12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Uwezo wa Mungu ulisema kupitia Luther kwa mfalme na watawala wa Ujeremani. Roho

yake iliwasihi kwa mara ya mwisho kwa wengi katika mkutano ule. Kama Pilato, karne nyingi

mbele yao, kama vile Charles V, katika kujitoa kwa jeuri ya ulimwengu, akaamua kukana

nuru ya ukweli.

Mashauri juu ya Luther yakaenea pote, yakaleta wasiwasi katika mji wote. Rafiki wengi,

walipojua ukali wa hila ya Roma, wakakusudia kwamba Mtengenezaji hakupaswa kutolewa

kafara. Mamia ya wenye cheo wakaahidi kumlinda. Kwa milango ya nyumba na katika pahali

pa watu wote matangazo ya kubandikwa ukutani yakawekwa, mengine yalikuwa

yakuhukumu na mengine ya kumkubali Luther. Kwa tangazo moja kukaandikwa maneno ya

maana, “Ole wako, Ee inchi, wakati mfalme wako ni mtoto.” Muhubiri 10:16. Furaha nyingi

kwa ajili ya Luther ikasadikisha mfalme na baraza kwamba kila jambo lisilo la haki

lililoonyeshwa kwake lingehatarisha amani ya ufalme na nguvu ya kiti cha mfalme.

Juhudi kwa Ajili ya Masikilizano na Roma

Frederic wa Saxony akaficha kwa uangalifu mawazo yake ya kweli kwa ajili ya

Mtengenezaji. Kwa wakati ule akamlinda kwa uangalifu sana, kulinda mazunguko yake na

yale ya maadui zake. Lakini wengi hawakujaribu kuficha huruma yao kwa Luther. “Chumba

kidogo cha mwalimu,” akaandika Spalatin, “hakiwezi kuenea wageni wote waliojileta

wenyewe kwa kumuzuru.” Hata wale wasiokuwa na imani katika mafundisho yake

hawakuweza kujizuia lakini kushangalia ule ukamilifu uliomuongoza kuvumilia mauti kuliko

kuvunja zamiri yake.

Juhudi nyingi zikafanyika kwa kupata kuwezesha Luther kupatana na Roma. Wenye cheo

na watawala wakamuonyesha kwamba kama akifanya hukumu yake pekee kupinga kanisa na

baraza, hatahamishwa kukatiwa mbali ya ufalme na bila ulinzi. Tena akaombwa sana, kutii

hukumu ya mfalme. Kwa hiyo hangaliogopa kitu. “Ninakubali,” akasema kwa kujibu, “na

moyo wangu wote, kwamba mfalme, watawala, na hata Mkristo mnyonge sana, anapashwa

kujaribu na kuhukumu kazi zangu; lakini kwa kanuni moja, kwamba wakamate neno la

Mungu kuwa kipimo chao. Watu hawana kitu cha kufanya bali kukitii.”

Kwa mwito mwengine akasema: “Ninakubali kukana cheti cha usalama wangu. Naweka

nafsi yangu na maisha yangu katika mikono ya mfalme, lakini neno la Mungu--kamwe!”

Akataja mapenzi yake kwa kutii baraza la watu wote, lakini kwa kanuni kwamba baraza

itakiwe kuamua kufuatana na Maandiko. “Kwa ile inayohusu neno la Mungu na imani, kila

Mkristo anakuwa muhukumu mwema kama Papa, ingawa anatetewa na milioni ya mabaraza.”

Wote wawili rafiki na maadui, mwishowe, wakasadikishwa kwamba juhudi zaidi juu ya

mapatano ingekuwa bure.

Kama Mtengenezaji angelikubali jambo moja tu, Shetani na majeshi yake wangalipata

ushindi. Lakini msimamo wake imara usiotikisika ulikuwa njia ya kuweka kanisa kwa uhuru.

Mvuto wa mtu mmoja huyu aliyesubutu kufikiri na kutenda kwa ajili yake mwenyewe

64

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!