Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Kupinga ya Kiprotestanti

Watu wachache wakajizania wenyewe kupokea mafumbulio ya kipekee kutoka Mbinguni

na kuchaguliwa na Mungu kwa kutimiza kazi ya Matengenezo ambayo ilianzishwa kwa

uzaifu na Luther. Kwa kweli, walibomoa kile Mtengenezaji alichofanya. Walikataa kanuni ya

Matengenezo kwamba Neno la Mungu ni amri moja tu, ya kutosha ya imani na maisha. Kwa

kiongozi kile kisichokosa wakaweka maagizo yao yasiyokuwa ya hakika, ya mawazo yao

wenyewe na maono.

Wengine kwa urahisi wakaelekea kwa ushupavu na kujiunga pamoja nao. Mambo ya

wenye bidii hawa yakaleta mwamsho mkubwa. Luther alikuwa ameamsha watu kuona haja

ya Matengenezo, na sasa watu wengine waaminifu wa kweli wakaongozwa vibaya na madai

ya “manabii” wapya. Waongozi wa kazi wakaendelea pale Wittenberg na wakalazimisha

madai yao juu ya Melanchton: “Tumetumwa na Mungu kwa kufundisha watu. Tulikuwa na

mazungumzo ya kawaida pamoja na Mungu; tunajua jambo litakalotokea; kwa neno moja,

tunakuwa mitume na manabii, na tunatoa mwito kwa Mwalimu Luther.”

Watengenezaji wakafazaika. Akasema Melanchton; hapa panakuwa kweli roho za ajabu

katika watu hawa; lakini roho gani? ... Kwa upande mwengine tujihazari kuzima Roho wa

Mungu, na kwa upande mwengine, kwa kudanganywa na roho ya Shetani.”

Tunda la Mafundisho Mapya Limeonekana (limetambulika)

Watu wakaongozwa kuzarau Biblia ao kuikataa yote kabisa. Wanafunzi wakaacha

mafundisho yao na kutoka kwa chuo kikubwa. Watu waliojizania kwamba ni wenye uwezo

kwa kurudisha nafsi na kuongoza kazi ya Matengenezo wakafaulu tu kuileta katika uharibifu.

Sasa Wakatoliki wakapata tumaini lao, nakulalamika kwa furaha. “Juhudi ya mwisho tena, na

wote watakuwa wetu.”

Luther huko Wartburg, aliposikia mambo yaliyotendeka, akasema na masikitiko sana:

“Nilifikiri wakati wowote kwamba Shetani angetumia mateso haya.” Akatambua tabia ya

kweli ya wale waliojidai kuwa “manabii.” Upinzani wa Papa na mfalme haukumletea

mashaka makubwa sana na shida kama sasa. Miongoni mwa waliojidai kuwa “rafiki” za

Matengenezo, kukatokea adui zake wabaya kuliko kwa kuamsha vita na kuleta fujo.

Luther aliongozwa na Roho wa Mungu na kupelekwa mbali ya kujisikia binafsi. Huku kila

mara alikuwa akitetemeka kwa matokeo ya kazi yake: “Kama ningelijua kwamba mafundisho

yangu yaliumiza mtu mmoja, mtu mmoja tu, ingawa mnyenyekevu na mnyonge-lisipoweza

kuwa, kwani linakuwa ni injili yenyewe--ningekufa mara kumi kuliko mimi kuikana.”

Wittenberg yenyewe ilikuwa ikianguka chini ya mamlaka ya ushupavu wa dini isiyo ya

akili na machafuko. Katika Ujeremani pote adui za Luther wakatwika mzigo huo juu yake.

Katika uchungu wa roho akajiuliza, “Je, ni hapo basi kazi hii kubwa ya Matengenezo ilipaswa

kumalizikia?” Tena, kama vile alikuwa akishindana na Mungu katika sala, amani ikaingia

moyoni mwake. “Kazi si yangu, bali ni yako mwenyewe,” akasema. Lakini akakusudia kurudi

Wittenberg.

72