12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

utukufu wa Mungu. Kando ya babu wake mwanamke, alisikiliza hadizi chache za damani za

Biblia alizokusanya kwa shida kutoka kwa hadizi na mafundisho ya kanisa yaliyotokea

zamani.

Kwa umri wa miaka kumi na mitatu akaenda Berne, mahali palipokuwa shule lililokuwa

la sifa sana katika Usuisi. Hapa, lakini, kukatokea hatari. Juhudi nyingi zikafanywa na watawa

kwa kumvuta katika nyumba ya watawa. Kwa bahati baba yake akapata habari ya makusudi

ya watawa. Aliona kwamba mafaa ya wakati ujao ya mwanawe yalikuwa ya kufa kwa ajili ya

imani ya dini na akamwongoza kurudi nyumbani.

Agizo likasikiwa, lakini kijana hakuweza kurizika katika bonde lake la kuzaliwa, akaenda

kufuata masomo yake huko Ba le. Ni hapo ambapo Zwingli alisikia mara ya kwanza injili ya

neema ya Mungu isionunuliwa. Huko Wittembach, alipokuwa akijifunza (kiyunani) Kigiriki

na Kiebrania, akaongozwa kwa Maandiko matakatifu, kwa hivyo nyali za nuru ya Mungu

ikatolewa katika akili za wanafunzi aliokuwa akifundisha. Akatangaza kwamba kifo cha

Kristo ni ukombozi wa kipekee wa mwenye zambi. Kwa Zwingli maneno haya ni nyali ya

kwanza ya nuru unayotangulia mapambazuko.

Zwingli akaitwa upesi kutoka Bale kwa kuingia kwa kazi yake ya maisha. Kazi yake ya

kwanza ilikuwa katika vilaya ya milima mirefu. Akatakaswa kama padri, “akajitoa wakfu na

roho yake yote kwa kutafuta kweli ya Mungu.” Namna alizidi kutafuta Maandiko, zaidi tofauti

ikaonekana kwake kati ya ukweli na mambo ya kupinga imani ya dini ya Roma. Akajitoa

mwenyewe kwa Biblia kama Neno la Mungu, amri moja tu inayofaa na ya haki. Aliona

kwamba Biblia inapaswa kuwa mfariji wake mwenyewe. Akatafuta usaada wowote kwa

kupata ufahamu kamili wa maana yake, na akaomba usaada wa Roho Mtakatifu. “Nikaanza

kumuomba Mungu kwa ajili ya nuru yake, “baadaye akaandika, “na Maandiko yakaanza

kuwa rahisi zaidi kwangu.”

Mafundisho yaliyohubiriwa na Zwingli hayakupokewa kutoka kwa Luther. Yalikuwa

mafundisho ya Kristo. “ikiwa Luther anahubiri Kristo,” akasema Mtengenezaji wa Usuisi,

“anafanya ninavyofanya. ... Hakuna hata neno moja lililoandikwa nami kwa Luther wala

lililoandikwa na Luther kwangu. Ni kwa sababu gani? ... Ili ipate kuonyeshwa namna gani

Roho wa Mungu anakuwa katika sauti moja kwake mwenyewe, hivi sisi wawili, bila

mgongano, tunafundisha mafundisho ya Kristo kwa ulinganifu kama huo.”

Katika mwaka 1516 Zwingli akaalikwa kuhubiri katika nyumba ya watawa huko

Einsiedeln. Hapa alipashwa kutumia kama Mtengenezaji mvuto ambao ungesikiwa mbali hata

kuvuka milima mirefu (Alpes) alipozaliwa.

Katika vitu vya mvuto wa Einseideln ni sanamu ya Bikira, walisema kwamba ilikuwa na

uwezo wakufanya. Juu ya mlango wa nyumba ya watawa kulikuwa na maandiko, “Ni hapa

kunapatikana msamaha wa zambi zote.” Makundi mengi wakaja kwa mazabahu ya Bikira

67

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!