12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

ulipashwa kwa kugeuza kanisa na ulimwengu, si kwa wakati wake mwenyewe tu, bali kwa

vizazi vyote vya baadaye. Luther aliagizwa upesi na mfalme kurudi nyumbani mwake.

Tangazo hili lingefuata kwa upesi na hukumu yake. Mawingu ya kutisha yakafunika njia yake,

lakini kama alivyotoka Worms, moyo wake ukajaa na furaha na sifa.

Baada ya kuondoka kwake, ili musimamo wake imara usizaniye kuwa uasi, Luther

akaandika kwa mfalme: “Ninakuwa tayari kwa kutii kwa moyo kabisa kwa utukufu wako,

katika heshima wala katika zarau, katika maisha ao katika mauti, na kuto kukubali kitu

kingine cho chote isipokuwa Neno la Mungu ambalo mtu huishi kwa ajili yake. ... Wakati

faida ya milele,inahusika mapenzi ya Mungu si mtu anapashwa kujiweka chini ya mtu. Kwani

kujitoa kwa namna ile katika mambo ya kiroho ni kuabudu kwa kweli, na kunapaswa

kutolewa kwa Muumba peke yake.”

Kwa safari kutoka Worms, watawala wa kanisa wakakaribisha kama mfalme mtawa

aliyetengwa kwa kanisa, na watawala wa serkali wakamheshimu mtu aliyelaumiwa na

mfalme. Akalazimishwa kuhubiri, na bila kujali makatazo ya mfalme, akaingia tena kwa

mimbara. “Siku ahidi kamwe mimi mwenyewe kufunga neno la Mungu kwa mnyororo,”

akasema, “ama sitalifunga.”

Mda kidogo baada ya kutoka Worms, wasimamizi wa Papa wakamshawishi mfalme kutoa

amri juu yake. Luther alitangazwa kama “Shetani mwenyewe chini ya umbo la mtu anayevaa

kanzu ya watawa.” Mara ruhusa yake ya kupita inapomalizika, mipango ilipaswa kukamatwa

kwa ajili ya kukataza kumkaribisha, kumupa chakula wala kinywaji, ao kwa neno ao tendo,

msaada wala kushirikiana naye. Alipashwa kutolewa mikononi mwa watawala, wafuasi wake

pia kufungwa na mali yao kunyanganywa. Maandiko yake yalipashwa kuharibiwa, na

mwishowe, wote wangesubutu kutenda kinyume cha agizo hili walihusika katika hukumu

yake. Mchaguzi wa Saxe na watawala wote, waliokuwa rafiki sana wa Mtengenezaji,

walipotoka Worms baada kidogo ya kutoka kwake, na agizo la mfalme likapokea ukubali wa

baraza. Waroma walishangilia. Wakaamini mwicho wa Mtengenezaji kutiwa mhuri kabisa.

Mungu Anatumia Frederic wa Saxe

Jicho la uangalifu lilifuata mwendo wa Luther, na moyo wa kweli na bora ulikusudia kwa

kumwokoa. Mungu ukamtolea Frederic wa Saxe mpango kwa ajili ya ulinzi wa Mtengenezaji.

Kwa safari ya kurudi nyumbani Luther akatengana na wafuasi wake na kwa haraka

akapelekwa kwa njia ya mwitu kwa jumba la Wartburg, ngome ya ukiwa juu ya mlima.

Maficho yake yalifanywa na fumbo ambalo hata Frederic mwenyewe hakujua

mahalialipopelekwa. Ujinga huu ulikuwa na kusudi; hivi mchaguzi hakujua kitu, hangeweza

kufunua kitu. Akatoshelewa kwamba Mtengenezaji alikuwa salama, akatulia.

Mvua wa nyuma, wakati wajua kali, na wakati wa masika ukapita, na wakati wa baridi

ukafika, na Luther aliendelea kuwa mfungwa. Aleander na wafuasi wake wakafurahi. Nuru

65

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!