12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Alikuwa chini ya laana ya ufalme; Adui zake walikuwa na uhuru wa kumuua, rafiki

walikatazwa kumlinda. Lakini aliona kwamba kazi ya injili ilikuwa katika hatari, na katika

jina la Bwana akatoka bila uwoga kupigana kwa ajili ya ukweli. Ndani ya barua kwa

mchaguzi, Luther akasema: “Ninaenda Wittenberg chini ya ulinzi wa yule anayekuwa juu

kuliko ule wa wafalme na wachaguzi. Sifikiri kuomba usaada wa fahari yako, wala kutaka

ulinzi wako, ningependa kukulinda mimi mwenyewe. ... Hakuna upanga unaoweza kusaidia

kazi hii. Mungu peke yake anapashwa kufanya kila kitu.” Katika barua ya pili, Luther

akaongeza: “Niko tayari kukubali chuki ya fahari yako na hasira ya ulimwengu wote. Je,

wakaaji wa Wittenberg si kondoo zangu? Na hainipasi, kama ni lazima, kujitoa kwa mauti

kwa ajili yao?”

Uwezo wa Neno

Makelele haikukawia kuenea katika Wittenberg kwamba Luther alirudi na alitaka

kuhubiri. Kanisa likajaa. Kwa hekima kubwa na upole akafundisha na kuonya: “Misa ni kitu

kibaya; Mungu huchukia kitu hiki; kinapaswa kuharibiwa. ... Lakini mtu asiachishwe kwacho

kwa nguvu. ... Neno ... la Mungu linapasa kutenda, na si sisi. ...Tunakuwa na haki kusema:

hatuna na haki kutenda. Hebu tuhubiri; yanayobaki ni ya Mungu. Nikitumia nguvu nitapata

nini? Mungu hushika moyo na moyo ukikamatwa, umekamatika kabisa. ...

“Nitahubiri, kuzungumza, na kuandika; lakini sitamshurutisha mtu, kwani imani ni tendo

la mapenzi. ... Nilisimama kumpinga Papa, vyeti vya kuachiwa zambi, na wakatoliki, lakini

bila mapigano wala fujo. Ninaweka Neno la Mungu mbele; nilihubiri na kuandika--ni jambo

hili tu nililolifanya. Na kwani wakati nilipokuwa nikilala, ... neno ambalo nililohubiri

likaangusha mafundisho ya kanisa la Roma, ambaye hata mtawala ao mfalme hawakulifanyia

mambo mengi mabaya. Na huku sikufanya lolote; neno pekee lilitenda vyote.” Neno la

Mungu likavunja mvuto wa mwamusho wa ushupavu. Injili ilirudisha katika njia ya Kweli

watu waliodanganywa.

Miaka nyingi baadaye ushupavu wa dini ukainuka pamoja na matokeo ya ajabu. Akasema

Luther: “Kwao Maandiko matakatifu yalikuwa lakini barua yenye kufa, na wote wakaanza

kupaaza sauti, ‘Roho! Roho! ‘ Lakini kwa uhakika sitafuata mahali ambapo roho yao

inawaongoza.”

Thomas Munzer, alikuwa na bidii zaidi miongoni mwa washupavu hawa, alikuwa mtu wa

uwezo mkubwa, lakini hakujifunza dini ya kweli. “Alipokuwa na mapenzi ya kutengeneza

dunia, na akasahau, kama wenye bidii wote wanavyofanya, kwamba ilikuwa kwake

mwenyewe ambaye Matengenezo ilipashwa kuanzia.” Hakutaka kuwa wa pili, hata kwa

Luther. Yeye mwenyewe akajidai kwamba alipokea agizo la Mungu kuingiza Matengenezo

ya kweli: “Ye yote anayekuwa na roho hii, anakuwa na imani ya kweli, ijapo hakuweza kuona

Maandiko katika maisha yake.”

73

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!