Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Kupinga ya Kiprotestanti

kuu wakimusifu Mungu. “Mtu huyu,” wakasema, “ni mhubiri wa ukweli. Atakuwa Musa

wetu, kutuongoza kutoka katika giza hii ya Misri.” Baada ya wakati upinzani ukaanza.

Watawa wakamushambulia kwa zarau na matusi; wengine wakatumia ukali na matisho.

Lakini Zwingli akachukua yote kwa uvumilivu.

Wakati Mungu anapojitayarisha kuvunja viungo vya pingu vya ujinga na ibada ya sanamu

Shetani anatumika na uwezo mkubwa sana kwa kufunika watu katika giza na kufunga

minyororo yao kwa nguvu zaidi. Roma ikaendelea kutia nguvu mpya kwa kufungua soko

yake katika mahali pote pa Ukristo, ukitoa msamaha kwa mali. Kila zambi ilikuwa na bei

yake, na watu walipewa chetibila malipo kwa ajili ya zambi kama hazina ya kanisa ililindwa

yenyekujaa vizuri. ... Hivi mashauri mawili haya yakaendelea--Roma kuruhusu zambi na

kuifanya kuwa chemchemi ya mapato yake, Watengenezaji kulaumu zambi na kuonyesha

Kristo kama kipatanisho na mkombozi.

Uchuuzi wa cheti cha Kuachiwa Zambi katika Usuisi

Katika Ujermani biashara ya kuachiwa (zambi) iliongozwa na mwovu sana Tetzel. Katika

Usuisi biashara hii ilikuwa chini ya uongozi wa Samson, mtawa wa Italia. Samson alikuwa

amekwisha kujipatia pesa nyingi kutoka Ujeremani na Usuisi kwa kujaza hazina ya Papa.

Sasa akapitia Usuisi, kunyanganya wakulima masikini mapato yao machache na kulipisha

zawadi nyingi kutoka kwa watajiri. Mtengenezaji kwa upesi akaanza kumpinga. Kufanikiwa

kwa Zwingli kulikuwa namna hiyo kufunua kujidai kwa mtawa huyu hata akashurutisha

kutoka kwenda sehemu zingine. Huko Zurich, Zwingli akahubiri kwa bidii juu ya wafanya

biashara ya msamaha. Wakati Samson alipokaribia mahali pale akakutana na mjumbe

aliyemtetea neno kutoka kwa baraza kwa kumwaambia aanze kazi, akatumia mwingilio wa

hila, lakini, akarudishwa bila kuuzisha hata barua moja ya msamaha, kwa upesi akatoka

Usuisi.

Tauni, au Kifo Kikubwa, kikapitia kwa Usuisi kwa nguvu sana katika mwaka 1519. Wengi

wakaongozwa kuona namna ilikuwa bure na bila damani masamaha yaliokuwa wakinunua;

wakatamani sana msingi wa kweli wa imani yao. Huko Zurich, Zwingli akagonjwa sana, na

habari ikatangazwa sana kwamba alikufa. Kwa saa ile ya kujaribiwa akatazama kwa imani

msalaba wa Kalvari, akatumaini kwamba kafara ya Kristo ilikuwa ya kutosha kwa ajili ya

zambi. Aliporudi kutoka kwa milango ya mauti, ilikuwa kwa ajili ya kuhubiri injili kwa bidii

kubwa sana kuliko mbele. Watu wao wenyewe walitoka kuangalia mgonjwa karibu ya kifo,

wakafahamu vizuri kuliko mbele, damani ya injili.

Zwingli alifikia hali ya kuelewa wazi juu ya ukweli na kupata ujuzi ndani yake uwezo

wake unaogeuza. “Kristo,” akasema, “... alitupatia ukombozi wa milele ... mateso yake ni ...

kafara ya milele, na huleta kupona kwa milele; huridisha haki ya Mungu kwa milele kwa ajili

ya wale wote wanaotegemea juu ya kafara yake kwa imani ya nguvu na ya imara. ...

Panapokuwa imani katika Mungu, kunakuwa na juhudi inayoendesha na kusukuma watu kwa

kazi njema.”

69