12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

ya injili ikaonekana karibu kukomeshwa. Lakini nuru ya Mtengenezaji ilipaswa kuendelea

kuangaza kwa nguvu zaidi.

Usalama huko Wartburg

Katika salama ya urafiki wa Wartburg, Luther akafurahi kuwa inje ya fujo ya vita. Lakini

kwa sababu ni mtu aliyezoea maisha ya kazi na magumu makali, hangevumilia kukaa bila

kufanya lolote. Wakati wa siku za upekee, hali ya kanisa ikafika kwa mawazo yake. Akaogopa

kuzaniwa kuwa mwoga kwa kujitosha kwa mabishano. Ndipo akajilaumu mwenyewe kwa

uvivu wake na kujihurumia mwenyewe.

Lakini, kila siku alifanya kazi ya ajabu kuliko ingeonekana mtu mmoja kuweza kufanya.

Kalamu yake haikukaa bure. Adui zake walishangaa na kufazaika kwa ushuhuda wazi

kwamba alikuwa angali akitumika. Kwa wingi wa vitabu vidogo vya kalamu yake vikaenea

katika Ujeremani pote. Akatafsiri pia Agano Jipya kwa lugha ya Ujeremani. Kutoka kwa

mwamba wake wa Patemo, akaendelea kwa mda karibu mwaka mzima kutangaza injili na

kukemea makosa ya nyakati. Mungu akavuta mtumishi wake kutoka kwa jukwaa ya maisha

ya watu. Katika upekee na giza ya kimbilio lake mlimani, Luther akatengwa kwa misaada ya

kidunia na kukosa sifa ya kibinadamu. Aliokolewa basi kwa kiburi na kujitumainia

vinavyoletwa mara nyingi na ushindi.

Namna watu wanavyofurahia kwa uhuru ambao kweli inawaletea, Shetani anatafuta

upotosha mawazo yao na upendo kutoka kwa Mungu na kuwaimarisha kwa wajumbe wa

kibinadamu, kuheshimu chombo na kutojali Mkono ambao unaoongoza mambo ya Mungu.

Mara nyingi waongozi wa dini wanaposifiwa huongozwa kujitumainia wenyewe. Watu

wanakuwa tayarikuwaangalia juu ya uongozi badala ya Neno la Mungu. Kutoka katika hatari

hii Mungu alitaka kulinda Matengenezo. Macho ya watu yalimugeukia Luther kama mfasi wa

ukweli; aliondolewa ili macho yale yote yapate kuongozwa kwa Mwenyezi wa milele wa

ukweli.

Sura 9. Nuru Iliwashwa Katika Usuisi

Juma chache baada ya kuzaliwa kwa Luther katika kibanda cha mchimba madini katika

Saxe, Ulric Zwingli akazaliwa katika nyumba ndogo ya wachungaji katika milima mirefu ya

Alpes. Alipokelewa pahali penye maubule makubwa, akili yake mwanzoni tu ikavutwa na

66

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!