12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

furaha na moyo akashuhudia ushujaa wa mwalimu na kujitawala kwake, na akajitahidi

kusimama imara zaidi katika kumtetea. Aliona kwamba hekima ya wapapa, wafalme, na

waaskofu inaonekana bure kwa uwezo wa ukweli.

Mjumbe wa Papa alipoona mvuto wa maneno ya Luther, akaamua kutumia njia yote ya

uwezo wake ili kumwangamiza Mtengenezaji. Kwa elimu na akili ya ujanja akaonyesha

mfalme kijana hatari ya kupoteza urafiki usaada wa Roma kwa ajili ya maneno ya mtawa

asiye na maana.

Kesho yake ya jibu wa Luther, Charles akatangaza kwa baraza kusudi lake kwa kudumisha

na kulinda dini ya Katoliki. Mashauri ya nguvu yalipashwa kutumiwa juu ya Luther na

mambo ya upinzani wa imani ya dini aliyofundisha: “Nitatoa mfalme zangu kafara, hazina

zangu , rafiki zangu, mwili wangu, damu yangu, roho yangu na maisha yangu. ...

Nitamushitaki na wafuasi wake, kama waasi wapinga imani ya dini, kwa kuwatenga kwa

Ushirika takatifu, kwa mkatazo, na kwa namna yo yote iliyofikiriwa kwa kuwaangamiza.”

Lakini, mfalme akatangaza, hati ya kupita salama ya Luther inapaswa kuheshimiwa.

Anapashwa kuruhusiwa kufika nyumbani mwake salama.

Cheti cha Usalama cha Luther Katika Hatari

Wajumbe wa Papa tena wakaagiza kwamba hati ya kupita salama ya Mtengenezaji

isiheshimiwe. “Rhine (jina la mto) unapashwa kupokea majivu yake, kama ulivyopokea yale

majivu ya John Huss kwa karne iliyopita.” Lakini watawala wa Ujeremani, ingawa

walijitangaza kuwa adui kwa Luther, wakakataa kuvunja ahadi iliotolewa mbele ya taifa.

Wakataja misiba ambayo iliyofuata kifo cha Huss. Hawakusubutu kuleta juu ya Ujeremani

maovu makali mengine.

Charles, kwa kujibu kwa shauri mbaya, akasema: “Ijapo heshima na imani ingepaswa

kufutwa mbali ulimwenguni mwote, vinapaswa kupata kimbilio ndani ya mioyo ya wafalme.”

Akalazimishwa na maadui wa Luther wa kipapa kumtendea Mtengenezaji kama vile

Sigismund alivyomtendea Huss. Lakini akakumbuka Huss alipoonyesha minyororo yake kati

ya makutano na kumkumbusha mfalme juu ya imani yake aliyoahidi, Charles V akasema,

“Singetaka kufazaika kama Sigismund.”

Lakini kwa kusudi tu Charles akakataa ukweli uliotolewa na Luther. Alikataa kuacha njia

ya desturi kwa kutembea katika njia za kweli na haki. Kama baba zake, alitaka kupigania dini

ya Papa. Kwa hiyo akakataa kukubali nuru mbele ya wazazi wake. Kwa siku zetu, kuna wengi

wanaoshikilia desturi za asili za mababa zao. Wakati Bwana anapotuma nuru mpya wanakataa

kuipokea kwa sababu haikupokelewa na wababa wao. Hatutakubaliwa na Mungu

tunapotazama kwa wababa wetu kwa kuamua wajibu wetu pahali pa kutafuta Neno la Kweli

kwa ajili yetu wenyewe. Tutaulizwa juu ya nuru mpya inayoangaza sasa juu yetu kutoka kwa

Neno la Mungu.

63

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!