12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kupinga ya Kiprotestanti

“Ni wanani watu hawa wote wa Luther? Kundi la waalimu wenye kiburi, mapadri waovu,

watawa wapotovu, wanasheria wajinga, na wenye cheo walioaibishwa. ...Kundi la katoloki si

linawapita mbali sana kwa wingi, kwa akili na kwa uwezo! Amri ya shauri moja la kusanyiko

hili tukufu litaangazia wanyenyekevu, litaonya wasio na busara, litaamua wenye mashaka na

kuimarisha wazaifu.”

Mabishano ya namna ile ile ingali inatumiwa juu ya wote wanaosubutu kutoa mafundisho

kamili ya Neno la Mungu. “Ni wanani hawa wahubiri wa mafundisho mapya? Wanakuwa si

wenye elimu, wachache kwa hesabu, na wa cheo cha maskini sana. Lakini wakijidai kuwa na

ukweli, na kuwa watu waliochaguliwa na Mungu. Wanakuwa wajinga na waliodanganyiwa.

Namna gani kanisa letu ni kubwa sana kwa hesabu na mvuto!” Mabishano haya hayako na

nguvu zaidi sasa kuliko siku za Mtengenezaji.

Luther hakuwa pale, pamoja na maneno ya kweli wazi wazi na ya kusadikisha ya Neno la

Mungu, kwa kushinda shujaa Papa. Watu karibu wote walikuwa tayari, si kwa kumuhukumu

tu, yeye na mafundisho yake, bali, ikiwezekana, kuongoa upinzani wa imani ya dini. Yote

Roma iliweza kusema katika kujitetea mwenyewe imesemwa. Lakini tofauti kati ya ukweli

na uwongo ingeonekana wazi zaidi namna wangeweza kujitoa wazi wazi kwa vita. Sasa

Bwana akagusa moyo wa mshiriki mmoja wa baraza atoe maelezo ya matendo ya jeuri ya

Papa. Duc Georges wa Saxe akasimama katika mkutano huu wa kifalme; na akaonyesha

sawasawa kabisa uwongo na machukizo ya kanisa la Roma:

“Kuzulumu ... kunapaza sauti juu ya Roma. Haya yote imewekwa kando na shabaha yao

moja tu ni ... pesa, pesa, pesa, ... ili wahubiri wanaopashwa kufundisha ukweli, wasinene kitu

kingine isipokuwa uongo, na si kuwavumilia tu, lakini kuwalipa, kwani namna wanazidi

kusema uongo, ndipo wanazidi kupata faida. Ni kwa kisima hiki kichafu maji haya machafu

hutiririka. Mambo ya washerati na ulevi. Hunyoosha mkono kwa uchoyo ... Ole! ni aibu

iliyoletwa na askofu kinachotupa roho maskini nyingi katika hukumu ya milele. Matengenezo

ya mambo yote inapaswa kufanyika.” Sababu mnenaji alikuwa adui maalumu wa

Mtengenezaji alitoa mvuto mkubwa kwa maneno yake.

Malaika wa Mungu wakatoa nyali za nuru katika giza ya uovu na ikafungua mioyo kwa

ukweli. Uwezo wa Mungu wa ukweli ukatawala hata maadui wa Matengenezo na

ukatayarisha njia kwa kazi kubwa ambayo ilikaribia kutimizwa. Sauti ya Mmoja mkuu kuliko

Luther ikasikiwa katika mkutano ule.

Baraza ikawekwa kwa kutayarisha hesabu ya mambo yote yaliyo kuwa magandamizo

ambayo yalikuwa mazito kwa watu wa Ujeremani. Oroza hii ikaonyeshwa kwa mfalme, na

kumuomba achukue hatua kwa kusahihisha mambo mabaya haya. Wakasema waombaji, “Ni

wajibu wetu kuzuia maangamizi na aibu ya watu wetu. Kwa sababu hiyo sisi wote pamoja

tunakuomba kwa unyenyekevu sana, lakini kwa namna ya haraka sana, kuagiza matengenezo

ya mambo yote na kufanya itimilike.”

57

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!