12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

heshima, na kupokelewa mbele ya mkutano wa heshima sana katika ulimwengu. ... Roma

ilikuwa ikishuka kutoka kitini chake, nailikuwa ni sauti la mtawa lililomushusha.”

Mzaliwa mnyenyekevu Mtengenezaji akaonekanamwenye kutishwa na kufazaika.

Wafalme wengi, wakamkaribia, na mmoja akamnongoneza “Musiwaogope wanaoua mwili

lakini hawawezi kuua nafsi.” Mwengine akasema: “Na mutakapopelekwa mbele ya watawala

na wafalme kwa ajili yangu, mtapewa kwa njia ya roho wa baba yenu lile mtakalo lisema.”

Tazama Matayo 10:28, 18, 19.

Ukimya mwingi ukawa juu ya mkutano uliosongana. Ndipo afisa mmoja wa mfalme

akasimama na, kushota kwa maandiko ya Luther, akauliza kwamba Mtengenezaji ajibu

maswali mawili-ao atayakubali kwamba ni yake, na ao atakusudia kukana mashauri

yanayoandikwa humo. Vichwa vya vitabu vilipokwisha kusomwa, Luther, kwa swali la

kwanza, akakubali vitabu kuwa vyake. “Kwa swali la pili,” akasema, ningetenda bila busara

kama ningejibu bila kufikiri. Ningehakikisha kidogo kuliko hali ya mambo inavyotaka, ao

zaidi kuliko kweli inavyotaka. Kwa sababu hiyo ninaomba mfalme mtukufu, kwa

unyenyekevu wote, unitolee wakati, ili nipate kujibu bila kukosa juu ya neno la Mungu.”

Luther akasadikisha makutano kwamba hakutenda kwa hasira ao bila kufikiri. Utulivu

huu, na kujitawala, isiyotazamiwa kwa mtu aliyejionyesha kuwa mgumu na asiyebadili shauri

yakamwezesha baadaye kujibu kwa busara na heshima ikashangaza maadui zake na kukemea

kiburi chao.

Kesho yake alipashwa kutoa jibu lake la mwisho. Kwa mda moyo wake ukadidimia.

Maadui zake walionekana kwamba wangeshinda. Mawingu yakakusanyika kando yake na

yakaonekana kumtenga na Mungu. Katika maumivu ya roho akatoa malalamiko yale ya

kuhuzunisha sana, ambayo Mungu tu anaweza kuyafahamu kabisa.

“Ee Mwenyezi Mungu wa milele!” akapaza sauti; “kama ni kwa nguvu za ulimwengu huu

tu ambapo napashwa kutia tumaini langu, yote imekwisha. ... Saa yangu ya mwisho imefika,

hukumu yangu imekwisha kutangazwa. ... Ee Mungu, unisaidie juu ya hekima yote ya

ulimwengu. ... Mwanzo ni wako, ... na ni mwanzo wa haki na wa milele. Ee Bwana, unisaidie!

Mungu mwaminifu na asiyebadilika, mimi si mtumainie mtu ye yote. ... Umenichagua kwa

kazi hii. ... Simama kwa upande wangu, kwa ajili ya jina la mpendwa wako Yesu Kristo,

anayekuwa mkingaji wangu, ngao yangu, na mnara wangu wa nguvu.”

Lakini haikuwa hofu ya mateso, maumivu, wala mauti yake mwenyewe ambayo ilimlemea

na hofu kuu. Alijisika upungufu wake. Katika uzaifu wake madai ya ukweli yangeweza kupata

hasara. Si kwa usalama wake mwenyewe, bali kwa ajili ya ushindi wa injili alishindana na

Mungu. Katika ukosefu wa usaada imani yake ikashikilia juu ya Kristo, Mkombozi mkuu.

Hangeonekana pekee yake mbele ya baraza. Amani ikarudi kwa roho yake, na akafurahi

kwamba aliruhusiwa kuinua Neno la Mungu mbele ya watawala wa mataifa.

60

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!