12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

sanamu hata mwanzoni hawakuona nguvu ya mawazo ya Luther, lakini kukariri

kukawawezesha kuelewa wazi wazi mambo yaliyoonyeshwa.

Wale waliofunga macho yao kwa nuru juu ya ugumu wakakasirishwa na uwezo wa

maneno ya Luther. Mnenaji mkuu wa baraza akasema kwa hasira: “Haujajibu swali

lililotolewa kwako. ... Unatakiwa kutoa jibu la wazi na halisi. ... Utakana wala hutakana?”

Mtengenezaji akajibu: “Hivi mtukufu mwema na mwenye uwezo sana unaniomba jibu wazi,

raisi,aawa sawa, nitakutolea moja, na ni hili: Siwezi kutoa imani yangu kwa Papa ao kwa

baraza, kwa sababu ni wazi kama siku ambayo walikosa na mara kwa mara kubishana

wenyewe kwa wenyewe. Ila tu nikisadikishwa na ushuhuda wa Maandiko,... Siwezi na

sitakana, kwani si salama kwa Mkristo kusema kinyume cha zamiri yake. Ni hapa

ninasimamia, siwezi kufanya namna ingine; basi Mungu anisaidie. Amen.”

Ndivyo mtu huyu wa haki alivyosimama. Ukuu wake na usafi wa tabia, amani yake na

furaha ya moyo, vilionekana kwa wote alipokuwa akishuhudia ukubwa wa imani hiyo

inayoshinda ulimwengu. Kwa jibu lake la kwanza Luther alisema na adabu, kwa hali ya utii

kabisa. Watu wa Papa walizania kwamba kuomba wakati ilikuwa tu mwanzo wa kukana.

Charles mwenyewe, alipoona hali ya mateso ya mtawa, mavazi yake yasiyokuwa ya zamani,

na urahisi wa hotuba yake, akatangaza: “Mtawa huyu hatanifanya kamwe kuwa mpinga imani

ya dini.” Lakini ushujaa na nguvu alioshuhudia sasa, uwezo wa akili yake, ukashangaza watu

wote. Mfalme aliposhangaa sana, akapaza sauti: “Mtawa huyu anasema bila kuogopa na moyo

usiotikisika.”

Wafuasi wa Roma wakashindwa. Wakatafuta kushikilia mamlaka yao, si kwa kukimbilia

kwa Maandiko, bali kwa vitisho, inayokuwa kawaida la Roma. Musemaji wa baraza akasema:

“Kama hutaki kukana, mfalme na wenye vyeo wa ufalme wataona jambo gani la kufanya juu

ya mpinga imani ya diniasiye sikia nashauri.” Luther akasema kwa utulivu: “Mungu

anisaidie, kwani siwezi kukana kitu kamwe.”

Wakamwomba atoke wakati watawala walipokuwa wakishauriana pamoja. Kukataa kutii

kwa Luther kungeuza historia ya Kanisa kwa myaka nyingi. Wakakata shauri kwa kumpatia

nafasi tena ya kukana. Tena swali likaulizwa. Je, angewezekana mafundisho yake? “Sina jibu

lingine la kutoa,” akasema, “kuliko lile nililokwisha kutoa.”

Waongozi wa Papa wakahuzunika kwamba uwezo wao ulizarauliwa na mtawa maskini.

Luther alisema kwa wote kwa heshima inayomfaa Mkristo na utulivu, maneno yake hayakuwa

na hasira wala masingizio. Akajisahau mwenyewe na kujiona kwamba alikuwa mbele tu ya

yeye aliye mkuu wa mwisho sana kuliko wapapa, wafalme, na wafalme (wakuu). Roho ya

Mungu ilikuwa pale, kuvuta mioyo ya wakubwa wa ufalme.

Watawala wengi wakakubali wazi wazi haki ya maneno ya Luther. Kundi lingine kwa

wakati ule halikuonyesha imani yao, lakini kwa wakati uliokuja wakasaidia bila woga

matengenezo. Mchaguzi Frederic, akasikiliza maneno ya Luther na kuchomwa moyo. Kwa

62

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!