You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Kupinga ya Kiprotestanti

Luther akawaza juu ya jibu lake, akachunguza maneno katika maandiko yake, na akapata

kwa Maandiko matakatifu mahakikisho ya kufaa kwa kusimamia maneno yake. Ndipo, akatia

mkono wake wa kushoto kwa Kitabu Kitakatifu, akainua mkono wake wa kuume mbinguni

na akaapa kwa kiapo “kukua mwaminifu kwa injili, na kwa uhuru kutangaza imani yake, hata

ingeweza kutia mhuri kwa ushuhuda wake kwa kumtia damu yake.”

Luther Mbele ya Baraza Tena

Wakati alipoingizwa tena ndani ya Baraza, alikuwa mwenye ukimya na amani, lakini

shujaa mwenye tabia nzuri, kama mshuhuda wa Mungu miongoni mwa wakuu wa dunia.

Ofisa wa mfalme akauliza uamuzi wake. Je, alitaka kukana? Luther akatoa jibu lake kwa sauti

ya unyenyekevu, bila ugomvi wala hasira. Mwenendo wake ulikuwa wa wasiwasi na wa

heshima; lakini akaonyesha tumaini na furaha ambayo ilishangaza makutano.

“Mfalme mwema sana, watawala watukufu, mabwana wa neema,” akasema Luther,

“naonekana mbele yenu leo, kufuatana na agizo nililopewa jana. Kama katika ujinga,

ningevunja desturi utaratibu wa mahakama, ninaomba munirehemu; kwani sikukomalia

katika ma nyumba ya wafalme, bali katika maficho ya nyumba ya watawa.”

Ndipo akasema kwamba katika kazi zake zingine zilizochapwa alieleza habari ya imani

na matendo mema; hata maadui zake walizitangaza kuwa za kufaa. Kuzikana ingehukumu

kweli ambazo wote walikubali. Aina ya pili ni ya maandiko ya kufunua makosa na matumizi

mabaya ya cheo cha Papa. Kuharibu haya ni kuimarisha jeuri ya Roma na kufungua mlango

kuwa wazi sana kwa ukosefu wa heshima kwa Mungu. Katika aina ya tatu alishambulia watu

waliosimamia maovu yanayokuwako. Kwa ajili ya mambo haya akakiri kwa uhuru kwamba

alikuwa mkali zaidi kuliko ilivyofaa. Lakini hata vitabu hivi hataweza kuvikana kwani adui

za ukweli wangepata nafasi kwa kulaani watu wa Mungu kwa ukali mwingi zaidi.

Akaendelea, “Nitajitetea mwenyewe kama Kristo alivyofanya: Kama nimesema vibaya,

kushuhudia juu ya uovu’ ... Kwa huruma za Mungu, ninakusihi, mfalme asio na upendeleo,

na ninyi, watawala bora, na watu wote wa kila aina, kushuhudia kutoka kwa maandiko ya

manabii na mitume kwamba nilidanganyika. Mara moja ninapokwisha kusadikishwa kwa

jambo hili, nitakana makosa yote, na nitakuwa wa kwanza kushika vitabu vyangu na kuvitupa

motoni. ...

“Bila wasiwasi, ninafurahi kuona kwamba injili inakuwa sasa kama kwa nyakati za

zamani, ambayo ni chanzo cha taabu na fitina. Hii ni tabia, na mwisho wa neno la Mungu.

`Sikuja kuleta salama duniani lakini upanga,’alisema Yesu Kristo. ... Mujihazali kwamba kwa

kuzania munazuia ugomvi musitese Neno takatifu la Mungu na kuangusha juu yenu garika la

kutisha la hatari kubwa za misiba ya sasa, na maangamizi ya milele.”

Luther alisema kwa Kijeremani; Sasa aliombwa kukariri maneno yaleyale kwa Kilatini.

Akatoa tena maneno yake wazi wazi kama mara ya kwanza. Uongozi wa Mungu

ulimusimamia katika jambo hili. Watawala wengi walipofushwa sana na makosa na ibada ya

61