa na

80

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!