Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Kupinga ya Kiprotestanti

nafasi ya kujibu. “Wakatuma ujumbe kusihi mfalme arudi : Akajibu tu, “Ni jambo lilokwisha

kukatwa; kutii ni kitu tu kinachobaki.”

Watu wa kundi la mfalme wakajisifu wenyewe kwamba sababu ya mfalme na Papa

ilikuwa na nguvu, na kwamba ile ya Watengenezaji ni zaifu. Kama Watengenezaji

wangetumainia usaada wa mtu tu, wangalikuwa wazaifu kama walivyo zaniwa na wafuasi wa

Papa. Lakini wakaita “kutoka kwa taarifa la baraza kuelekea Neno la Mungu, na badala ya

mfalme Charles, kwa Yesu Kristo, Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana.” Kama vile

Ferdinand alivyokataa kujali nia za zamiri yao, watawala wakakusudia bila kujali kukosekana

kwake, bali kuleta ushuhuda wao mbele ya baraza la taifa bila kukawia. Tangazo la heshima

likaandikwa na kuwekwa kwa mkutano:

“Tunashuhudia kwa wanaokuwa hapa ... kwamba sisi, kwa ajili yetu na kwa ajili ya watu

wetu, hatukubali wala kupatana katika namna yote kwa amri iliyokusudiwa, katika kila kitu

kinachokuwa kinyume kwa Mungu, kwa Neno lake takatifu, kwa zamiri yetu ya haki, kwa

wokovu wa roho zetu ... kwa sababu hii tunakataa utumwa ambao unaotwikwa juu yetu. ...

Na vilevile tunakuwa katika matumaini kwamba utukufu wake wa kifalme utatenda mbele

yetu kama mfalme Mkristo anayempenda Mungu kupita vitu vyote; na tunatangaza sisi

wenyewe kuwa tayari kulipa kwake, na kwenu pia, watawala wa neema, upendo wote na utii

unavyokuwa wajibu wetu wa haki na wa sheria.”

Wengi wakajaa na mshangao na mshituko wa hofu kwa ushujaa wa washuhuda. Fitina,

ushindano, na kumwaga damu ilionekana bila kuepukwa. Lakini Watengenezaji, katika

kutumainia silaha ya mamlaka Kuu, walikuwa wenyekujazwa na “uhodari tele na ujasiri.”

“Kanuni zilizokuwa katika ushuhuda huu wa sifa ... ilianzisha msingi kabisa wa

Kiprotestanti. ... Kiprotestanti kinatia uwezo wa zamiri juu ya muhukumu na mamulaka ya

Neno la Mungu juu ya kanisa linaloonekana ... Husema pamoja na manabii na mitume

“Imetupasa kutii Mungu kuliko mwanadamu. Kuwako kwa taji la Charles V kiliinua taji la

Yesu Kristo.” Ushuhuda wa Spires ulikuwa ushuhuda wa heshima juu ya ushupavu wa dini

na madai ya haki ya watu wote kwa kuabudu Mungu kwa kupatana na zamiri zao wenyewe.

Maarifa ya Watengenezaji bora hawa yanakuwa na fundisho kwa ajili ya vizazi vyote

vinavyofuatana. Shetani angali anapinga Maandiko yaliyofanywa kuwa kiongozi cha maisha.

Kwa wakati wetu kuna haja ya kurudi kwa kanuni kubwa ya ushuhuda--Biblia, na ni Biblia

peke, kama kiongozi cha amri ya imani na kazi. Shetani angali anatumika kwa kuharibu uhuru

wa dini. Uwezo wa mpinga Kristo ambao washuhuda wa Spires walikataa sasa unatafuta

kuanzisha mamlaka yake iliyopotea.

Makutano Huko Augsburg

Watawala wa injili walinyimwa kusikiwa na Mfalme Ferdinand, lakini kwa kutuliza

magomvi yaliyosumbua ufalme, Charles V katika mwaka uliofuata Ushuhuda wa Spires

79