12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

Kukaribia kwake huko Worms kukafanya msukosuko mkubwa. Rafiki wakatetemeka kwa

ajili ya usalama wake; maadui wakaogopa kwa ajili ya maneno yao. Kwa ushawishi wa

wapadri akalazimishwa kwenda kwa ngome ya mwenye cheo mwema, mahali, ilitangazwa,

magumu yote yangeweza kutengenezwa kwa kirafiki. Warafiki wakaonyesha hatari

zilizomngoja. Luther, bila kutikisika, akatangaza: “Hata kukiwa mashetani wengi ndani ya

mji wa Worms kama vigae juu ya nyumba, lazima nitaingia.”

Alipofika Worms, makundi ya watu wengi sana yakakusanyika kwa milango ya mji kwa

kumukaribisha. Kulikuwa wasiwasi nyingi sana. “Mungu atakuwa mkingaji wangu,” akasema

Luther alipokuwa akishuka kwa gari lake. Kufika kwake kulijaza wapadri hofu kuu. Mfalme

akawaita washauri wake. Ni upande gani unaopashwa kufuatwa? Padri mmoja mkali

akatangaza: “Tumeshauriana mda mrefu juu ya jambo hili. Mfalme mtukufu uondoshe mbio

mtu huyu. Upesi, Sigismund hakuwezesha John Huss kuchomwa? Hatulazimishwe kutoa

cheti cha mpinga imani ya dini wala kuliheshimu.m “Hapana,” akasema mfalme,

“tunapashwa kushika ahadi yetu.” Tulipatana kwamba Mtengenezaji angepashwa kusikiwa.

Mji wote ulitamani kuona mtu huyu wa ajabu. Luther, mwenye kuchoka sababu ya safari,

alihitaji ukimya na pumziko. Lakini alifurahia pumziko ya saa chache wakati watu wa cheo

kikuu, wenye cheo, wapadri, na wanainchi walimuzunguka kabisa. Kati ya watu hawa

walikuwa wenye cheo walioomba na juhudi kwa mfalme matengenezo ya matumizi mabaya

ya kanisa. Maadui pamoja na rafiki walifika kumtazama mwa shujaa. Kuvumulia kwake

kulikuwa imara na kwa uhodari. Uso wake mdogo wakufifia, ulikuwa uso wa upole na hata

wa furaha. Juhudi nyingi ya maneno yake ikatoa uwezo ambao hata maadui zake hawakuweza

kusimama kabisa. Wengine walisadikishwa kwamba mvuto wa Mungu ulikuwa naye;

wengine wakatangaza, kama walivyofanya wafarisayo juu ya Kristo: “Ana pepo.” Yoane

10:20.

Kwa siku iliyofuata afisa mmoja wa mfalme akaagizwa kumpeleka Luther kwa chumba

kikubwa cha wasikilizaji. Kila njia ilijaa na washahidi wenye shauku ya kutazama juu ya

mtawa aliyesubutu kushindana na Papa. Jemadari mzee mmoja, aliyeshinda vita nyingi,

akamwambia kwa upole: “Maskini mtawa, unataka sasa kwenda kufanya vita kubwa kuliko

vita mimi ao kapiteni wengine waliofanya katika mapigano ya damu nyingi. Lakini, ikiwa

kama madai yako ni ya haki, ...endelea katika jina la Mungu,na usiogope kitu chochote.

Mungu hatakuacha.”

Luther Anasimama Mbele ya Baraza

Mfalme akaketi kitini, anapozungu kwa na watu wa cheo wenye sifa katika ufalme. Martin

Luther sasa alipashwa kujibu kwa ajili ya imani yake. “Kuonekana huku kulikuwa kwenyewe

ishara (alama) ya ushindi juu ya cheo cha Papa. Papa alimhukumu mtu huyu, na mtu huyu

alisimama mbele ya baraza ya hukumu iliyowekwa juu ya Papa. Papa alimweka chini ya

makatazo, akakatiwa mbali ya chama cha kibinadamu, na huku akaalikwa katika manemo ya

59

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!