Kupinga ya Kiprotestanti

newcovenantpublicationsintl
from newcovenantpublicationsintl More from this publisher
12.04.2023 Views

Luther Anaamuriwa Kufika Barazani Kupinga ya Kiprotestanti Baraza sasa likaomba kuonekana kwa Mtengenezaji. Mwishowe mfalme akakubali, na Luther akaalikwa. Mwito ukafwatana na ruhusa ya kusafiri salama. Hati hizo mbili zikapelekwa Wittenberg na mjumbe aliyeagizwa kumusindikiza Worms. Kujua chuki na uadui juu yake, rafiki za Luther waliogopa kwamba cheti cha kusafiri salama hakitaheshimiwa. Akajibu: “Kristo atanipa Roho yake kwa kushinda wahuduma hawa wa uongo. Nina wazarau katika maisha yangu; nitawashinda kwa kifo changu. Huko Worms wanashugulika sana kwa kunilazimisha; ni kane kukana kwangu kutakuwa huku: Nilisema zamani kwamba Papa alikuwa kasisi wa Kristo; sasa na tangaza kwamba yeye ni mpinzani wa Bwana, na mtume wa Shetani.” Zaidi ya mjumbe wa mfalme, rafiki watatu wakakusudia kumsindikiza Luther. Moyo wa Melanchton ukaambatana kwa moyo wa Luther, na akatamani sana kumfuata. Lakini maombi yake yakakataliwa. Akasema Mtengenezaji: “Kama sitarudi, na adui zangu wakiniua, endelea kufundisha, na kusimama imara katika ukweli. Utumike kwa nafasi yangu. ... Kama ukizidi kuishi, mauti yangu itakuwa ya maana kidogo.” Mioyo ya watu ikagandamizwa na maono ya huzuni. Waliambiwa kwamba maandiko ya Luther yalihukumiwa huko Worms. Mjumbe, huogopa kwa ajili ya usalama wa Luther kwa baraza, akauliza kama alikuwa akiendelea kutamani kwenda. Akajibu: “ijapokuwa nilikatazwa katika kila mji, nitaendelea.” Huko Erfurt, Luther akapitia katika njia alizokuwa akipitia kila mara, akazuru kijumba chake cha nyumba ya watawa, na akafikiri juu ya mapigano ambamo nuru iliojaa sasa katika Ujeremani imetawanywa juu ya roho yake. Akalazimishwa kuhubiri. Jambo hili alikatazwa kulifanya, lakini mjumbe akamtolea ruhusa, na mtu aliyefanywa zamani mtu wa kazi ngumu za nyumba ya watawa, sasa akaingia kwa mimbara. Watu wakasikiliza kwa kushangaa sana. Mkate wa uzima ulivunjwa kwa roho hizo zenye njaa. Kristo aliinuliwa mbele yao na juu ya wapapa, maaskofu, wafalme (wakuu), na wafalme. Luther hakusema juu ya maisha yake katika hatari yake. Katika Kristo alikuwa amejisahau mwenyewe. Akajificha nyuma ya Mtu wa Kalvari, akitafuta tu kuonyesha Yesu kama Mkombozi wa wenye zambi. Uhodari wa Mfia Dini Wakati Mtengenezaji alipoendelea mbele, makundi kwa hamu kubwa kwa kusongana karibu naye na kwa sauti za upole wakamuonya juu ya Waroma. “Watakuchoma”, akasema mwengine, “na kugeuza mwili wako kuwa majivu, kama walivyomfanya Jean Huss.” Luther akajibu, “ijapo wangewasha moto njiani mote toka Worms hata Wittenberg, ... ningetembea kati kati yake kwa jina la Bwana; ningeonekana mbele yao, ... kushuhudia Bwana Yesu Kristo.” 58

Kupinga ya Kiprotestanti Kukaribia kwake huko Worms kukafanya msukosuko mkubwa. Rafiki wakatetemeka kwa ajili ya usalama wake; maadui wakaogopa kwa ajili ya maneno yao. Kwa ushawishi wa wapadri akalazimishwa kwenda kwa ngome ya mwenye cheo mwema, mahali, ilitangazwa, magumu yote yangeweza kutengenezwa kwa kirafiki. Warafiki wakaonyesha hatari zilizomngoja. Luther, bila kutikisika, akatangaza: “Hata kukiwa mashetani wengi ndani ya mji wa Worms kama vigae juu ya nyumba, lazima nitaingia.” Alipofika Worms, makundi ya watu wengi sana yakakusanyika kwa milango ya mji kwa kumukaribisha. Kulikuwa wasiwasi nyingi sana. “Mungu atakuwa mkingaji wangu,” akasema Luther alipokuwa akishuka kwa gari lake. Kufika kwake kulijaza wapadri hofu kuu. Mfalme akawaita washauri wake. Ni upande gani unaopashwa kufuatwa? Padri mmoja mkali akatangaza: “Tumeshauriana mda mrefu juu ya jambo hili. Mfalme mtukufu uondoshe mbio mtu huyu. Upesi, Sigismund hakuwezesha John Huss kuchomwa? Hatulazimishwe kutoa cheti cha mpinga imani ya dini wala kuliheshimu.m “Hapana,” akasema mfalme, “tunapashwa kushika ahadi yetu.” Tulipatana kwamba Mtengenezaji angepashwa kusikiwa. Mji wote ulitamani kuona mtu huyu wa ajabu. Luther, mwenye kuchoka sababu ya safari, alihitaji ukimya na pumziko. Lakini alifurahia pumziko ya saa chache wakati watu wa cheo kikuu, wenye cheo, wapadri, na wanainchi walimuzunguka kabisa. Kati ya watu hawa walikuwa wenye cheo walioomba na juhudi kwa mfalme matengenezo ya matumizi mabaya ya kanisa. Maadui pamoja na rafiki walifika kumtazama mwa shujaa. Kuvumulia kwake kulikuwa imara na kwa uhodari. Uso wake mdogo wakufifia, ulikuwa uso wa upole na hata wa furaha. Juhudi nyingi ya maneno yake ikatoa uwezo ambao hata maadui zake hawakuweza kusimama kabisa. Wengine walisadikishwa kwamba mvuto wa Mungu ulikuwa naye; wengine wakatangaza, kama walivyofanya wafarisayo juu ya Kristo: “Ana pepo.” Yoane 10:20. Kwa siku iliyofuata afisa mmoja wa mfalme akaagizwa kumpeleka Luther kwa chumba kikubwa cha wasikilizaji. Kila njia ilijaa na washahidi wenye shauku ya kutazama juu ya mtawa aliyesubutu kushindana na Papa. Jemadari mzee mmoja, aliyeshinda vita nyingi, akamwambia kwa upole: “Maskini mtawa, unataka sasa kwenda kufanya vita kubwa kuliko vita mimi ao kapiteni wengine waliofanya katika mapigano ya damu nyingi. Lakini, ikiwa kama madai yako ni ya haki, ...endelea katika jina la Mungu,na usiogope kitu chochote. Mungu hatakuacha.” Luther Anasimama Mbele ya Baraza Mfalme akaketi kitini, anapozungu kwa na watu wa cheo wenye sifa katika ufalme. Martin Luther sasa alipashwa kujibu kwa ajili ya imani yake. “Kuonekana huku kulikuwa kwenyewe ishara (alama) ya ushindi juu ya cheo cha Papa. Papa alimhukumu mtu huyu, na mtu huyu alisimama mbele ya baraza ya hukumu iliyowekwa juu ya Papa. Papa alimweka chini ya makatazo, akakatiwa mbali ya chama cha kibinadamu, na huku akaalikwa katika manemo ya 59

Luther Anaamuriwa Kufika Barazani

Kupinga ya Kiprotestanti

Baraza sasa likaomba kuonekana kwa Mtengenezaji. Mwishowe mfalme akakubali, na

Luther akaalikwa. Mwito ukafwatana na ruhusa ya kusafiri salama. Hati hizo mbili

zikapelekwa Wittenberg na mjumbe aliyeagizwa kumusindikiza Worms.

Kujua chuki na uadui juu yake, rafiki za Luther waliogopa kwamba cheti cha kusafiri

salama hakitaheshimiwa. Akajibu: “Kristo atanipa Roho yake kwa kushinda wahuduma hawa

wa uongo. Nina wazarau katika maisha yangu; nitawashinda kwa kifo changu. Huko Worms

wanashugulika sana kwa kunilazimisha; ni kane kukana kwangu kutakuwa huku: Nilisema

zamani kwamba Papa alikuwa kasisi wa Kristo; sasa na tangaza kwamba yeye ni mpinzani

wa Bwana, na mtume wa Shetani.”

Zaidi ya mjumbe wa mfalme, rafiki watatu wakakusudia kumsindikiza Luther. Moyo wa

Melanchton ukaambatana kwa moyo wa Luther, na akatamani sana kumfuata. Lakini maombi

yake yakakataliwa. Akasema Mtengenezaji: “Kama sitarudi, na adui zangu wakiniua, endelea

kufundisha, na kusimama imara katika ukweli. Utumike kwa nafasi yangu. ... Kama ukizidi

kuishi, mauti yangu itakuwa ya maana kidogo.” Mioyo ya watu ikagandamizwa na maono ya

huzuni. Waliambiwa kwamba maandiko ya Luther yalihukumiwa huko Worms. Mjumbe,

huogopa kwa ajili ya usalama wa Luther kwa baraza, akauliza kama alikuwa akiendelea

kutamani kwenda. Akajibu: “ijapokuwa nilikatazwa katika kila mji, nitaendelea.”

Huko Erfurt, Luther akapitia katika njia alizokuwa akipitia kila mara, akazuru kijumba

chake cha nyumba ya watawa, na akafikiri juu ya mapigano ambamo nuru iliojaa sasa katika

Ujeremani imetawanywa juu ya roho yake. Akalazimishwa kuhubiri. Jambo hili alikatazwa

kulifanya, lakini mjumbe akamtolea ruhusa, na mtu aliyefanywa zamani mtu wa kazi ngumu

za nyumba ya watawa, sasa akaingia kwa mimbara.

Watu wakasikiliza kwa kushangaa sana. Mkate wa uzima ulivunjwa kwa roho hizo zenye

njaa. Kristo aliinuliwa mbele yao na juu ya wapapa, maaskofu, wafalme (wakuu), na wafalme.

Luther hakusema juu ya maisha yake katika hatari yake. Katika Kristo alikuwa amejisahau

mwenyewe. Akajificha nyuma ya Mtu wa Kalvari, akitafuta tu kuonyesha Yesu kama

Mkombozi wa wenye zambi.

Uhodari wa Mfia Dini

Wakati Mtengenezaji alipoendelea mbele, makundi kwa hamu kubwa kwa kusongana

karibu naye na kwa sauti za upole wakamuonya juu ya Waroma. “Watakuchoma”, akasema

mwengine, “na kugeuza mwili wako kuwa majivu, kama walivyomfanya Jean Huss.” Luther

akajibu, “ijapo wangewasha moto njiani mote toka Worms hata Wittenberg, ... ningetembea

kati kati yake kwa jina la Bwana; ningeonekana mbele yao, ... kushuhudia Bwana Yesu

Kristo.”

58

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!