12.04.2023 Views

Kupinga ya Kiprotestanti

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kupinga ya Kiprotestanti

Sura 8. Mbele ya Korti

Mfalme mpya, Charles V, akamiliki kwa kiti cha ufalme wa Ujeremani. Mchaguzi wa

Saxony ambaye alisaidia Charles kupanda kwa kiti cha ufalme, akamwomba kutotendea

Luther kitu chochote mpaka wakati atakapo ruhusu kumusikiliza. Kwa hiyo mfalme akawa

katika hali ya mashaka na wasiwasi. Watu wa Papa hawangerizishwa na kitu chochote

isipokuwa kifo cha Luther. Mchaguzi akatangaza “Mwalimu Luther anapashwa kutolewa

haki (ruhusa ya usalama), ili apate kuonekana mbele ya baraza ya hukumu ya waamzi wenye

elimu, watawa, na wa haki wasio na upendeleo.”

Makutano wakakusanyika huko Worms. Kwa mara ya kwanza watoto wa kifalme wa

Ujeremani walipashwa kukutana na mfalme wao kijana katika mkusanyiko. Wakuu wa kanisa

na wa serkali na mabalozi wa inchi za kigeni wote wakakusanyika kule Worms. Bali jambo

ambalo lililoamusha usikivu mwingi lilikuwa la Mtengenezaji. Charles alimuamuru mchaguzi

kumleta Luther pamoja naye, kumuhakikishia ulinzi na kuahidi mazungumzo huru juu ya

maswali katika mabishano. Luther akamwandikia mchaguzi: “Ikiwa kama mfalme ananiita,

siwezi kuwa na mashaka huo ni mwito wa Mungu mwenyewe. Kama wakitaka kutumia nguvu

juu yangu, ... Ninaweka jambo hili mikononi mwa Bwana. ... Kama hataniokoa, maisha yangu

ni ya maana kidogo. ... Unaweza kutazamia lolote kutoka kwangu ... isipokuwa kukimbia na

mimi kukana maneno ya kwanza. Kukimbia siwezi, na tena kukana ni zaidi.”

Kwa namna habari ilienea kwamba Luther alipashwa kuonekana mbele ya baraza,

msisimuko ukawa pahali pote. Aleander, mjumbe wa Papa, kwa kujulishwa hatari na

akakasirika. Kuchunguza juu ya habari ambayo Papa alikwisha kutolea azabu ya hukumu

ingekuwa kuzarau mamlaka ya askofu. Na tena, zaidi mabishano yenye uwezo ya mtu huyu

yanaweza kugeuza watoto wa wafalme wengi kutoka kwa Papa. Akamuonya Charles juu ya

kutoruhusu Luther kufika Worms na akashawishi mfalme kukubali.

Bila kutulia juu ya ushindi huu, Aleander akaendelea kuhukumu Luther, kushitaki

Mtengenezaji juu ya “fitina, uasi, ukosefu wa heshima, na matukano”. Lakini ukali wake

ukafunua roho ambayo aliyokuwa ndani yake. “Anasukumwa na fitina na kulipisha kisasi.

Kwa juhudi zaidi tena Aleander akasihi sana mfalme kutimiza amri za Papa.

Aliposumbuliwa sana na maombi ya mjumbe Charles akamwomba kuleta kesi yake kwa

baraza. Kwa wasiwasi mwingi wale waliopendelea Mtengenezaji wakaendelea kuyatarajia

maneno yakasomewa na Aleander. Mchaguzi wa Saxony hakuwa pale, lakini baazi ya

washauri wake wakaandika yaliyosemwa na mjumbe wa Papa.

Luther Anashitakiwa kuwa Mpinga Imani ya Dini

Kwa kujifunza na usemaji unaokolea, Aleander akajitahidi mwenyewe kuangusha Luther

kama adui wa kanisa na serekali. “Haki,, makosa ya Luther yametosha”, akatangaza kwa

kushuhudia kuchomwa kwa mamia elfu wapinga imani ya dini.”

56

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!