Kupinga ya Kiprotestanti

newcovenantpublicationsintl
from newcovenantpublicationsintl More from this publisher
12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti kutoka pande zote za Usuisi, na hata kutoka Ufaransa na Ujeremani. Zwingli akapata nafasi ya kutangaza uhuru kwa njia ya injili kwa watumwa hawa wa mambo ya ibada ya sanamu. “Musizani,” akasema, “kwamba Mungu yuko katika hekalu hii zaidi kuliko kwa upande mwingine wauumbaji. ... Je, kazi zisizofaa, safari za taabu, sadaka, masanamu, sala za Bikira ao za watakatifu zingeweza kuwapatia neema ya Mungu? ... Ni manufaa gani ya kofia ya kungaa, kichwa kilichonolewa vizuri, kanzu ndefu na yenye kuvutwa, ao viato vyenye mapambo ya zahabu?” “Kristo,” akasema, “aliyetolewa mara moja juu ya msalaba, ni toko na kafara, alifanya kipatanisho kwa ajili ya zambi za waaminifu hata milele.” Kwa wengi lilikuwa uchungu wa kukatisha tamaa kuambiwa kwamba safari yao ya kuchokesha ilikuwa ya bure. Hawakuweza kufahamu rehema waliyotolewa bure katika Yesu Kristo. Njia ya mbinguni iliyowekwa na Roma iliwatoshelea. Ilikuwa ni rahisi sana kutumaini wokovu wao kwa wapadri na Papa kuliko kutafuta usafi wa moyo. Lakini kundi lingine wakapokea kwa furaha habari za ukombozi kwa njia ya Kristo, na katika imani wakakubali damu ya Muokozi kuwa kipatanisho chao. Hawa wakarudi kwao kuonyesha wengine nuru ya damani waliyoipokea. Kwa hivi ukweli ukapelekwa mji kwa mji, na hesabu ya wasafiri kwa mahali patakatifu pa Bikira ikapunguka sana. Sadaka sasa zikapunguka, na kwa sababu hiyo mshahara wa Zwingli uliyokuwa ukitoka humo. Lakini jambo hilo lilimletea tu furaha namna alivyoona kwamba uwezo wa ibada ya sanamu ulikuwa ukivunjwa. Ukweli ukapata uwezo kwa mioyo ya watu. Zwingli Akaitwa Zurich Baada ya miaka mitatu Zwingli akaitwa kuhubiri katika kanisa kubwa la Zurich, mji mkubwa sana wa ushirika wa Suisi. Mvuto uliotumiwa hapa ulisikuwa mahali pengi. Wapadri waliomwita kwa kazi hiyo wakawa na uangalifu wa kumfahamisha hawakutaka mageuzi: “Utaweka juhudi yote kukusanya mapato kwa mfululizo bila kusahau kitu cho chote. ... Utakuwa na juhudi ya kuongeza mapato kutoka kwa wagonjwa, kwa misa, na kwa kawaida kutoka kwa kila agizo la dini.” “Juu ya uongozi wa sakramenti, mahubiri, na ulinzi wa kundi, ... unaweza kutumia mtu mwingine, na zaidi sana katika mahubiri.” Zwingli akasikiliza kwa ukimya kwa agizo hili, na akasema kwa kujibu, “Maisha ya Kristo yamefichwa mda mrefu kwa watu. Nitahubiri juu habari yote ya Injili ya Mtakatifu Matayo. ... Ni kwa utukufu wa Mungu, kwa sifa ya mwana wake, kwa wokovu wa kweli wa roho, na kwa kujijenga katika imani ya kweli, ambapo nitajitoa wakfu kwa kazi yangu.” Watu wakajikusanya kwa hesabu kubwa kwa kusikia mahubiri yake. Akaanza kazi yake kwa kufungua Injili na kueleza maisha, mafundisho, na mauti ya Kristo. “Ni kwa Kristo,” akasema, “ambapo natamani kuwaongoza ninyi--kwa Kristo, chemchemi ya kweli ya wokovu.” Wenye maarifa ya utawala, wanafunzi, wafundi, na wakulima wakasikiliza maneno yake. Akakemea makosa bila hofu na maovu ya nyakati. Wengi wakarudi kutoka kwa kanisa 68

Kupinga ya Kiprotestanti kuu wakimusifu Mungu. “Mtu huyu,” wakasema, “ni mhubiri wa ukweli. Atakuwa Musa wetu, kutuongoza kutoka katika giza hii ya Misri.” Baada ya wakati upinzani ukaanza. Watawa wakamushambulia kwa zarau na matusi; wengine wakatumia ukali na matisho. Lakini Zwingli akachukua yote kwa uvumilivu. Wakati Mungu anapojitayarisha kuvunja viungo vya pingu vya ujinga na ibada ya sanamu Shetani anatumika na uwezo mkubwa sana kwa kufunika watu katika giza na kufunga minyororo yao kwa nguvu zaidi. Roma ikaendelea kutia nguvu mpya kwa kufungua soko yake katika mahali pote pa Ukristo, ukitoa msamaha kwa mali. Kila zambi ilikuwa na bei yake, na watu walipewa chetibila malipo kwa ajili ya zambi kama hazina ya kanisa ililindwa yenyekujaa vizuri. ... Hivi mashauri mawili haya yakaendelea--Roma kuruhusu zambi na kuifanya kuwa chemchemi ya mapato yake, Watengenezaji kulaumu zambi na kuonyesha Kristo kama kipatanisho na mkombozi. Uchuuzi wa cheti cha Kuachiwa Zambi katika Usuisi Katika Ujermani biashara ya kuachiwa (zambi) iliongozwa na mwovu sana Tetzel. Katika Usuisi biashara hii ilikuwa chini ya uongozi wa Samson, mtawa wa Italia. Samson alikuwa amekwisha kujipatia pesa nyingi kutoka Ujeremani na Usuisi kwa kujaza hazina ya Papa. Sasa akapitia Usuisi, kunyanganya wakulima masikini mapato yao machache na kulipisha zawadi nyingi kutoka kwa watajiri. Mtengenezaji kwa upesi akaanza kumpinga. Kufanikiwa kwa Zwingli kulikuwa namna hiyo kufunua kujidai kwa mtawa huyu hata akashurutisha kutoka kwenda sehemu zingine. Huko Zurich, Zwingli akahubiri kwa bidii juu ya wafanya biashara ya msamaha. Wakati Samson alipokaribia mahali pale akakutana na mjumbe aliyemtetea neno kutoka kwa baraza kwa kumwaambia aanze kazi, akatumia mwingilio wa hila, lakini, akarudishwa bila kuuzisha hata barua moja ya msamaha, kwa upesi akatoka Usuisi. Tauni, au Kifo Kikubwa, kikapitia kwa Usuisi kwa nguvu sana katika mwaka 1519. Wengi wakaongozwa kuona namna ilikuwa bure na bila damani masamaha yaliokuwa wakinunua; wakatamani sana msingi wa kweli wa imani yao. Huko Zurich, Zwingli akagonjwa sana, na habari ikatangazwa sana kwamba alikufa. Kwa saa ile ya kujaribiwa akatazama kwa imani msalaba wa Kalvari, akatumaini kwamba kafara ya Kristo ilikuwa ya kutosha kwa ajili ya zambi. Aliporudi kutoka kwa milango ya mauti, ilikuwa kwa ajili ya kuhubiri injili kwa bidii kubwa sana kuliko mbele. Watu wao wenyewe walitoka kuangalia mgonjwa karibu ya kifo, wakafahamu vizuri kuliko mbele, damani ya injili. Zwingli alifikia hali ya kuelewa wazi juu ya ukweli na kupata ujuzi ndani yake uwezo wake unaogeuza. “Kristo,” akasema, “... alitupatia ukombozi wa milele ... mateso yake ni ... kafara ya milele, na huleta kupona kwa milele; huridisha haki ya Mungu kwa milele kwa ajili ya wale wote wanaotegemea juu ya kafara yake kwa imani ya nguvu na ya imara. ... Panapokuwa imani katika Mungu, kunakuwa na juhudi inayoendesha na kusukuma watu kwa kazi njema.” 69

Kupinga ya Kiprotestanti

kutoka pande zote za Usuisi, na hata kutoka Ufaransa na Ujeremani. Zwingli akapata nafasi

ya kutangaza uhuru kwa njia ya injili kwa watumwa hawa wa mambo ya ibada ya sanamu.

“Musizani,” akasema, “kwamba Mungu yuko katika hekalu hii zaidi kuliko kwa upande

mwingine wauumbaji. ... Je, kazi zisizofaa, safari za taabu, sadaka, masanamu, sala za Bikira

ao za watakatifu zingeweza kuwapatia neema ya Mungu? ... Ni manufaa gani ya kofia ya

kungaa, kichwa kilichonolewa vizuri, kanzu ndefu na yenye kuvutwa, ao viato vyenye

mapambo ya zahabu?” “Kristo,” akasema, “aliyetolewa mara moja juu ya msalaba, ni toko na

kafara, alifanya kipatanisho kwa ajili ya zambi za waaminifu hata milele.”

Kwa wengi lilikuwa uchungu wa kukatisha tamaa kuambiwa kwamba safari yao ya

kuchokesha ilikuwa ya bure. Hawakuweza kufahamu rehema waliyotolewa bure katika Yesu

Kristo. Njia ya mbinguni iliyowekwa na Roma iliwatoshelea. Ilikuwa ni rahisi sana kutumaini

wokovu wao kwa wapadri na Papa kuliko kutafuta usafi wa moyo.

Lakini kundi lingine wakapokea kwa furaha habari za ukombozi kwa njia ya Kristo, na

katika imani wakakubali damu ya Muokozi kuwa kipatanisho chao. Hawa wakarudi kwao

kuonyesha wengine nuru ya damani waliyoipokea. Kwa hivi ukweli ukapelekwa mji kwa mji,

na hesabu ya wasafiri kwa mahali patakatifu pa Bikira ikapunguka sana. Sadaka sasa

zikapunguka, na kwa sababu hiyo mshahara wa Zwingli uliyokuwa ukitoka humo. Lakini

jambo hilo lilimletea tu furaha namna alivyoona kwamba uwezo wa ibada ya sanamu ulikuwa

ukivunjwa. Ukweli ukapata uwezo kwa mioyo ya watu.

Zwingli Akaitwa Zurich

Baada ya miaka mitatu Zwingli akaitwa kuhubiri katika kanisa kubwa la Zurich, mji

mkubwa sana wa ushirika wa Suisi. Mvuto uliotumiwa hapa ulisikuwa mahali pengi. Wapadri

waliomwita kwa kazi hiyo wakawa na uangalifu wa kumfahamisha hawakutaka mageuzi:

“Utaweka juhudi yote kukusanya mapato kwa mfululizo bila kusahau kitu cho chote. ...

Utakuwa na juhudi ya kuongeza mapato kutoka kwa wagonjwa, kwa misa, na kwa kawaida

kutoka kwa kila agizo la dini.” “Juu ya uongozi wa sakramenti, mahubiri, na ulinzi wa kundi,

... unaweza kutumia mtu mwingine, na zaidi sana katika mahubiri.”

Zwingli akasikiliza kwa ukimya kwa agizo hili, na akasema kwa kujibu, “Maisha ya Kristo

yamefichwa mda mrefu kwa watu. Nitahubiri juu habari yote ya Injili ya Mtakatifu Matayo.

... Ni kwa utukufu wa Mungu, kwa sifa ya mwana wake, kwa wokovu wa kweli wa roho, na

kwa kujijenga katika imani ya kweli, ambapo nitajitoa wakfu kwa kazi yangu.”

Watu wakajikusanya kwa hesabu kubwa kwa kusikia mahubiri yake. Akaanza kazi yake

kwa kufungua Injili na kueleza maisha, mafundisho, na mauti ya Kristo. “Ni kwa Kristo,”

akasema, “ambapo natamani kuwaongoza ninyi--kwa Kristo, chemchemi ya kweli ya

wokovu.” Wenye maarifa ya utawala, wanafunzi, wafundi, na wakulima wakasikiliza maneno

yake. Akakemea makosa bila hofu na maovu ya nyakati. Wengi wakarudi kutoka kwa kanisa

68

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!