Kupinga ya Kiprotestanti

newcovenantpublicationsintl
from newcovenantpublicationsintl More from this publisher
12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti Hatua kwa hatua Matengenezo yakaendelea katika Zurich. Katika mushtuko adui zake wakaamka kwa kushindana kwa bidii. Mashambulio mingi yakafanywa juu ya Zwingli. Mwalimu wa wapinga imani ya dini anapashwa kunyamazishwa. Askofu wa Constance akatuma wajumbe watatu kwa Baraza la Zurich, kumshitaki Zwingli juu ya kuhatarisha amani na utaratibu wa jamii. Kama mamlaka ya kanisa ikiwekwa pembeni, akasema, machafuko kote ulimwenguni yatatokea. Baraza likakataa kukamata mpango juu ya Zwingli, na Roma ikajitayarisha kwa shambulio jipya. Mtengenezaji akapaliza sauti: “Muache waje”; Ninawaogopa kama vile mangenge yanayo tokajuu yakimbiavyo mavimbi yanayo mgurumo kwa miguu yake.” Juhudi za waongozi wa kanisa ziendelesha kazi waliotamani kuharibu. Kweli ikaendelea kusambaa. Katika Ujeremani wafuasi wake, walipohuzunishwa kwa kutoweka kwa Luther, wakatiwa moyo tena walipoona maendeleo ya injili katika Usuisi. Namna Matengenezo yaliimarishwa katika Zurich, matunda yake yalionekana zaidi kabisa katika kuvunjwa kwa uovu na kuendeleshwa utaratibu. Mabishano (Wafuasi wa kanisa la Roma) Kwa kuona namna mateso ya kutangaza kazi ya Luther katika Ujeremani haikufanya kitu, Warumi wakakusudiakuwe mabishano na Zwingli. Walikuwa na hakika ya ushindi kwa kuchagua si makali tu pa vita bali waamuzi waliopashwa kuamua kati ya wabishanaji. Na kama wangeweza kupata Zwingli katika uwezo wao, wangefanya angalisho ili asikimbie. Shauri hili, basi, likafichwa kwa uangalifu. Mabishano yalipaswa kuwa huko Bade. Lakini Baraza la Zurich, kuzania makusudi ya watu wa Papa na walipoonywa juu ya vigingi vya moto vilivyowashwa katika makambi ya wakatoliki kwa ajili ya washahidi wa injili, wakamkataza mchungaji wao kujihatarisha maisha yake. Kwa kwenda Bade, mahali damu ya wafia dini kwa ajili ya ukweli ilikuwa imetiririka, ingeleta kifo kweli. Oecolampadius na Haller wakachaguliwa kuwa wajumbe wa Watengenezaji, wakati Dr. Eck mwenye sifa, akisaidiwa na jeshi la watu wenye elimu sana na wapadri, alikuwa ndiye shujaa wa Roma. Waandishi wakachaguliwa wote kwa wakatoliki, na wengine wakakatazwa kuandika ao wasipotii wauwawe. Mwanafunzi mmoja, aliyeshiriki katika mabishano akaandika abari kila jioni juu ya mabishano yaliyofanyika mchana ule. Wanafunzi wawili wengine wakaagizwa kutoa kila siku barua za Oecolampadius, kwa Zwingli huko Zurich. Mtengenezaji akajibu, anapotoa shauri. Kwa kuepuka uangalifu wa mlinzi wa milango ya mji, wajumbe hawa walileta vikapo vya bata juu ya vichwa vyao na wakaruhusiwa kupita bila kizuizi. Zwingli “alitumika zaidi,” akasema Myconius, “kwa mawazo yake, kukesha kwake usiku, na shauri alilopeleka Bade, kuliko angeweza kufanya kwa kubishana mwenyewe katikati ya adui zake.” Wakatoliki wakafika Bade na mavazi ya hariri ya fahari sana ya mapambo ya vitu vya damani. Wakasafiri na anasa sana, na kukaa kwa meza zilizojaa vyakula vitamu sana na divai nzuri sana. Kukawa tofauti kubwa sana kati yao na Watengenezajiambao chakula chao cha kiasi kikawakalisha kwa mda mfupi tu mezani. Mwenyeji wa Oecolampade, 70

Kupinga ya Kiprotestanti aliyempeleleza chumbani mwake, akamkuta akijifunza kila wakati ao akiomba, na akajulisha kwamba mpinga imani ya dini huyo alikuwa “mtawa sana.” Katika mkutano, “Eckakapanda na majivuno katika mimbara iliyopambwa vizuri sana, lakini mnyenyekevu Oecompade, aliyevaa mavazi ya kiasi, akalazimishwa kuchukua kiti chake mbele ya mpinzani wake kwa kiti kilichochorwa vibaya sana.” Sauti ya nguvu ya Eck na majivuno mingi hakumtisha. Mtetezi wa imani alikuwa anatazamia mshahara mzuri. Wakati alipokosa mabishano bora, akatumia matukano na hata maapizo ama laana. Oecolampade, mwenye adabu na mwenye kujihazari, akakataa kushiriki katika mabishano. Ingawa alikuwa mpole na adabu katika mwenendo, akajionyesha mwenyewe kuwa na uwezo na imara. Mtengenezaji akashikamana kwa nguvu katika Maandiko. “Desturi,” akasema, “haina uwezo katika Usuisi wetu, isipokuwa kwa sheria; sasa katika mambo ya imani, Biblia ndiyo sheria yetu.” Utulivu, kutumia akili kwa Mtengenezaji, unyenyekevu na adabu ulioonyeshwa, ikavuta mafikara na watu wakachukia majivuno ya kiburi cha Eck. Mabishano yakaendelea kwa mda wa siku kumi na mnane. Wakatoliki wakadai ushindi. Kwa namna wajumbe wengi walikuwa wa upande wa Roma, na baraza ikatangaza kwamba Watengenezaji walishindwa na pamoja na Zwingli, waondoshwe kanisani. Lakini mashindano yakatokea katika mvuto wa nguvu kwa ajili ya Waprotestanti. Baada ya mda mfupi tu, miji mikubwa ya Berne na Bâ le ikajitangaza kuwa kwa upande wa Matengenezo. Sura 10. Maendeleo Katika Ujeremani Kutoweka kwa ajabu kwa Luther kukaweka Ujeremani wote katika hofu kubwa. Habari ikatangazwa na wengi wakaamini kwamba aliuawa. Kukawa maombolezo makubwa, na wengi wakaapa kwa kitisho kulipiza kisasi cha kifo chake. Ijapo waiishangilia mara ya kwanza kwa ajili ya kifo kilichozaniwa cha Luther, adui zake walijazwa na hofu kuwa sasa kwamba amekuwa mfungwa. “Njia moja tu inayotubakilia kwa kuokoa kesi letu,” akasema mmoja wao, “ni kuwasha mienge, na kumuwinda Luther katika ulimwengu wote na kumrudisha kwa taifa linalomwita.” Kusikia kwamba Luther alikuwa salama, ijapo alikuwa mfungwa, jambo hili likatuliza watu, huku wakisoma maandiko yake kwa bidii sana kuliko mbele. Hesabu ya wale walioongezeka wakajiunga kwa kisa cha mshujaa aliyetetea Neno la Mungu. Mbegu ambayo Luther alipanda ikatoa matunda mahali pote. kutokuwapo kwake kukafanya kazi ambayo kuwako kwake hakungeweza kufanya. Na sasa mwongozi wao mkuu ameondolewa, watumikaji wengine wakafanya bidii ili kazi ya maana sana iliyoanzishwa isipingwe. Sasa Shetani akajaribu kudanganya na kuangamiza watu kwa kuwapokeza kazi iliyogeuzwa kwa hila pahali pa kazi ya kweli. Kwa namna kulikuwa Wakristo wa uongo kwa karne la kwanza, ndipo kukatokea manabii wa uongo kwa karne ya kumi na sita. 71

Kupinga ya Kiprotestanti

aliyempeleleza chumbani mwake, akamkuta akijifunza kila wakati ao akiomba, na akajulisha

kwamba mpinga imani ya dini huyo alikuwa “mtawa sana.”

Katika mkutano, “Eckakapanda na majivuno katika mimbara iliyopambwa vizuri sana,

lakini mnyenyekevu Oecompade, aliyevaa mavazi ya kiasi, akalazimishwa kuchukua kiti

chake mbele ya mpinzani wake kwa kiti kilichochorwa vibaya sana.” Sauti ya nguvu ya Eck

na majivuno mingi hakumtisha. Mtetezi wa imani alikuwa anatazamia mshahara mzuri.

Wakati alipokosa mabishano bora, akatumia matukano na hata maapizo ama laana.

Oecolampade, mwenye adabu na mwenye kujihazari, akakataa kushiriki katika

mabishano. Ingawa alikuwa mpole na adabu katika mwenendo, akajionyesha mwenyewe

kuwa na uwezo na imara. Mtengenezaji akashikamana kwa nguvu katika Maandiko.

“Desturi,” akasema, “haina uwezo katika Usuisi wetu, isipokuwa kwa sheria; sasa katika

mambo ya imani, Biblia ndiyo sheria yetu.”

Utulivu, kutumia akili kwa Mtengenezaji, unyenyekevu na adabu ulioonyeshwa, ikavuta

mafikara na watu wakachukia majivuno ya kiburi cha Eck.

Mabishano yakaendelea kwa mda wa siku kumi na mnane. Wakatoliki wakadai ushindi.

Kwa namna wajumbe wengi walikuwa wa upande wa Roma, na baraza ikatangaza kwamba

Watengenezaji walishindwa na pamoja na Zwingli, waondoshwe kanisani. Lakini

mashindano yakatokea katika mvuto wa nguvu kwa ajili ya Waprotestanti. Baada ya mda

mfupi tu, miji mikubwa ya Berne na Bâ le ikajitangaza kuwa kwa upande wa Matengenezo.

Sura 10. Maendeleo Katika Ujeremani

Kutoweka kwa ajabu kwa Luther kukaweka Ujeremani wote katika hofu kubwa. Habari

ikatangazwa na wengi wakaamini kwamba aliuawa. Kukawa maombolezo makubwa, na

wengi wakaapa kwa kitisho kulipiza kisasi cha kifo chake.

Ijapo waiishangilia mara ya kwanza kwa ajili ya kifo kilichozaniwa cha Luther, adui zake

walijazwa na hofu kuwa sasa kwamba amekuwa mfungwa. “Njia moja tu inayotubakilia kwa

kuokoa kesi letu,” akasema mmoja wao, “ni kuwasha mienge, na kumuwinda Luther katika

ulimwengu wote na kumrudisha kwa taifa linalomwita.” Kusikia kwamba Luther alikuwa

salama, ijapo alikuwa mfungwa, jambo hili likatuliza watu, huku wakisoma maandiko yake

kwa bidii sana kuliko mbele. Hesabu ya wale walioongezeka wakajiunga kwa kisa cha

mshujaa aliyetetea Neno la Mungu.

Mbegu ambayo Luther alipanda ikatoa matunda mahali pote. kutokuwapo kwake

kukafanya kazi ambayo kuwako kwake hakungeweza kufanya. Na sasa mwongozi wao mkuu

ameondolewa, watumikaji wengine wakafanya bidii ili kazi ya maana sana iliyoanzishwa

isipingwe. Sasa Shetani akajaribu kudanganya na kuangamiza watu kwa kuwapokeza kazi

iliyogeuzwa kwa hila pahali pa kazi ya kweli. Kwa namna kulikuwa Wakristo wa uongo kwa

karne la kwanza, ndipo kukatokea manabii wa uongo kwa karne ya kumi na sita.

71

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!